What's the bad/dangerous thing(s) you can't stop doing?

What's the bad/dangerous thing(s) you can't stop doing?

yeah,, i usually do that when i am sad, last night i found out the woman i love is in love with another man,

Sent from my iPhone using JamiiForums
,oooops, I am sorry Lucas for what you learned out.
How are you doing now? Still sad?
 
Kweli aisee, jana nilikuwa nasoma kitabu fulani kinahusu "Elimu ya Balagha". Nikajua nini maana ya Fasaha na Fasihi. Somo tamu sana lile.

Mtu Fasaha ana sifa hizi :
1. Awe anajua sarufi vizuri, yaani ajue kujenga sentensi vile lugha inavyotaka.

2. Asitumie matamshi magumu kutamkwa na yasiwe magumu kueleweka yaani yasiwe mageni kwa watu.

3. Atumie lugha rahisi yenye kueleweka.

Nikastuka, kumbe jambo liko hivi. Itabidi nibadilike.
Kweli ili mawasiliano yakamilike inabidi itumike lugha rahisi ambayo inaelewaka kirahisi kwa receive.
 
Coffee au kinywaji chochote chenye coffee. Kila jioni lazima nipite coffee shop. Sio bad habit lakini inanikosesha usingizi, nachelewa sana kulala na natakiwa kuamka mapema sana. Nisipokunywa siku moja roho inaniumaaaaaa na kiu juu.

Na red wine pia, sometimes nakunywa dawa nasahau jioni nakunywa wine lol!
Wanasema coffee sio nzuri utakuwa unepata caffeine addiction.
 
Coffee au kinywaji chochote chenye coffee. Kila jioni lazima nipite coffee shop. Sio bad habit lakini inanikosesha usingizi, nachelewa sana kulala na natakiwa kuamka mapema sana. Nisipokunywa siku moja roho inaniumaaaaaa na kiu juu.

Na red wine pia, sometimes nakunywa dawa nasahau jioni nakunywa wine lol!
Woo coffee jioni..for sure lazma ushindwe kulala

i do coffee on my busy days only...kichwa kinakua moto nakua active mnoo..naitumia mara chache isinizoee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom