Kuna powerful people ambao wanalinda maslahi yao kwa gharama yoyote na wana ushawishi mkubwa chini kwa chini juu ya nani awe nani kwa maslahi yao. au ya nchiRockerfella family sizani kama ina kosa mwakilishi umo Deepstate
Nadhani kama hao wanaotengeneza hiyo deep state hapa Bongo basi wengi wao watakuwa waganga wa kienyeji.Kuna powerful people ambao wanalinda maslahi yao kwa gharama yoyote na wana ushawishi mkubwa chini kwa chini juu ya nani awe nani kwa maslahi yao. au ya nchi
Kuna video moja niliangalia YouTube,Kuna former US Government official kwenye serikali ya Bill Clinton (I think alikuwa one of the advisers wa Bill Clinton).Anasema kuna siku kipindi hicho rais Clinton alikuwa anataka ku sign executive order kuruhusu CIA and Pentagon watoe classified files kuhusu UFO and Alien existence ili Clinton aeweze kuwa full briefed kuhusu classified UFO files.Sasa kuna Afisa mmoja wa wa juu wa pentagon alimtembea nyumbani kwake akawa anamwambia akamshauri rais Clinton aachane na mpango wake kwani anasikitika watashindwa kumlinda na ataishia kama JF Kennedy,yaani kupigwa risasi/kuuawa.Anasema alikuwa anaskia tu kuhushu deep state lakini siku hiyo ndio aliamini kuna watu wana run America above president.
Yaani Deep State wanaamini president wa US ni temporary Employee,hivyo hatakiwi kujua kila kitu wala hatakiwi kuambiwa kila kitu.Kuna some top secret national security plans and infos presedent hatakiwi kuambiwa wala kujua na siku akijua wanam neutrolize chap.Jamaa anakwambia alienda kumwambia Clinton kwamba aachane na mpango wake.Ndio hadi leo unaskia mambo ya UFO yanabaki kuwa speculations tu ila kuna watu wachache huko Pentagon na CIA wanajua issue nzima..."DEEP STATE EXIST" wala sio conspiracy.
Nitumie softcopy yake
Sydney Sheldon namkubali sana huyu jamaa
Umenikumbusha mbali sana
![]()
You books. Sidney Sheldon. Are You Afraid Of The Dark
Sidney Sheldon. Are You Afraid Of The Dark.www.you-books.com
Actually everything is here: https://www.you-books.com/Thank you so much
Nakisoma sasa
Ndio wapo mkuu.Deep State ya Dunia actually ni the NWO.Sasa kwa vile NWO Elite hawawezi kuwa kila mahali,wamejiundia intelligence organizations kama CIA,MI6 au MOSSAD.Vikundi hivi ndivyo vinavyo tekeleza malengo yao Dunia nzima.An alleged secret network of especially nonelected government officials and sometimes private entities (as in the financial services and defense industries) operating extralegally to influence and enact government policy.
The power of the deep state comes from experience, knowledge, relationships, insight, craft, special skills, traditions, and shared values. Together, these purported attributes make nameless bureaucrats into a supergovernment that is accountable to no one. That is a scary prospect.
mwenye uelewa mpana kuhusu hawa jamaa atujuze nasikia nchi kama US ndio wanaongoza behind the elected Prezidaa ndio maana anaweza kuahidi chochote halafu asitekeleze au wakamuondoa kama wanaona anazuia maslahi yao au anapindisha DIRA ya Taifa.
Nasikia pia ndio wanapanga
nani aongoze nchi
nani awe makamu
nani awe PM
Ukikiuka miiko yao wanakufitinisha na wananchi ili wapate sababu ya kukuondoa kidemokrasia ikishindikina ndio wanatumia "other means".
NB:Kila nchi ina hii kitu including Tz huwa wanalinda maslahi ya nchi (kwa nchi zilizoendelea) au maslahi binafsi kwa nchi zinazoendelea, sio lazima wawe raia wa nchi husika wanaweza kuwa hata raia wa nchi nyingine wanasimika kiongozi wanaohisi ana maslahi kwao. Wanamkontroo kwa rimoti akiwazingua wanamchenjia.
Hapa kwetu wapo??
Waanzilishi wa hii clan ni Rokkefela family na Rotschild ndo wanacontrol benki zote duniani,Mafuta migodi ya madini na Vyombo vikubwa vya habari dunia mzima.Ku Klux Klan
Mkuu hawa Deep state wa Tanzania vipi wana kiongozi wao au na ana julikana kwa cheo kipindi?“Deep State” nchini Tanzania
“Deep State” kwa tafsiri isiyo rasmi ni “Waundaji na Waendeleza Taifa”. Tanzania neno “System” (Mfumo) huwa linatumiwa sana kumaanisha deep state lakini kiuhalisia deep state sio system. System ni mojawapo ya zao dogo tu la deep state na inaweza kusambaratishwa wakati wowote.
Deep State ni kundi lisilo rasmi la kiintelijensia ambalo hujumuisha makundi mbalimbali. Hujumuisha baadhi ya watu waliopo katika utumishi na wastaafu na hata marehemu (maandishi yao) katika intelijensia ya jeshi, usalama wa taifa na hawa huja pamoja si kwa kuambiwa au kuelekezwa bali kwa yale ambayo wao wanayaamini kimapokeo kuwa ni misingi ya uhai wa taifa. Watu hawa huamua nani awe mgombea Urais kwa mfano, nani awe Makamu wake, nani awe Waziri Mkuu, nani awe tajiri mkubwa (kwa nchi nyingi za Afrika kwa mfano matajiri wengi wamefanikiwa kwa kupitia kazi za miradi ya umma) kadhalika. Maamuzi haya hayafanywi usiku mmoja, wakati mwingine huchukua miaka wakitumia njia zote zinazowezekana kuhakikisha nani anafikia nafasi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi au sehemu fulani nyeti na nani hafiki.
Wakiamua wewe hutakaa uwe Rais wa nchi kwa mfano, huwezi kuwa. Huwa hawana upendeleo, wana roho ngumu, maamuzi magumu, hakuna anayemzidi mwingine kwa uzito na umuhimu wa maoni na hutazama mustakabali wa nchi kwa miaka mingi mbele, tofauti na wanasiasa ambao wao hutaka tu kushinda chaguzi. Ifahamike kuwa inawezekana hata Rais aliye madarakani asifahamu kwa hakika watu hao wote kwa ujumla wao. Hii hutokea hasa katika nchi zinazofanya chaguzi kila baada ya miaka michache. Waasisi wengi wa mataifa huwa ni sehemu ya deep state mfano Mwalimu Nyerere ambaye maandiko yake ndicho chanzo cha Waziri Kiongozi wa zamani wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad kufungwa gerezani na hadi leo kuendelea kuota ndoto za kuwa Rais wa Zanzibar ambazo huenda anakwenda nazo kaburini. Deep state huwa ni kama jini, wakati mwingine unaweza kusema halipo ni maneno tu.
Deep state huweza kutikisa nchi kwa kuuhujumu uongozi ulio madarakani kama ikidhihirika walikosea katika kumpitisha kiongozi husika au wakipoteza nguzo inayowalinda ambayo ni uhai wa taifa. Nchini Tanzania kundi la “deep state” halizidi watu 50 katika wakati wowote.