What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

hahahahha ni jike dume! Demu ataunguruma vipi? Au anaungurumishwa! Wao hulalamika hawaungurumi! Utasikia wakilalamika hivi aaaah! Ooooh! Yaaaalaaa! Mmmmmh! Ghoooooshi!yeeeeees! No no no no yes yes yes.mmmmmh.....!!

first class crap
 
magamba yameishiwa mbinu za kujihami, mashambulizi yanazidi, wananchi wanaelimishwa wakitakiwa kuonyesha mshikamano kwa njia ya maandamano wananchi hawasiti, wanajitokeza tena kwa wingi, kuonyesha uelewa unaongezeka. hongora CHADEMA, hongera ndugu H. mdee na timu nzima wapenda tanzania. OBRIGADO!
 
Hongera Mdee .Mwaga sumu waile wafe wenyewe , wewe chapa kazi .
 
Yuko na Yusuph Mwenda, ambaye pia ni Meya wa Manispaa ya Kinondoni.
Yusuph anafungua rasmi kikao, ingawa mwitikio wa watu ni mdogo sana!
 
Anazungumzia mradi wa barabara kutoka Millenium Towers mpaka Shopers Plaza...
I wonder kwanini haitapita uswahilini...
 
Topic ni uwezeshwaji wa vijana na akina mama! Ishu ni mikopo ya fedha na vitendea kazi.
 
safi dada, tuletee wana mikocheni maendeleo zaidi.
 
Changamoto ya takataka, na ulinzi shirikishi...
Bado kuna mkanganyiko!
 
Anazungumzia mradi wa barabara kutoka Millenium Towers mpaka Shopers Plaza...I wonder kwanini haitapita uswahilini...
Duh. Millenium Towers mpaka Shoppers plaza ndo barabara gani hiyo! Hujaeleweka kabisa, au unamaanisha kawe mpaka shoppers plaza?
 
Anazema kuhusu itikadi za chama kufa afta qampeni. Sasa ni kazi tu...
 
Duh. Millenium Towers mpaka Shoppers plaza ndo barabara gani hiyo! Hujaeleweka kabisa, au unamaanisha kawe mpaka shoppers plaza?

nope! Millenium Towers mpaka Shoperz, itakatiza Mikocheni 'A'
 
Anazungumzia SACCoS na mchango wake kwa maendeleo...
 
Wananchi wamepewa nafasi ya kusema kero zao...
 
Back
Top Bottom