What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

Halima ni very bogus
anariinga utasema haihitaji tena kura

wenzie kina Zitto na Mnyika wako humu
ukiwa na shida nao una wa pm tu
yeye hata ukim add facebook full maringo
mimi nakaa tegeta
nalazimika kumtuma Zitto au Ester Bulaya
wampe ujumbe Halima
simpi kura yangu tena

waliopofuka hawaoni hayo wanaona tunamsakama mpendwa wao
 
LULU ( ELIZABERTH MICHAEL) yule mtuhumiwa namba moja wa mauaji ya STEVEN KANUMBA (hatuna uhakika kama kweli aliua au hakuua) lakini watu wa mwanzo kukimbia kumtetea na wanaharakati ni HALIMA MDEE akiwa mmoja wa mawakili walijitolea kuhakikisha haki inatendeka, so why not Madale dwellers????

Je,Mdee alikuwa anatafuta umaarufu kwenye kesi ya LULU?
 
Bila shaka mtoa mada atakuwa ametumwa na yule shangingi ,fisadi muuza viwanja,mpenda dogodogo janet lite ,hana anachokijua zaidi yakuuza viwanja bunju kule,hata huo udiwani wa bunju aliupata kupitia mgongo wa mh mdee.
Nilikuwa najiuliza kwanini slaa hajamfukuza mpaka leo ,licha ya shutuma zake za uuzaji wa viwanja kuwa wazi ,nikaja kujua kumbe ni rafiki mkubwa wa mshumbusi,na ndie anaemshauri namna yakufanya dili za kuuza viwanja,na huwa anamkatia kidogo.
Na ndio maana slaa anamchukia mh mdee kwani mdee amekuwa mkali sana kwa ufisadi wakuuza viwanja unaofanywa na diwani zuzu lite kwakushilikiana na mshumbusi,jambo ambalo linamkosesha ulaji slaa kupitia kwa mshumbusi.
Mimi ni mkazi wa jimbo la kawe hayo unayoyasema ndo kwanza nayasikia toka kwako,mdee amekuwa karibu sana na sisi kwaujumla wake anajitahidi sana.
Mwambie babu slaa ule mpango wake wakumuhujumu halima kwakutuletea mgombea mwingine 2015 tumeshaushtukia.
Endeleeni na mchakato wenu wakubadilisha uongozi wa jimbo la kawe lakini mwisho wa siku halima atabaki kuwa mbunge wa kawe.
 
Kumbe shida yako ni yeye kujiunga jf! Naona sasa umeongeza tuhuma? Mbona ujauliza kuhusu pinda kujiunga jf ili ajibu kero zetu?

Halima Mdee ni mmoja wa wabunge vijana na wasomi ni kwa nini hajiungi JF kama wengine kutuma majibu ya haya malalamiko???? Je haoni thamani ya mitandao ya kijamii kwa maendeleo ya ubunge wake????
 
Yani wewe unazidi kudhihirisha rangi yako! Una kero wa lolote!

Naona unazidi kuongeza tuhuma, sijui nayo ina husiana na ardhi uliyo pokonywa?

LULU ( ELIZABERTH MICHAEL) yule mtuhumiwa namba moja wa mauaji ya STEVEN KANUMBA (hatuna uhakika kama kweli aliua au hakuua) lakini watu wa mwanzo kukimbia kumtetea na wanaharakati ni HALIMA MDEE akiwa mmoja wa mawakili walijitolea kuhakikisha haki inatendeka, so why not Madale dwellers????

Je,Mdee alikuwa anatafuta umaarufu kwenye kesi ya LULU?
 
Tibaijuka

Sawa Mr Bright, Mie naona kama kuna mtu anahitaji kufundishwa udhaifu wa mwanamke katika nyadhifa za uongozi ni wewe. Mwanamke ameubwa kutoka ubavuni mwa mwanaume. Mwanamke ana kazi anazoziweza na si zote. Ebu kwa uelewa wako nitajie mbunge yeyote wa chama chochote hapa bongo mwanamke unayeona ana qualify kuwa kiongozi.
 
Wabunge wengine hasa vijana wamekuwa wanajitahidi sana kuweka feedback zao kwa wanayoyafanya majimboni mwa. Big up kwa John Mnyika na January Makamba. sasa huyu ndugu yetu Halima Mdee mbona hatuoni uwajibikaji wake. au miaka mitano itamtosha.
 
Kama kimya cha Mdee juu ya bomoa bomoa kwenye jimblo lake (Madale) ni cha manufaa kwa umma kwa nini hajitokezi kusema chochote?????
 
Bado hajaolewa, mchumba wake wa mwisho alikuwa Joshua Nasari sijui wamefikia wapi walitangaza hadharani kwenye uchaguzi wa Arumeru Mashariki.
yah, ila mbowe anafanya mambo kichinichini................teh teh teh...na lile besi sijui bedroom inakuwaje, ila Mashallah, tatizo watu wa kawe walimpa kura kwa kuangalia uzuri wa sura, na kuogopa besi lile............
 
Wabunge wengine hasa vijana wamekuwa wanajitahidi sana kuweka feedback zao kwa wanayoyafanya majimboni mwa. Big up kwa John Mnyika na January Makamba. sasa huyu ndugu yetu Halima Mdee mbona hatuoni uwajibikaji wake. au miaka mitano itamtosha.

Halima Mdee wanamtetea lakini anayo matatizo au alitakiwa kubaki viti maalum..... kama chadema watamsimamisha huyu dada 2015 jimbo la Kawe litarudi CCM.... yangu macho na masikio.

John Mnyika anaonekana mbona hatujamsema?????
 
Bila shaka mtoa mada atakuwa ametumwa na yule shangingi ,fisadi muuza viwanja,mpenda dogodogo janet lite ,hana anachokijua zaidi yakuuza viwanja bunju kule,hata huo udiwani wa bunju aliupata kupitia mgongo wa mh mdee.
Nilikuwa najiuliza kwanini slaa hajamfukuza mpaka leo ,licha ya shutuma zake za uuzaji wa viwanja kuwa wazi ,nikaja kujua kumbe ni rafiki mkubwa wa mshumbusi,na ndie anaemshauri namna yakufanya dili za kuuza viwanja,na huwa anamkatia kidogo.
Na ndio maana slaa anamchukia mh mdee kwani mdee amekuwa mkali sana kwa ufisadi wakuuza viwanja unaofanywa na diwani zuzu lite kwakushilikiana na mshumbusi,jambo ambalo linamkosesha ulaji slaa kupitia kwa mshumbusi.
Mimi ni mkazi wa jimbo la kawe hayo unayoyasema ndo kwanza nayasikia toka kwako,mdee amekuwa karibu sana na sisi kwaujumla wake anajitahidi sana.
Mwambie babu slaa ule mpango wake wakumuhujumu halima kwakutuletea mgombea mwingine 2015 tumeshaushtukia.
Endeleeni na mchakato wenu wakubadilisha uongozi wa jimbo la kawe lakini mwisho wa siku halima atabaki kuwa mbunge wa kawe.

Hoja yako ni thread ingine ya peke yake suala la Halima kutofika kuongea na wananchi wa Madale liko palepale.

sasa ni miezi 2 hajafika bado unataka kumtetea kwa kutumia ugomvi wake na Dk.Slaa na Mshumbusi sio mahali pake hapa. Ugomvi wao sio uliomfanya kushindwa kufika Madale.

Janet ni diwani wa kunduchi sio bunju
 
Kumbe shida yako ni yeye kujiunga jf! Naona sasa umeongeza tuhuma? Mbona ujauliza kuhusu pinda kujiunga jf ili ajibu kero zetu?

Kuna kero za jumla hata PINDA ingefaa kuwepo hapo wakiwemo viongozi wote wa chadema na CCM...

Suala la Halima kijana wa kizazi kipya anahitaji kuwepo hapa lakini zaidi ni kwa sababu suala la Madale liko wazi kwangu kulitolea mfano nahusika moja kwa moja na bomoa bomoa hiyo.....

Hii sio habari ya kusikia tumezoea kusema CCM hawawajibiki na ndio wanasemwa wametubomolea Madale tunakimbilia kwa Halima kumbe ni wale wale.
 
Yani wewe unazidi kudhihirisha rangi yako! Una kero wa lolote!

Naona unazidi kuongeza tuhuma, sijui nayo ina husiana na ardhi uliyo pokonywa?

quote_icon.png
By MAMA POROJO
LULU ( ELIZABERTH MICHAEL) yule mtuhumiwa namba moja wa mauaji ya STEVEN KANUMBA (hatuna uhakika kama kweli aliua au hakuua) lakini watu wa mwanzo kukimbia kumtetea na wanaharakati ni HALIMA MDEE akiwa mmoja wa mawakili walijitolea kuhakikisha haki inatendeka, so why not Madale dwellers????

Je,Mdee alikuwa anatafuta umaarufu kwenye kesi ya LULU?

Wiki iliyopita Halima alikwenda Moro kwenye Arobaini ya ALLY ZONA aliyekufa kwenye maandamano ya Chadema na watuliza ghasia Polisi. Madale na Moro wapi mbali????????
 
Naomba nikuunge mkono kwa hoja ya kutaka msimamo wa mbunge kwa zoezi hili la Madale.

1. Kuna taratibu mbaya zilitumika kwenye zoezi zima, kama uharibifu wa mali Nakasangwe B mbunge ana ulazima wakutoa kauli; kinyume chake tunamuweka kwenye kapu moja na hao majambazi.

2. Kuna wizi wa kijambazi uliofanywa Nakasangwe A ambayo haikuwepo kwenye bomoa bomoa. Polisi hao hao waliofanya ujambazi huo ndio wapelelezi, pamoja na kutajana hakuna kinachoendelea. Mimi nilitegemea mbunge ayajue yote haya na asaidie hata kutufariji tu.

Atakuja kuomba kura kwa mikono ya nyuma na mbele. Mitanzania ndivyo tulivyo
 
mama porojo, kule unamtetea fau huku unamuua halima

ni siasa au facts?
 
