What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

WiVU SINA NNDUGU YANGU NA SIWEZI KUWA NA WIVU NA HUYU KIMADA AFTER ROLL MIMI NI MKUU WAKE WA KAZI NINA HESHIMA KUBWA NDANI YA CHAMA NA NDANI YA BUNGE AKIKUTANA NAMI LAZIMA ANISALIMIE SHIKAMOO KABLA SIJAANZA KAZI ZA SIKU

KAMA NI KUCHAKACHUA SISI NDIO WACHAKACHUAJI WA KWANZA KABISA WA HII VITA SASA BAADA YA YOTE HAYA WIVU WA NINI MIMI NASEMA UKWELI KUMSAIDIA MWANANGU ASIKOSE UGALI,NA UCHUNGU NA KAZI NILIYOMFUNDISHA MAMBO YAMEBADILIKA ACHANA NA HIZO CHUNUSI HAZINA NOMA WEWE KOMAA NA KAZI BINTI
 
Huyu jamaa no fisadi mkubwa au katumwa na James Mbatia kuja kuleta upuuzi humu, watu tuko makini na hoja zako hazina msingi. kama wewe ni KE basi utakuwa utakuwa na wivu na huyu dada sisi tunajua anafanya kazi gani huyu ni mwanasheria na yuko bizy na maswala ya katiba mpya.

Usifikiri CDM ni kama wewe na CCM yako kazi kuropoka tu. mbona hamjadili wabunge wenu ambao kwa muda wa miaka mitano hawakuchangia?

Acheni unafiki humu si kwa wanafiki bali kwa watu wa kweli wanaopenda nchi yao.
 
Usifunge mdomo sister,mtoto wa mkulima anasema ukweli kabisa,mimi naamini mbunge ana muda mrefu sana nje ya bunge na anatakiwa kufanya kazi kubwa sana nje ya bunge kuliko bungeni tizama,bunge refu ni bunge la bajeti na hapo wanajadili bajeti kwa asilimia 90 na mabunge mengine ni mafupi mafupi hivyo tunamtegemea mbunge afanye mambo mengi zaidi akiwa mtaani kuliko bungeni

Halima Mdee na wale mabinti wote wa CHADEMA ni wapuuzi na hawajaonyesha uwezo wao kwa kipindi hiki hawqatofautiani sana na wabunge wengi wa CCM ambao wengi utakutana nao Dubai na Singarpore wakifanya shopping za nguo za kuingia bungeni.

Hawa wabunge wa CHADEMA hata juzi kwenye maandamano haakuwemo,Halima Mdee kama mbunge wa muda alitakiwa aonyeshe mfano sasa yeye amefanya Club ndio kwake kila wikend ana skendo club na anatumia hela nyingi sana kuzima skendo hata mii naogopa kuziweka hapa kwani zimezimwa kwa gharama kubwa.

Halima acha utani hii kesi ukishindwa utakuwaq umepotea kisiasa kabisa na ni nakuhakikishia hao mashostito wa bongo hawana mpango watakukimbia mara moja,jipange fanya kazi sisi wananchi wa Kawe tunakuamini ila ukimya wako unatutisha TUTAKUTOSA NA UTASHANGAA;;
This looks like a personal issue to me...I did not see any evidence to support your claims.After all it's only 2 months after elections.Too early to judge..Invalid accusations indeed taking the length of time she's been in office and does make the logic behind this too questionable and fishy!
 
Huyu jamaa no fisadi mkubwa au katumwa na James Mbatia kuja kuleta upuuzi humu, watu tuko makini na hoja zako hazina msingi. kama wewe ni KE basi utakuwa utakuwa na wivu na huyu dada sisi tunajua anafanya kazi gani huyu ni mwanasheria na yuko bizy na maswala ya katiba mpya.

Usifikiri CDM ni kama wewe na CCM yako kazi kuropoka tu. mbona hamjadili wabunge wenu ambao kwa muda wa miaka mitano hawakuchangia?

Acheni unafiki humu si kwa wanafiki bali kwa watu wa kweli wanaopenda nchi yao.

Toa UTUMBO HAPA WATU TUNAZUNGUMZIA MASLAHI YA KAWE WEWE UNALETA NDOVU LAGER ZAKO HAPA GO TO HELL;;;
 
This looks like a personal issue to me...I did not see any evidence to support your claims.After all it's only 2 months after elections.Too early to judge..Invalid accusations indeed taking the length of time she's been in office and does make the logic behind this too questionable and fishy!

WE MlEVI TUU HUNA KIPYA
 
Instead of talking issues we are busy discussing upupu......, No wonder Dowans et al Wanatuibia.

Mr Son of a Gun hizi nguvu za kumchambua huyu dada ambaye alidiriki kuachia viti maalumu na kuingia jimboni ungezitumia kuwachunguza owners wa Dowans labda sasa tungekuwa tuna 185 billions kwenye hazina zinangoja kujenga shule....... People we are Fighting the Same Battle kukuomboana Watanzania, Its about time tuache Childish Stuff..... Kama Jokes na Kuliwazana Kuna majukwaa ya Jokes....
 
KWELI MKUU ILA INAUMA SANA KUONA MTU MMEMLEA MMEMPIGIA KAMPENI MMEMCHAGUA eTI LEO ANAZUA BALAA NA SONGOMBINMGO CLUB DAILY HII SIO SAWA ,SASA SI AWE DADA POA TUUU TUJUE MOJA AU??????
 
UNAPOPATA NAFASI KUWA MBUNGE HASA MWANAMKE KATAIKA MFUMO DUME TULIO NAO NI LAZIMA UONYESHE KWELI WATANZANIA WAMECHAGUA MTU MAKINI NA ANAYEWEZA KUFANYA KAZI NAO NA KUWATETEA

ToKEA HALIMA MDEE ACHAGULIWE AMETUMIA MUDA MREFU KUFANYA HAYA YAFUATAYO

-KUJENGA URAFIKI NA MADADA WA VIWANJA KAMA KINA JIDE NA WENGINE
-KUTAFUTA SULUHISHO LA CHUNUSI ZILIZOJAA USONI MWAKE
-KUTAFUTA MWANAUME WA KUMUOA
-KULEA VISERENGETI BOY AMBAVYO HAVINA MPANGO NAE

HALIMA MDEE AMESAHAU HATA CHAMA KILICHOMUWEKA MADARAKANI KWANI

-HAKUSHIRIKI HATA KWENYE WALKING OUT YA BUNGENI ILIYOFANYWA NA WABUNGE WA CHADEMA BUNGENI ,ALIDAI ALIKUWA ANAUMWA LAKINI KWA UKWELI ALIKUWA NA MASHOSTITO WAKE WAKIPIGA HEINKEN NA KUANGALIA BUNGE KWENYE TV PALE 84 DODOMA
-HAJASEMA CHOCHOTE KUTOKANA NA MAUAJI YA ARUSHA ,YEYE ANAJIPANGA SASA HIVI KUELEKEA MZALENDO ,NA MAISHA CLUB HUKU AKIWA AMEZUNGUKWA NA MASHOSTITO WA KUFA MTU KAMA WIKI ILIYOPITA
-HAJASHIRIKI HATA KUSIMAMIA AU KUSEMA LOLOTE KUTOKANA NA UCHAGUZI WA UMEYA UNAOLETA MTAFARUKU NCHI NZIMA YEYE ANATUMIA MUDA MWINGI SALOON KUONDOA CHUNUSI NA KUTENGENEZA RASTA FEKI

WANAWAKE MNABOA SANA NA MNATUANGUSHA SANA TUKIWAPA MADARAKA MNAPIGA PODA .

NI BORA UCHAGUZI KAWE URUDIWE NA KESI YA UCHAGUZI KAWE HALIMA MDEE ASHINDWE KWANI HANA MAAAANA

NI BORA USHINDWE NA UBUNGE WA VITI MAALUMU UMEISHA URUDI KIJIJINI UKALIME NYAMBAFUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU;;

Tueleze Kikwete amefanya nini kwanza toka ameingia ikulu tena then ndio uanze pumba zako. Retard!!:shut-mouth:
 
Huyu jamaa no fisadi mkubwa au katumwa na James Mbatia kuja kuleta upuuzi humu, watu tuko makini na hoja zako hazina msingi. kama wewe ni KE basi utakuwa utakuwa na wivu na huyu dada sisi tunajua anafanya kazi gani huyu ni mwanasheria na yuko bizy na maswala ya katiba mpya.

Usifikiri CDM ni kama wewe na CCM yako kazi kuropoka tu. mbona hamjadili wabunge wenu ambao kwa muda wa miaka mitano hawakuchangia?

Acheni unafiki humu si kwa wanafiki bali kwa watu wa kweli wanaopenda nchi yao.

Ni ya kweli kabisa.
 
crap
unapopata nafasi kuwa mbunge hasa mwanamke kataika mfumo dume tulio nao ni lazima uonyeshe kweli watanzania wamechagua mtu makini na anayeweza kufanya kazi nao na kuwatetea

tokea halima mdee achaguliwe ametumia muda mrefu kufanya haya yafuatayo

-kujenga urafiki na madada wa viwanja kama kina jide na wengine
-kutafuta suluhisho la chunusi zilizojaa usoni mwake
-kutafuta mwanaume wa kumuoa
-kulea viserengeti boy ambavyo havina mpango nae

halima mdee amesahau hata chama kilichomuweka madarakani kwani

-hakushiriki hata kwenye walking out ya bungeni iliyofanywa na wabunge wa chadema bungeni ,alidai alikuwa anaumwa lakini kwa ukweli alikuwa na mashostito wake wakipiga heinken na kuangalia bunge kwenye tv pale 84 dodoma
-hajasema chochote kutokana na mauaji ya arusha ,yeye anajipanga sasa hivi kuelekea mzalendo ,na maisha club huku akiwa amezungukwa na mashostito wa kufa mtu kama wiki iliyopita
-hajashiriki hata kusimamia au kusema lolote kutokana na uchaguzi wa umeya unaoleta mtafaruku nchi nzima yeye anatumia muda mwingi saloon kuondoa chunusi na kutengeneza rasta feki

wanawake mnaboa sana na mnatuangusha sana tukiwapa madaraka mnapiga poda .

Ni bora uchaguzi kawe urudiwe na kesi ya uchaguzi kawe halima mdee ashindwe kwani hana maaaana

ni bora ushindwe na ubunge wa viti maalumu umeisha urudi kijijini ukalime nyambafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu;;
 
Mi siungi mkono kauli yako, kwa upande wangu nimemuona mara kazaa, akiwa kwenye vikao vya maendeleo ya jamiii akiwa na madiwani na wabunge wenzake kama mbunge wa kinondoni, vile vile nilimuona akiwa na Mama Anna Tibaijuka wakati wa Issue ya viwanja( ktk media coverage). Hii inaonyesha yuko Participatory na issues.

my 2 cts.
 
jus lyk h tjhe name "charityboy".....wanaomuweka mjini wanam-monitor ni jinsi gani anasupport undundu wa majambazi wa shit-shit-em..!!wise jf members dnt pay attention to him ili tumuonyeshe tofauti yetu na yeye asiyeweza jiuliza kwanini au faida yake ni nini kuisupport ccm na vibaraka wake...!!charityboy GO TO HELL...!!
 
TEHE KAZI KWELI KWELI HUYU bINTI KUIMBE ANATAFUTA BOY??TAFADHALI HALIMA NI PM MIMI NITAKULAMBA HIZO CHUNUSI MAPENZI WORY NAT
 
This looks like a personal issue to me...I did not see any evidence to support your claims.After all it's only 2 months after elections.Too early to judge..Invalid accusations indeed taking the length of time she's been in office and does make the logic behind this too questionable and fishy!

Lakini ingeuwa Zitto, the situation would have been quaestionable and fishy!

I dont support accusations against Halima, but it is high time now people be real, do not judge them leader out of evidence.
 
This looks like a personal issue to me...I did not see any evidence to support your claims.After all it's only 2 months after elections.Too early to judge..Invalid accusations indeed taking the length of time she's been in office and does make the logic behind this too questionable and fishy!

Jamani mbona mnaacha kuangalia mambo ya maendeleo mnaanza kujadili mambo ya mtu ambaye ameonyesha njia. Zungumzeni mambo ya ukandamizaji na ufisadi unaofanywa na watawala wetu. Sasa hivi tunahitaji maendeleo nautawala bora bila ufisadi.
 
Hii inaonyesha jinsi Watanzania tulivyo bado nyuma miaka kama 500 na hii inaonyesha itakavyotuchukua miaka mingine 500 kuwa sawa na wenzetu waliostaarabika. Kama wewe unaona tatizo kwa mdee na huoni kwa watawala basi nakupa pole sana ndugu yangu.
 
This looks like a personal issue to me...I did not see any evidence to support your claims.After all it's only 2 months after elections.Too early to judge..Invalid accusations indeed taking the length of time she's been in office and does make the logic behind this too questionable and fishy!

Poleni sana kwa kuendelea kutumika. sasa hivi hamujui mtendalo mtagundua baadaye. Mola akusamehe ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom