What is your "Sweetest" Childhood Memory?? THAT It made you feel So Good and Speacial!

Hahahahahaah! Babu acha kwanza utani, unatuvunja mbavu! lol
 
:shock::shock::shock: What's happening???
hivi nimepotea sana au mambo ndio yameendelea kwa harka?
Mbona naona marangi rangi tu nashindwa kuelewa???

Sweetlady alikuwa anakutafuta sana maana tunahitaji mc kwenye sherehe yake ya kitchen party
 
:shock::shock::shock: What's happening???
hivi nimepotea sana au mambo ndio yameendelea kwa harka?
Mbona naona marangi rangi tu nashindwa kuelewa???

ulipotea sana kipenzi,haya ndo yanayoendelea humu me nishajichokea yani
 
Mi nitakua MC wa harusi, hua siendi kichen party mimi...


Usichoke mamaa, mi nikiona hivi nafurahiiiii. But sijui Deskmate inakuaje sasa.

nilisikia yuko jela nikajua uko nae,msake aiseee mambo yamekua mambo
 
Tooooooooobaaaa babu uliziba ustawi wa jamii? Una hatari wewe....


 

Hahahahahaha,uwiiiiii jaman mbavu zangu,basi babu ucendelée,hahahahahaha!
 
nakumbuka housegirl alikuwa anatufungia nje boyfriend wake akija.... Sasa kuna baba alikuwa anauza mabumunda...
Alipofika akaweka beseni chini kwenda kuwauzia wakazi wa juu....
Hapo nilikuwa na rafiki yangu mmoja(sijui bado yupo???)...
Mie ndo kinara tukachota mchanga na kumimina yale mabumunda yake......
Kumbe yule m-baba alikuwa anashuka na katuona....

I see
alianzisha varangati nikatoka nduki...
Ilibidi housegirl akatishe starehe zake....
Mie nikazunguka nyuma na kuingia ndani kupitia balkoni.....
Babu hakuondoka mpaka mama karudiiii
almanusra nichzee kichapo ila nilijitetea kuwa housegirl ananifungia nje au kweny balkoni akija mchumba wake 'rama'.....
Nikanusurika fimbo bwana.....
Ila rafiki yangu lyidia alipewa kipondo heavy...
Maana mama yangu na mama lyidia ilibidi walipe mabumunda ya watu.....
 


daaaaaaaaaah haahahaha mi hapana jamani Babu naomba nikupe shkamoo.. U have truly made my day!
:eyebrows:

Babu babu ndio maana huachi kuwa na vidosho. Hapa niko kibaruani imebidi nijifache natoka nje nimefika mlangoni nimekenua ile mbaya maana nimeshindwa kujizuia
:lol:

Astaghafirullah! :shock:
:focus:

:hatari:

Babu anaonekana alikua bad boy utotoni. (Me love bad boys :eyebrows: )
Mi kaniua hapo pakushughulika na chupi ya housegirl! lol
oa

Na toka lini mtu anayejua kushughulika na chupi za house gal akawa mtoto??? Hayo aliyafanya akiwa ana akili zote timamu manake mbona hakuchukua blauzi akachukua chupi?... Babu kapinda bana!..
:A S-coffee:

khaaaa hapa ulikuwa una miaka mingapi?umeanza mapema lol
:juggle:

Hahahahaha!wala hujakosea swaiba,embu mpatie picha akiwa anahangaika kuweka kioo chini ya miguu ya kabinti ili tu aone rangi ya chupi hahahaha!ukubwan kaadvance ni mwendo wa kukagua wajukuu tu,hahahaha!ODM bwana!
:washing:

Hahahaha! Khaaaa!
:hat:

OMG,is this true?kama ni super glue sidhani kama kuna kitu kilibakia hapo.
:hatari:

dah,kala utotoni mpakani uzeeni bado tu anataka,hivi ile naniii huwa haizeeki?
:focus:

Hahahahahaah! Babu acha kwanza utani, unatuvunja mbavu! lol
hoto::welcome:

Mpaka hapo nimekonkludi kuwa ODM alikuwa na vituko kuliko nyie wote hapo juu...

Na hapo sijawapeni kisa cha kumtembeza dingi usiku kucha akinisaka baada ya kutishia kunywa sumu...... !!!
 

Hahahahaha!babu umefunika,naisubiri hiyo hahahaha,kumbe hata mikwara ulianza kitambo hahaha,enhee ilikuaje babu......!
 
Kabla sijachangia naweka tu hii post
alafu ndio naleta kumbukumbu yangu ya utotoni...
 
Tooooooooobaaaa babu uliziba ustawi wa jamii? Una hatari wewe....
Akili za kitoto hizo. Manake nlikuwa nikiachia kojo kitandani asubuhi nakula kipondo cha haja.... nikaona dawa ni kuziba govi... Nlikuwa hamnazo kumkichwa!.......... Ila habari yake niliipata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…