Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 88
here is the situation...Nimezaliwa nikabatiza then nikafanya mafundisho ya Kipaimara for 2 years na ninapokea sacrament (chakula cha bwana)...then nikaenda mskitini nikaenda kutawazwa na nikaanza kuswali kila ijumaa....Mind you sijabadilisha jina bado jina langu ni Kelly01....so what is the probability here....je mimi ni mkiristo au mimi ni muislam?......maana kanisani nakwenda msikitini nakwenda......
alafu msianze kusema hii topic ya kidini hapa nauliza swali kama huna hoja anza mbele.....
I love you though i could be sturbon like that.....
xoxo
here is the situation...Nimezaliwa nikabatiza then nikafanya mafundisho ya Kipaimara for 2 years na ninapokea sacrament (chakula cha bwana)...then nikaenda mskitini nikaenda kutawazwa na nikaanza kuswali kila ijumaa....Mind you sijabadilisha jina bado jina langu ni Kelly01....so what is the probability here....je mimi ni mkiristo au mimi ni muislam?......maana kanisani nakwenda msikitini nakwenda......
alafu msianze kusema hii topic ya kidini hapa nauliza swali kama huna hoja anza mbele.....
I love you though i could be sturbon like that.....
xoxo
Leo unatisha! Nilipoona kichwa tu, nikajua sasa tumerudi kwenye madarasa tuliyoyakimbia kwa sababu namba (maths au hisabati/hesabu) zilikuwa hazipandi. Pia nilidhani kuwa sasa tunaanza kucheza na lugha za watu!
Sina uzoefu na uislamu lakini kwa uelewa wangu, ukishanusa msikitini na kufanyiwa taratibu za huko basi umeachana na ukristo. Namfahamu dada mmoja ambaye aliolewa na mume muislamu na kufanyiwa mipango ya kubadili dini ingawa haikukamilika. Alipotaka kurudi kanisani baada ya mume wake kufariki ilikuwa kasheshe kweli kweli. Padre alimweka kwenye uangalizi wa Jumuiya kwa karibia mwaka sasa na bado hajapokelewa. Kwa issue yako inawezekana ukawa hauko kokote. Ngoja tusikie wenye uzoefu na uislamu wanasemaje.
Kelly01:
Naona unatumia kanisa au msikiti kama metaphors tu. Lakini inaonyesha nia ya swali lako lilikuwa ni kuonyesha kuwa ulishawahi kula uroda na watu wa jinsia yako, na baadaye kula uroda jinsia tofauti.
Kama nitakuwa nimetoka nje ya mistari samahani lakini wewe ni B. Na unaweza kutoka nje ya makabati.
Your religion is your faith. Your faith is what you believe in. Kama una changanya zote then it means you don't have faith in any of the two religions. Probability is that you are neither are Mkristo or a Muislamu.
DC...Kanisani hawajajua kama nimekwenda msikitini...so miye bado muhumini ila msikitini walijua miye mkiristo maana nimeanza kwenda msitikitini ukubwani so msikitini wanajua kuwa kanisani siendi kumbe nakwenda kila jumapili na msikitini kila ijumaa.....Nipo on dilema i guess!....hofu yangu ni kwamba nisije nikawa denied kotekote alafu niakenda motoni....
yeah but i still believe kuwa mungu ni mmoja na mpatanishi kama ya mungu na mwanadamu ni mmoja....so why niwe neither?...why i believe in both religions?...
Zakumi sorry umeenda nje ya mada sivyo kama unavyofikiria mambo ya uroda....issue yangu ni kama vile unafanya kazi mbili mbili na kampuni tofauti....na zote upo fulltime...
Swali lako linaweza kujibiwa kutegemea wewe ni mkristo wa dhehebu gani kwa sababu si madhehebu yote yana namna moja ya kum-treat mtu aliyeasi dini. Labda kama utangulizi tu nisme katika mambo ya imani huwezi kuishi maisha ya POPO: yaani mnyama na ndege kwa wakati mmoja. Lazima uwe na uamuzi unaoeleweka: au wewe ni mkristo au muislamu. Huwezi ukawa sehemu zote 2 kwa wakati mmoja. Utapasuka msamba!here is the situation...Nimezaliwa nikabatiza then nikafanya mafundisho ya Kipaimara for 2 years na ninapokea sacrament (chakula cha bwana)...then nikaenda mskitini nikaenda kutawazwa na nikaanza kuswali kila ijumaa....Mind you sijabadilisha jina bado jina langu ni Kelly01....so what is the probability here....je mimi ni mkiristo au mimi ni muislam?......maana kanisani nakwenda msikitini nakwenda......
alafu msianze kusema hii topic ya kidini hapa nauliza swali kama huna hoja anza mbele.....
I love you though i could be sturbon like that.....
xoxo
...
Kwa madhehebu kama Wakatoliki ubatizo unakupiga chapa ndani ya moyo wako na kukufanya mali ya Mungu. Ubatizo hautoki milele. Pia Kipaimara hakitoki. Nacho kinaweka alama isiyofutika. Kumbe hata ukiasi dini bado sakramenti hizo ziko live ndani mwako japo unakuwa umepoteza neema zake. Lakini hukomi kuwa mkristo.
......
yeah but i still believe kuwa mungu ni mmoja na mpatanishi kama ya mungu na mwanadamu ni mmoja....so why niwe neither?...why i believe in both religions?...
wapendwa nimesoma post zenu wote and now i am so confused..Nipo dilema hata sijui sasa nianze wapi niishie wapi!.....wooow!....i didn't kama itakuwa this complicated....
Hofstede........why probablity niwe pagan?...wakati i believe both christianity na islam?....I thought ningekuwa siamini dini zote then i would be called pagan....do n;t you think?.
On a serious note -forget the charades about charade- I am with those who say that if you are embracing both religions, then you are neither.
Kwa wakristo Yesu alisema mimi ndiye njia na uzima, yeyote hawezi kupata uzima wa milele bila kunipitia mimi, hapo kuna implied monopoly ya uzima wa milele.Halafu kuna mstari unaosema bwana huwakataa wavuguvugu, meaning that you have to be either hot or cold, imani ya Kikristo is an all or nothing deal, kwa sababu kwa assertion za kibiblia ukristo unatosha na ukiufuatilia hutahitaji dini nyingine, maana yake ukihitaji dini nyingine wewe si mkristo, kwa sababu hauna imani na ukristo.
Uislam nao vile vile unasema kwamba kuna mungu mmoja tu Allah Subhana Wa Tala -The sacred and the mighty- na mjumbe wake ni mmoja tu Muhammda (SAW). kwa hiyo hizi dini mbili zina clauses za exclusivity, clause zilizosababisha hata clashes katika crusades.
Sasa naelewa your tolerant progressive mind want to reconcile the irreconcilable, which is commendable, but hapo utakuwa hupo kwenye ukristo wala uislamu.
Unaweza kuanzisha dini mpya ukawa prophetess -all you need is to go to Cali and grow long hippy hair- lakini itakuwa si ukristo wala uislam.