Mopao Josee
JF-Expert Member
- Jul 15, 2009
- 280
- 1
___be where u ca fit 100%
usiwe ka huna masters huko kwingine ni part time tu>>><<<<
usiwe ka huna masters huko kwingine ni part time tu>>><<<<
BluRay:
Lakini Jesus aliyasema hayo akiwa Jew na vilevile hakuwaambia Jews ambao walikuwa wanafanya vizuri kwenye dini yao kuwa wamepotea. Kwa mfano, alimwona mwanamke masikini aliyetoa sadaka kwa kutumia kipato chake chote na kumsifu. Hakuna sehemu yoyote inayoonyesha kuwa yule mwanamke alimfuata Jesus.
Mfano uliotoa hapa unatumiwa hili watu wafuate taasisi fulani ya kidini. Lakini mara nyingi Jesus alikuwa anaongea na hypocrite Jews ambao walikuwa wameacha taratibu za dini yao na kufuata mafundisho ya kipagani. Hivyo interpretation ya kile alichozungumza ni lazima iangalie wakati na audiences alikuwa anazungumza nao.
Kwenye Koran kuna sehemu nyingi zinazokubalia kuwepo kwa dini zilizopewa kitabu cha kuamini Mungu Mmoja na kukubali wenye kufanya vizuri kwenye dini hizo. Hivyo kama Mkristo, Myahudi au Sabatian anayefanya vizuri anakubaliwa na Koran, kwanini basi awe pagan pale anaposali Msikitini? That doesn't make sense to me.
...so what is the probability here....je mimi ni mkiristo au mimi ni muislam?......
Tatizo ni kwamba, dini si kama a pair of jeans useme kwamba ukijisikia kubadilisha unabadilisha tu.
Afadhali yangu mimi ni kuwa sihitaji kubadilisha kwa sababu sina dini.
sasa hapa ndipo Hosfede anatakiwa kujua kuwa mtu asiye na dini ndiyo mpagani...pagan ni mtu ambaye haamini kama kuna mungu na kama yesu alikufa na akafufuka....na pia kama maria aliweza kushika mimba kwa njia ya roho mtakatifu.....lakini mimi i believe kila kitu kilichoandikwa kwenye bibile kwamba kuna agani jipya na la kale na kuna quran..na kwamba yesu na mtume walikufa ila sina uhakika kama mtume alikuja kufufuka....inabidi nirudi mafundisho...
basically Bluray haamini all the above lakini how come umeweza chambua bibile?....na wakati wewe huamani kama mungu ni mmoja?....
Kelly,Have you ever felt like, you just cant take it? ...ok i felt that way that is why i thought i should go and change my religion kuwa muslim (not perse)....No i feel Like oh Lord just come take me now!.....i am so confused and I cant do this anymore....It's like i wanted something new...and i thought a change will be great....Andi i have never ever doubted God.....Lets be honest i knw there some people going thru same thing as me but they are just holding take it out and say it!.....I do find myself asking why do I go through this?.......... Is there an answer to this? Yes/NO!!!!!.....i GUESS the problem is that the answer may not be what i want to do. Or as easy as you all think or want it to be. See the Lord says this And do not seek what you should eat or what you should drink, nor have an anxious mind. For all these things the nations of the world seek after, and your Father knows that you need these things. But seek the kingdom of God, and all these things shall be added to you Luke 12:29-31.
Chances!.....case closed
This is a kind of "How many Angels can dance on a needle point" question.
Probability deals with the tangible, religion deals with the intangible, the two do not mix.
Kelly, labda kaa chini na ufikirie tena. ukisema unakwenda kanisani,na unakwenda msikitini, hiyo haitoshi. jiulize unaamini juu ya utatu mtakatifu??? unaelewa maana yake??? . kama una elewa na unaamini basi huwezi kuchukua uamuzi wa kwenda msikitini ambako hawaamini utatu mtakatifu. kwa upande mwingine, kama huamini utatu mtakatifu basi huwezi kurudi tena kanisani kwa kuwa kufanya ivyo ni kwenda kinyume na imani yako.
pole dada, hilo si rahisi, lakini ni vema ukalifanya mapema, kwani hujui kesho nini kitatokea
Chances!.....case closed
Kelly,
usijali sana kuwa kwenye hiyo hali..wengi tumepitia hiyo stage ya maisha....its normal.Baada ya kipindi you will find ur groove again.
Case sio closed. Usikimbilie kufunga jibu wakati jibu lenyewe halijakamilika.
Probality ni chance ya kutokea kwa tukio, "Probability, or chance, is a way of expressing knowledge or belief that an event will occur or has occurred."
Huwezi kusema what are the chances mimi ni Mkristo au Muislam, hai make sense! Sijui unanielewa we ndugu?