Nimependa sana hii strategy ya sasa ya CHADEMA kutawanyisha Makamanda wetu wa ukweli kila kona ya nchi na Dr wa Ukweli kuja kusawazisha issue nzima kotekote tangu kukamilishwe mauaji ya Makada kibao wa CHADEMA kule Igunga.
Hongereni Sana Makamanda Chiku Abwao, Tundu Lissu, Godbless Lema na sasa Halima Mdee. Mwendo mdundo kwa makamando wote wote bila kurundikana kumoja.
Mhe Heche, jeshi la BAVICHA nalo kama kawaida mkuu bila kuchelewesha maana sasa ndiko siko tena!!! Lakini mambo yote safari hii ni kimya kimya bila kupiga mayowe kama kumkimbiza kibaka vile hadi ndani ya chumba kwenye kituo cha polisi.