Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,469
- 96,909
tunafanana mkuu, mimi kulala ni sawa na nyumba bila paaMkuu nifundishe hiyo tahjudi ili uniokoe Tafadhali
Hata mlinzi kwangu nilimwambia akapumzike kwao maana Mimi ikifika usiku sipati usingizi kabisa
Ila kuanzia SAA 5am ndo unakuja
Imefikia hatua bila tungi kichwani basi hata mmbu akitua juu ya bati naskia kishindo chake.