jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,585
Usinisemee bhanaNaona unagawa mahela ya binamu
Usinisemee bhanaNaona unagawa mahela ya binamu
Koh koh koh kohBora leo umesema menyeweeee@stunter ndo nn hivyo jaman? Kuna mkuu alinambia nikakataa hunuhumu kumbe kweli?
Chuma uleteUsinisemee bhana
dah where is mr. mshana Jr nikitambo sanangoja tumuite mshana jr , ila hizo ni dalili za kuelekea kuwa vampire maana haiwezekani uchukie watu with no reason
[emoji23] [emoji23] [emoji23] subiri 2020Naomba nitangaze nia huko kwenye PM yako...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Usichezee bahati mkuu, mwisho wa hili tangazo ni kesho...[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] subiri 2020
Wamekusikia watakufata...Usichezee bahati mkuu, mwisho wa hili tangazo ni kesho...[emoji23] [emoji23]
Wewe ndie haswaaaa moyo wangu umedondokea kwenye avatar yako..[emoji173]Wamekusikia watakufata...
Hehe ntauokota nikurudishie...Wewe ndie haswaaaa moyo wangu umedondokea kwenye avatar yako..[emoji173]
Sina PMNi pm nikupe ushauri
Pata mpenzi sahihi atakutoa hasira zote...huenda umechelewa kuolewaKujitoa jf ni mwiko[emoji13]
[emoji76] [emoji76] [emoji76] thank you tho....
Sina kabisa...Huna pm , au hujui Pm ni nini!
Wamekusikia watakufata...
Basi sawaHehe ntauokota nikurudishie...