what is your nick name???..... forget about your id.. lets chill here!

Blue G njoo huku kabla sijakulisemelesea li nick name lako, bado nina vita na wewe; vingnevyo nitumie mpesa now now!
mmmmmhhhhh kijana umenishinda mie yaani lile bifu la siku ile halijaisha tu jamani,mmmmhhhhh haya banah ngoja nkutumie hizo hela m-pesa ila nataka na chenji ole wako,afu a.k.a yangu usiitaje maanake we na hivi nimekwambia utanirudishia chenji ndo basi tena utaanza kuntisha.
 

Kuna bwanga ja town na huyu naye ni vyee ja town .
 
Enzi nasoma walikuwa wananiita "Eliumbo".
Nilipewa hilo jina baada ya kupenda mada ya Elimu ya Maumbo katika somo la Hisabati.

Now ofisini wananiita Madame Kijungu.
Sijui kwa nini!!!!
MMAHE.....habari yako, snowhite....habari yako binafsi.
mama mi naogopa kukutania utanichapa, eti uncle Ben alikuwa anaitwa nani wakati wa ujana wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…