MAMA POROJO kwenye thread https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...jimbo-la-kigamboni-na-majibu-ya-mbunge-3.html Umekuwa mchangiaji mzuri, ukisifia kila kitu.
ndungulile ni kifaa .....

Ndungulile ni mmoja wa wabunge 11 bora wa timu ya CCM..... first eleven.

Hata ukitaka kumchafua hachafuki kirahisi..... tembelea kigamboni ndipo utajua kwa jinsi gani mbunge huyu anavyopendwa.

Lakini thread hii uliyoanzisha wewe mwenyewe unapondea kila kitu.

1. Tueleze Jimbo lako ni la Kawe au Kigamboni au uko kwa propaganda za kisiasa?

2. Watu wanapoanzisha uzi kuhusu kero ndani ya jimbo la mbunge wa CCM jibu lako linakuwa "Hata ukitaka kumchafua hachafuki kirahisi.", je unataka tuamini kama na wewe umeanzisha uzi huu kwa nia ya "kutaka kumchafua" Halima Mdee?

3. Waliobomoa Madale ni watu mliowachagua wenyewe (madiwani Majority wa CCM wanaounda halmashauri ya Kinondoni) kwa nini hawa hawatajwi kama sehemu ya tatizo?
 
Waliobomoa Madale ni watu mliowachagua wenyewe (madiwani wa CCM wanaounda halmashauri ya Kinondoni) kwa nini hawa hawahojiwi?

Mimi simjibii mama porojo, ila naomba nichangie kama ifuatavyo:-

Mbunge Halima ni mbunge wetu hata kama hatukumchagua. Kwa nini madiwani wa CCM wanaounda halmashauri ya Kinondoni hawahojiwi ni kweli lakini nani awahoji na kwa nini?

Mimi namng'ang'ania mbunge wangu kwa sababu kuu moja nataka afanye "informed decision" juu ya yaliyotokea. Tusisahau kwa yeye pia ni diwani wa Halmashauri ya Kinondoni, kwa hiyo anajua mtiririko wa maamuzi ya zoezi zima, pia ana taarifa ya mafanikio na mapungufu ya zoezi zima. Kama hajishughulishi kwa nini tusimtilie mashaka? Tunataka tujue tu yeye anafahamu nini kuhusu hili, na je anavyofahamu ndivyo tunavyofahamu? Sisi waathirika tunaona kuna kitu hakikufanyika sawa.

Kuanzia hapo ndipo tutamsomea hukumu; kwa sasa ni kutaka kujua ana msimamo na mkakati gani kuhusu hii kero?
 
MAMA POROJO kweli ulipotea mara ya mwisho nilikupata kwa Mwigulu wakati kiongozi wa UVCCM akiuawa wakati jioni yake ulikuwa Kigamboni kwa Wananchi wakazi waliompokea Mbunge wao aliyefukuzwa na Naibu
Leo upo Kawe Madale na nusu eka safi sana ww mpiganaji
 
Mimi simjibii mama porojo, ila naomba nichangie kama ifuatavyo:-

Mbunge Halima ni mbunge wetu hata kama hatukumchagua. Kwa nini madiwani wa CCM wanaounda halmashauri ya Kinondoni hawahojiwi ni kweli lakini nani awahoji na kwa nini?

Mimi nasema hivyo kwa kuwa hoja zinazoletwa hapa kuhusu suala hilo mara nyingi ni ya kisiasa. Uhalali wa kuwahoji hawa ni kwa kuwa ndio wenye executive power katika jimbo la Kawe na ndio hao waliamua kubomoa, wakapanga utekelezaji, na wakasimamia utekelezaji kwa kutumia askari Polisi wa Tanzania. Hawa si watawala wa kuchaguliwa na Rais, bali ni watu waliochaguliwa nanyi wana Kawe.

Ninakubali kwamba Mbunge ana sehemu yake, lakini tatizo langu ni kuwa mbunge peke yake anakuwa kama ametegwa.

Kuna hoja zinatolewa na Wanasiasa wa CCM tena za kukera sana kuhusu swala hilo, lakini hizo zinanyamaziwa. Mfano Rita Mlaki alitamka wazi kuwa waliobomolewa ni wavamizi na wahuni. Hakuna hata thread moja iliyo jadili hilo

"Akichangia katika mkutano huo, Mbunge wa Viti Maalumu, Rita Mlaki (CCM), alisema serikali imeshafanya utafiti wa kina juu ya kuwepo kwa kigogo huyo na ripoti yake imeshafika mezani kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick.
Hatuna haja ya kulalamika juu ya jambo hilo… ninajua Serikali ya CCM haiwezi kumkubatia mtu kama huyo," alisema.
Mlaki alidai kwa sasa kuna uhuni unafanywa na wavamizi hao ambapo wanajipanga na kuandaa nyaraka, ili ionekane wazi kuwa maeneo hayo ni mali yao kihalali.
Huku akikitetea chama chake, Mlaki alidai kuwa CCM haiwezi kukubali kigogo huyo aendelee kukichafua chama hicho, hivyo anaamini hatua zaidi zitachukuliwa kukomesha vitendo hivyo vya kifisadi.
http://www.dullonet.com/?p=24350
 
Back
Top Bottom