What is wrong with this picture?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
Daily News

AT least 921 officials in local authorities including directors were prosecuted or given other punishment over allegations of embezzlement and misuse of public offices in the last four years, the National Assembly here was told on Tuesday.

The Deputy Minister in the Prime Minister's Office (Regional Administration and Local Government), Mr Aggrey Mwanri, told the House that in 2006/2007, some 215 officials were charged with misuse of funds, while in the following year 297 others faced the same charges.

He was responding to a question by Mr Masoud Abdallah Salim (Mtambile-CUF), who wanted to know action taken by the government against officials misusing public funds.

Mr Mwanri said in 2008/09 some 307 officials were charged with embezzlement. He said from 2006/07 and 2009/10 some 30 councils misused public funds and appropriate action taken against culprits.

Mr Mwanri further said 33 directors of local authorities faced the government wrath, while others were taken to court for the last five years for misuse of public offices and funds.

He said 14 directors were relieved from their duties, two charged in court and eight others were still waiting for appropriate punishment. He said two suspects were acquitted and regained their jobs.

The deputy minister said one director was reprimanded, while one had his salary slashed to recover the misused funds.

He told the House that the government through local governments has come up with regulations during this 2010/2011 fiscal year, to punish indisciplined officials.

My Take:
Ndio maana ufisadi haukomi na hautakoma!
 
very interesting;

  • kwanza kabisa misuse of funds inaongezeka from 215 to 297 to 307 in three years
  • wadogo wengi walipelekwa ndani na wakubwa wengi walipata wrath, wanasubiri appropriate punishment na wawili wamekua charged
  • hawajasema waliomkata mshahara kama yuko kazini au what?
sijui waliofungwa ni wangapi?

UFISADI BABO KUKOMA, SASA UKIJA KWENYE BOGUS RECRUITEES NDIO BALAA... ACHILIA MBALI DOUBLE PAYMENTS MAANA WENGINE SI HEWA BALI NI DUPLICATES; WANAPATA MISHAHARA FROM DEVELOPMENT PARTNERS NA SERIKALI KWA WAKATI MMOJA
 
A reputation is precious but a character is priceless.
Who cares while we are waiting blessings from the top?

only you and me and sometimes we don know what for.....and why...
 
Aggrey mwenyewe anatuhumiwa kutumia baadhi ya halimashauri kujinufaisha kwa kupitishia mgao wake huko kwa hiyo ni vigumu kuondoa wizi ktk halimashauri zetu.
 
Even the president admittedly on a couple of occasions has said is in possession of a list of names for all culprits accused of embezzlement in several key departments, of course, not forgetting the often mocked list of wazungu wa unga. However, 5 years on nothing has been done. Mediocracy is truly rife!
 
pata picha kuwa hiyo ni hali iliyojuulikana ...............jiulize kuna wajanja wangapi hawajuulikani na wangapi serikali inawafumbia macho na hawamo katika hesabu hapo juu?

inaweza ikawa sawa na idadi ya wafanyakazi wa umma ...........
 
AT least 921
shame on them,na ndio maana ameanza kwakusema atleast.........kwamba angalau wamejitahidi,hali ni mbaya aisee these people have no mercey ,no integrity.......umimi uliotawala!!!Hakuna msafi hata mmoja!!!
Tukisema tusubiri wao wawashitaki picha itaendelea kuonekana hivohivo,tuandae mashtaka tukusanye evidence za kutosha tuwaburuze mahakamani,thats the only way to change things!!!
 
Je kumkata mfanyakazi mshahara ndo suluhisho???? This is Tanzania bwana tuna viwango vyetu!
 
Na hao waliokamatwa hatua madhubuti ni kuwahamishia kwenye malisho mapya.Habari ndo hiyo...Kuna untouchables hapa bongo,we acha babu!
 
Aggrey mwenyewe anatuhumiwa kutumia baadhi ya halimashauri kujinufaisha kwa kupitishia mgao wake huko kwa hiyo ni vigumu kuondoa wizi ktk halimashauri zetu.
Mkuu wangu katika viongozi ambao mimi nawavulia kofia huyu jamaa ni mmoja wao. Anachozungumza bungeni ni kazi alokabishiwa kuifanya lakini haina maana sii mkweli wala sii kazi yake kuwahukumu watu...Kapewa role ya kutangaza mpira huu haina maana yeye pia ni mchezaji..
Trust me, kama CCM wana mtu wa maana anayeweza kuwa rais 2015 basi huyu ni mmoja wao...
 
Mkuu wangu katika viongozi ambao mimi nawavulia kofia huyu jamaa ni mmoja wao. Anachozungumza bungeni ni kazi alokabishiwa kuifanya lakini haina maana sii mkweli wala sii kazi yake kuwahukumu watu...Kapewa role ya kutangaza mpira huu haina maana yeye pia ni mchezaji..
Trust me, kama CCM wana mtu wa maana anayeweza kuwa rais 2015 basi huyu ni mmoja wao...
Mkandara unachosema ni kweli,huyu jamaa ni msomi aliyeelimika na ni genius,ila nashangazwa sana kuona yuko ccm akitizama ufisadi unavyoshamiri....Ni mtu niliyetegemea angefanya something badala ya kuwa mtangazaji wa uongo wa ccm....Inasikitisha sana...Sasa hata urais akipewa atafanya nini?Maana si lazima awekwe madarakani na wenye nchi?Maana hata JK si tunamlaumu kuwa yuko madarakani na anachofanya ni kwa maslahi ya waliomweka hapo ie wanamtandao?
 
Back
Top Bottom