Idimulwa
Platinum Member
- May 27, 2011
- 5,102
- 2,682
Topic ni uwezeshwaji wa vijana na akina mama! Ishu ni mikopo ya fedha na vitendea kazi.
Mkuu kama topic ndiyo hizo mbona mwitikio wa watu ni mdogo sasa?vijana na kina dada wa dar mbona wako kushoto sana na siasa wakati ndo wanapaswa kuwa chachu ya mabadiliko kinyume na mikoa mingine kama mby,arsh,shy na mza?Hapa kwetu kama mkutano unakuwa na ajenda kama hizi ukiitishwa vijana na akina dada ambao ni waendesha pikipiki,machinga,mama ntilie huhudhuria kwa wingi na hasa akiwepo kamanda toka chadema kama ilivyotokea kwa mdee kuwapo mkutanoni basi mahudhurio huwa ni kufuru so why dar mko nyuma sana na kiukweli vijana dar ndo wanaonekana kupigika kuliko???!!!