what is the probability?

hahahahaha DC!....OK mwambie jibu lake kuwa i am very engaged!>...na mmasai wangu

Naamini ameona.

Ila kwa madume wengi (tena wabongo) wanaamini engagement zinavunjwa tu kutegemea na scud za mtu!! Yetu macho, ngoja tusubiri. Ila akija kwa PM ukumbuke angalau kutumegea kidogo. Si unaona mwenyewe jinsi tunavyotoa ushauri, labda siku moja twaweza itwa kuwa mashuhuda wa deal zenyewe!:rolleyes:
 
hahahah kwa hilo DC ameula maana hapa nipo very imara sitetereki aisee....Miye kwa mmasai ndiyo nimeshafika miwho wa reli kigoma na mizogo nikatua kabisa nikasema mbele siendelei....ila usikonde mwanawane akituma PM miye lazima nitaku-fowadia tuu!....
 
Hapa ndo unataka kupanda UDA au daladala la kwenda wapi?

You are going too far. In our modern days, faith, to some extent, harmonizes marital relationship, and I was just curios to know how she manages her marital relationship.
 
I can't believe some people in this century are still living in a fallacy. Huwezi kuwa mkristu na muislamu kwa wakati mmoja. Mojawapo ya tofauti kubwa ya Ukristu na Uislamu ni suala zima la Christology, sasa kama mtu hajui hili somo, ni kazi bure kutumalizia server zetu. Mwe!
 
Yaani wewe acha tu. Kama mtu hujijui mwenyewe unasimama wapi usianze kuwauliza wenzio uko wapi. Vitu vingine ni simple common sense tu.
 
hahahah kwa hilo DC ameula maana hapa nipo very imara sitetereki aisee....Miye kwa mmasai ndiyo nimeshafika miwho wa reli kigoma na mizogo nikatua kabisa nikasema mbele siendelei....ila usikonde mwanawane akituma PM miye lazima nitaku-fowadia tuu!....

Nosweti, kama nina mpango na wewe nitakusubiri fainali tu. Wakati huo una watoto watano wa kulea na mmasai anashinda kilabuni. Tena utakuwa unanionga.
 
Yaani wewe acha tu. Kama mtu hujijui mwenyewe unasimama wapi usianze kuwauliza wenzio uko wapi. Vitu vingine ni simple common sense tu.

Acha kushabikia kivuli...utadhani umeshatoa donation vile kwa jinsi unavyopiga tarumbeta wakati mtu unaonekana umeingia kijiweni juzi tuu!...wee acha legendary tuweke vitu vyetu utake usitake...na kama namna gani vipi kwani ulilazimishw akuingia na kusoma na kutoa comment...jeeez some people bwana....
 
Lol Lol Lol.....next....
 
Nosweti, kama nina mpango na wewe nitakusubiri fainali tu. Wakati huo una watoto watano wa kulea na mmasai anashinda kilabuni. Tena utakuwa unanionga.

Inshallah mzuvendi...wanasema subira yavuta heri!,,,,
 
I can't believe some people in this century are still living in a fallacy. Huwezi kuwa mkristu na muislamu kwa wakati mmoja. Mojawapo ya tofauti kubwa ya Ukristu na Uislamu ni suala zima la Christology, sasa kama mtu hajui hili somo, ni kazi bure kutumalizia server zetu. Mwe!

Taratibu yakhe kidole na macho ati!.....mbona owner hajalalamika uje uwe weye!...mwanaume yeyote anayependa sana kulalamika ni shoga......
 
wanawake wanaojiheshimu ambao wako ladylike hawatumii lugha kama zako. mwanamke gani wewe
 
besides lugha gani niliyotumia wee bana nimeshakugundua unatafuta beef na mimi...guess what i aint got that time.......ongea wee ukishamaliza tuma salamu./..alafu for the record shoga siyo tusi kila mtu anatumia hilo neno shoga...top of that i was talking to somebody else mbona unanunua maneno yasiyo kuhusu?...tuma salam after this i am out.....
 
then kama unaona siyo lady like what do you care...mind your own business and i mind mine sijakutuma uje unieleze what to do...na hao wanawake wa dizain unazotaka ww ni zile ambazo ukisema kitu wao ni yes sir....boy you got it wrong.....i ain't like that....i am a wrong person to mess with....i act like a lady but think like a man... you got it....

Sasa hapo ndio umeongea nini? Yaani pumba tupu. Nenda www.eharmony.com kama unatafuta bwana.
 
Wewe ndiyo uliye na matatizo na mimi...na sijakwambia natafuta naona unanitafutia mabaya sasa....

Mods this dude man....ananitafutia ubaya you better tell him before it too late....sipo hapa kudeal na upumbavu wake naona kanianza taratibu sasa anafika mbali sana...kama ww shida yako kutongoza wanawake annoymous online siyo kila mtu....
 
Pow! Pow!
 
kelly01
hiyo position uliyokuwa sasa hivi ni nzuri sana na watu wengi hawajaipitia
kwa ajili watu wengi wamezaliwa kwenye dini na hawajapata nafasi ya kuonja sehemu mbalimbali
cha kufanya endelea kwenda sehemu zote mbili mpaka itafikia wakati utajua dini gani inakufaa kutokana na life style yako na mambo yanayofundishwa kwenye hizo..
au wengine kama wewe wanasubiria wakiolewa kwa hiyo wanafata upande wa dini ya mme wake na wote kuwa upande mmoja

probality
kwa ajili msikiti na kanisa ni majengo mawili tofauti, ukiwa msikitini huwezi kua kanisani at the same time, mpaka utoke nje na uwende kanisani.
kwa hiyo probability yako ni kama ya shilingi iliyorushwa maramoja inaweza ikawa head au tail lakini haiwezi kuwa head and tail.
kwa hiyo
p(mkristu) = 0.5 p(wewe si mkristu) = p(muislamu)
p(muislamu) = 0.5 p(wewe si muislamu) = p(mkristu)

p(pagan) = 0 wewe sio pagan
p(mkristu n muislamu) = 0
 
Taratibu yakhe kidole na macho ati!.....mbona owner hajalalamika uje uwe weye!...mwanaume yeyote anayependa sana kulalamika ni shoga......

Sikiza wewe transgender , usidhani matusi yanauzwa dukani.

Nimetoa maoni ya msingi kuhusu hoja yako, kama unatatizo na hilo sema. Usianze kulialia. Kama unaona jibu langu halina mashiko ungeanza mbele.
 
For me, it shows that u do not understand the philosophy of the two religions. They are very different na hakuna mtu anaweza kusema I Am Both. For one, the corner stone of Christianity ni John 3:16. Not so sure of Islam but i know they dont believe Jesus to be the Son of God. And if you dont know the importance of this statement, basi tena, kipaimara ulikuwa kimwili tu na sio kifikra.
 
Kelly01

Naona jf wanakuzinguazingua kukpatia jibu la probability yako, bilashaka utakua umezidi kuchang'anyikiwa kwa situation ambayo unayo

Ushauri wa bure;

Onana na Sheikh MAZINGE atkusaidia, nakumbuka kulikuwa na wenzako wengi na matatizo kama hayo, sasahivi mambo yao yamenyooka

Nakutakia kila la kheri mkuu.
 
Back
Top Bottom