What's the bad/dangerous thing(s) you can't stop doing?

What's the bad/dangerous thing(s) you can't stop doing?

Sio kweli, uzuri huwa sishindani ndio maana huwa sisubiri nani mshindi kadhalika huwa sisubiri tufikie hitimisho, mimi huwa nikimaliza kazi yangu naachana na wewe. Rejea mijadala mingi ambayo huwa nashiriki. Hata huu wa umbo la Dunia, nilipo maliza kazi yangu nikaondoka, nimewaacha waendelee kubishana.
Sio ulikosa wa kubishana na wewe?
 
Yes ile ni PS4.
Yes I am a gamer. My hobbies are Reading> Movies > Video Gaming >Music>Traveling and Drawing.

Nimeicheza ni nzuri sana. I have played a lot of games ila tukiongelea Bloodborne no games come close kwa raha za hii. I love the soulsborne games.
To be honest I've never encountered a girl like you.
Hivi we ni ke kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom