Mimi binafsi nimezungumza.
Nimesema kuhusu barabara ya lami nyepesi, itakayopita kwa matajiri pekee na sio kwa masikini.
Nimeshauri utaratibu wa recycling ya takataka uwekwe ili kudeal na takataka hapa Mikocheni na Tanganyika kwa ujumla.
Mwisho nimehoji mustakabali wetu as mpango wa makazi utakapofika kwetu kwa hisani ya Tibaijuka!
Dogo mmoja anazungumzia Capitation Grant kwa shule za msingi, miksa mpango wa MMES 2 na jinsi tulivyofaidika nao...
Pia anazungumzia hoja ya SAKos na complication zake!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.