What's the bad/dangerous thing(s) you can't stop doing?

What's the bad/dangerous thing(s) you can't stop doing?

To be honest I've never encountered a girl like you.
Hivi we ni ke kweli?
Mimi ni ke.
Baadhi ya hobbies ilibidi ziwe zangu because of my SO.

Ukiwa kwenye relationship ambayo mnakuwa na hobbies tofauti mahusiano yanakera. Wewe unataka kusafiri yeye anataka kulala. Wewe unataka kusoma yeye anataka ku play music.

You see, inabidi sasa kila mmoja amwambukize mwenzake hobbies zake ili tuweze kwenda sawa. Hapo sasa tunakuwa kama "washkaji" ( best friends).

Mimi pia siwezi kuwa na urafiki na mtu wakike au wakiume ambaye hatuingiliani kwenye hobby hata moja. Tutajadili nini sasa?

Hii ndio sababu nakuwa na vitu vigumu kidogo kwa wanawake.
 
Lazima nikasome nione wewe ndio uliaga mjadala au wao ndio waliaga.

Ndio wewe ni mbishi na una lugha ngumu sana, nadhani inachangia sana kwenye ubishi.
Nenda kasome kisha urudi kuniambia.

Itabidi nianze kuifanya lugha yangu iwe laini, ila hasa kwa ajili yako, uwe unanielewa vizuri.
 
You are a Cannibal Hannah. Do you spit or swallow?
I swallow both nails, skin and blood.
i know it is pretty disgusting. Biting my nails or eating my own flesh is not considered cannibalism unless i bite other people's nails.
 
Mimi ni ke.
You see, inabidi sasa kila mmoja amwambukize mwenzake hobbies zake ili tuweze kwenda sawa. Hapo sasa tunakuwa kama "washkaji" ( best friends).
So you're trying to say hobbies kama hizo umeambukizwa,games na nini it was not you from the beginning or?
 
So you're trying to say hobbies kama hizo umeambukizwa,games na nini it was not you from the beginning or?
Only games, kwa nilizo orodhesha hizi ngumu lakini.
Zile rahisi nazipenda tangu mwanzo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom