What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

siko hapa kubishana kisiasa kama hakuna mantiki tupotezee kwa herini naondoka zangu.
 
Kabla hujaaanza kusaidiwa...tuanze na wewee
1.Icho Kiwanja/shamba ulinunua mazingira gani ?
2.Una Documents zozote kutoka Ardhi ?
3.Ulikuwa unAjua kama kulikuwa na Kesi ?
4.Kama wewe Binafsi umechukkua Hatua Gani kwa kupoteza icho kiwanja/Shamba ?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hivi unataka aongelee swala ambalo liko mahakamani hili mseme cdm hawafati utawala wa sheria?

kama unaweza kunirudishia fedha yangu ndio inafanya niseme hayo ardhi naweza kupata popote lakini hakuna fidia kwa ujanja janja. Kauli ya Halima Mdee ingekuwa na mwongozo yeye ni mbunge wa wote bila kujali chama so far sheria inamtambua hivyo.
 
hebu tuongee ukweli wakuu,Mh Halima Mdee yuko wapi??naombeni jibu hapo,vilevile tunaomba record ya utendaji kazi jimboni mwake,tusiwe tunabisha kila hoja inayoletwa hapa bila kuwa na ushahidi!
 
Bado sijaona umaana wa kumlaumu mbunge wenu wa Kawe katika jambo hili,tatizo wengi tunadhani ubunge ni zaidi ya sheria na taratibu zote zinazoongoza maisha yetu ya kila siku,sitaki kuingia sana katika kinachoendelea huko kwenye mgogoro lakini nimekuwa nikiona wananchi wengi wanadhani mbunge ndio suluhisho la kila matatizo yao jambo ambalo si kweli,mbunge anabaki kuwa mwakilishi wa wananchi kwenye chombo cha kutunga sheria huku akiwa na jukumu pia la kusimamia shughuli zote za maendeleo katika eneo husika,kumfanya mbunge kuwa ndio polisi,mahakama,idara ya ardhi na vyovyote vile ambavyo watu wanataka awe si jambo jema na tunakuwa hatumtendei haki mbunge yeyote bila kujali anatoka eneo gani.
Tubaki kuelewa kuwa si kila jambo basi linatakiwa kufanywa na mbunge,je mkuu wa wilaya anafanya kazi gani?Mkurugenzi kazi yake nini?Maafisa ardhi kazi yao nini?Tusipende kuwatwisha mizigo wabunge wetu kwa vitu ambavyo hawana maamuzi navyo
 
Bado Kesi iko mahakamani lakini tumebomolewa nyumba na kunyang'anywa ardhi tulitegemea mbunge ungekuja kusaidia namna ya kutafuta haki mahakamani lakini uko kimya. Wananchi masikini wamefungua kesi lakini kabla ya hukumu tumeondolewa kwa nguvu.

Kumbe nyie wajinga ndio mmevamia viwanja vyetu sio?
 
Hutaki kuhojiwa hata kidogo, yani unataka tukubali tu unacho sema.
Bila shaka umeondoka kwa Amani tu,
siko hapa kubishana kisiasa kama hakuna mantiki tupotezee kwa herini naondoka zangu.
 
Kama Halima atakuwa anajimaliza CCM watakuwa nameshajizika kwa sababu ndio waliotekeleza hilo zoezi!!!
 
Hivi siku hizi umehamia madale?
Singida umehama?

Nilikuwa na imani kuwa wabunge wa upinzani ni wabunge mbadala. Mimi ni mmoja wa waathirika wa bomoa bomoa ya Madale ambayo kuna kila aina ya ujanja ujanja lakini tangu tupate matatizo hayo sijawahi kuona mbunge wangu HALIMA MDEE akisema lolote au hata kuwatembelea waathirika kujua shida zao na namna ya kuwasaidia kwani ni wapiga kura wake.

wapo wanaolala nje hadi sasa, wapo walionyang'angwa ardhi kwa nguvu ya fedha lakini Halima ambaye ni mjumbe wa baraza la madiwani la Kinondoni nilitegemea angekuwa na kauli ya kutueleza wananchi tulioathirika na bomoa bomoa hiyo katika eneo la Madale nakalekwa, madale tuaroho na madale nakasangwe. Ni zaidi ya mwezi sasa tangu kupita kwa bomoa bomoa hiyo.

Halima anajua ukweli kwa sababu yuko kwenye vikao vya manispaa ya kinondoni lakini pia niliambiwa kasomea sheria ( i stand to be corrected) ni sheria ipi inaruhusu kumnyang'anya mwananchi aliyekaa eneo kwa miaka kumi bila kuendelezwa hao wamiliki halali akina Michael Chacha na wenzake walikuwa wapi miaka yote. Sheria inatoa miaka mitatu tu kwa ardhi ambayo haijaendelezwa kunyang'anywa au kuwa mali ya yule anayelindwa na sheria hiyo kwa maana kwamba kama mwananchi ameishi hapo kwa zaidi ya miaka mitatu bila mmiliki halali kutokea sheria inatambua na kumpa umiliki yule aliyopo kwa wakati huo.

My take: Halima Mdee acha kukimbilia kigamboni kuwalilia wananchi wake kutokakana na hofu ya mji mpya anza na jimbo lako. Bado tunakusubiri uje kuongea na sisi wananchi wa Madale ingawa umechelewa.

source: Mimi mwenyewe nilikuwa na kiwanja cha nusu heka Madale.
 
Mbunge wangu wa kawe kupitia chadema

Angalia Mama P,Usijekuta mnavunjiana nakuharibiana mkidhani Halima na wabunge wengine waupinzani watachukiwa nawananchi!Tumeamka watanzania,tunaona,tunatafakari pia tunajua namna yakuamua!2015 mtalitambua hilo!Siasa zenu zamizengwe tunaziangalia nakuzipa kipimo!Mmeua mkawa mnasema ni CDM,Mwisho wayote mmeumbuka Nyororo!
 
Hata mimi nasikitika Halima Mdee ametuacha amekuwa kimya kama hakuna lilitoke jimboni kwake. mimi nina kiwanja nusu heka na nimejenga kanyumba kangu kadogo jamaa wamekabomoa?

wanasema eti sisi ni wakimbizi wanadangany'a public sisi ni wakimbizi kutika Congo mara sijui Burundi ili public iwasupport na kuona imefanya vyema. lakini yote haya yakitokea Halima Mdee amekuwa kimya yani nikikumbuka siku ya uchaguzi mwaka juzi niliamka alfajiri kwenda kumpa Mdee kura yangu yani roho inaniuma.

nashangaa kwanini hawa wabunge wanafuatilia mambo ya majimbo mengine alafu yao wanayanyamazia tu.

Halima Mdee tunakuomba basi ongea hata neno tukusikia sisi tunajua wewe unaujua ukweli wote dada yetu
 
Kwanza nafurahi kuona kwamba maccm wote hapa JF siku hizi mmehamishia makazi yenu jimboni kawe. Kila kukicha mnakurupuka na malalamiko ya kipuuzi dhidi ya Halima Mdee. Pia huu ni ushahidio tosha kwamba Halima Mdee anawaumiza sana vichwa vyenu vya kuku.

Kama serikali ya chama chako cha mabwepande haijui kwamba kuna wanaccm huko akina MAMA POROJO ikaleta tingatinga na mapolisi waliojihami kuja kuvunja nyumba zenu basi hilo ni suala la kuipongeza na halihitaji mbunge kuja kuwapa pole kwakuwa mlitakiwa kwenda kutoa malalamiko yenu kwa viongozi wenu wa ccm waiagize serikali yenu dhaifu isithubutu kuwavunjia makazi yenu.
 
Last edited by a moderator:
Ingekuwa enzi zile wakati CHADEMA wanaiheshimu Jamiiforums viongozi wake wangekuwa washakuja kutolea swala hili ufafanuzi...
 
Unataka useme Halima Mdee na CDM yake ni tatizo kwenu kuliko Chama cha Mabwe pande na jeshi la polisi? au ni shida tu inawafanya mumuone hivyo
 
Mimi siwasemei wengine hii ni shida yangu na wananchi walioomba nipaze sauti kwa niaba yao kule Madele.
Kwa hao waliokutuma kawaambie wamebomolewa kwa mabavu kutokana na kiranga chao cha kuiweka serikali lege lege na dhaifu madarakani. Wewe hatuna cha kukushauri kutokana na kuujua ukweli ulivyo ila unafanya makusudi kulitumia vibaya jina la Mdee kisa ni mbunge wa Chadema. Hiyo amri ya nyie kubomolewa aliitoa Mdee au imetoka serikalini? Kabla ya kumlaumu Mdee, serikali imefanya lolote kuwasaidia msibomolewe?........................
 
:-
hebu tuongee ukweli wakuu,Mh Halima Mdee yuko wapi??naombeni jibu hapo,vilevile tunaomba record ya utendaji kazi jimboni mwake,tusiwe tunabisha kila hoja inayoletwa hapa bila kuwa na ushahidi!

Endeleeni kumtia nguvu tu!Embu lete record ya Ngereja na Mponda ambao walipata dhamana yauwaziri zaidi yakuwa wabunge?Tunapima jamani!Simfukuzana juzi tu hapa kwenye uwaziri?Ooo ile kampuni yachina ilimgaramia naibu wangu safari!Ooo nguzo zilikuwa zinatoka Mufindi kwenda Kenya nakuwekwa muhuri wasouth Africa then zinarudi Tz kuuzwa kwabei yajuu!Haya mnayaona yakawaida mno eee?Subiri 2015!!:-O!
 
Back
Top Bottom