What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

Halima Mdee huwa hodari akiwa mjengoni kuomba miongozo na jioni kupata kinywaji CHAKO NI CHAKO. Jimboni amekuwa anaadimika sana pasipo kujali kipindi cha shida wala raha
 
Halima Mdee huwa hodari akiwa mjengoni kuomba miongozo na jioni kupata kinywaji CHAKO NI CHAKO. Jimboni amekuwa anaadimika sana pasipo kujali kipindi cha shida wala raha

wengi wanaleta siasa katika jambo linalohusiana na wananchi wa Madale lakini wakati hukuta Halima Mdee anawajibika kuuambia umma lolote analojua kuhusu Madale.
 
Kwa hisani ya MAFILILI: Maneno yake haya hapa.

Wananchi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi kigumu cha kukosa mwakilishi aliye makini bungeni katika kipndi cha mwaka 2010 kuelekea 2015. Mbunge aliyeingia kwa mbwembwe nyingi Halima Mdee amekuwa ni zigo lisilosaidia wapiga kura badala yake anajisaidia mwenyewe.

Tangu amechaguliwa:
1. Hapendi kuitisha mikutano ili kupata mawazo ya wananchi
2. Wananchi wa Madale waliopatwa na mashambulizi ya polisi wamekosa pole na msaada wake
3. Wakazi wa Majipwande wanamlilia kwa kutopata msaada wa mali na faraja toka kwake
4. Mfuko wa Jimbo haujatolewa maelelezo kwa wananchi
5. Kushindwa kutekeleza ahadi zake za kuinua kiuchumi vikundi vya vijana na wanawake
6. Kushindwa kutatua matatizo wanayoyapata vijana wa bodaboda na bajaji

Hizo ni kero chache ambazo zilitakiwa zifanyiwe kazi na mbunge wetu.

Kwa kweli wakazi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi tete tunamkumbuka RITA Mlaki ambaye alikuwa karibu na wapiga kura.
 
Hawa Chadema hawafikirie uchaguzi 2015; ufinyu wao unawafanya wasiwe tayari kupokea mawazo yenye nia ya kuboresha utendaji wa wabunge wao. Majuzi wameshindwa kukemea kusudio la madiwani wa Moshi Mjini kwenda ziara ya mafunzo Kigali pamoja na wataalam wote kitendo ambacho kingesababisha ofisi za halmashauri zifungwe kwa wiki mbili. KWA KWELI WABUNGE NA MADIWANI WA CHADEMA NI JANGA LA TAIFA
 
Mwaka 2015 Halima Mdee atakuwa mzigo mzito kwa chadema wapiga kura wengi watamnyima kura.
 
Hawa Chadema hawafikirie uchaguzi 2015; ufinyu wao unawafanya wasiwe tayari kupokea mawazo yenye nia ya kuboresha utendaji wa wabunge wao. Majuzi wameshindwa kukemea kusudio la madiwani wa Moshi Mjini kwenda ziara ya mafunzo Kigali pamoja na wataalam wote kitendo ambacho kingesababisha ofisi za halmashauri zifungwe kwa wiki mbili. KWA KWELI WABUNGE NA MADIWANI WA CHADEMA NI JANGA LA TAIFA

Tukio la bomoa bomoa ya Madale na Ukimya wa Mdee umenifanya kumchukia Mdee na Chadema. Wapo kuikosoa CCM tu.

Chadema Wamepewa jimbo la kawe wanaona ni sawa kwa Halima kutokutana na wakazi wa Madale.
 
Tukio la bomoa bomoa ya Madale na Ukimya wa Mdee umenifanya kumchukia Mdee na Chadema. Wapo kuikosoa CCM tu.

Chadema Wamepewa jimbo la kawe wanaona ni sawa kwa Halima kutokutana na wakazi wa Madale.

hizi political masquaridings kama sio hivo basi ni nyege za kisiasa maana et leo unasema amefanya umchukie na kutoipenda CHADEMA toka linI uliipenda chadema? usibadili mtazamo huo ni udhaifu simama abinitial giving up shall be null and void and of no total force whatsoeverso. Usimpende daima JEMBE DADA HALIMA MDEE UNATISHA.
 
kuripoti tukio na mahali lilipotokea haina maana naishi huko mbona hapa kuna watu wanaripoti hata matukio ya washington kwani ni lazima waishi Marekani.
Katika maelezo yako umedai wewe ni mwathirika wa bomoabomoa ya madale, kama haitoshi ulipoahidiwa heka moja ya kiwanja ukasema kinachokuuma ni pesa uliyowekeza pale na si ukubwa wa kiwanja. Na sasa unadai hukai huko ila ni reporter wa kinachoendelea madale. Hii inaonesha wazi jinsi watu wa aina yako walivyo na asili ya popo, si ndege si mnyama. Katika kutafuta umaarufu mnajifanya ni wenzetu, mambo yakienda kombo hamkuhusika. Hiyo ni picha halisi ya viongozi wa ccm, kukwepa uwajibikaji. Jiamini ndugu na simamia unachokiamini. Sio mara shule za kata, mmechemsha mnaziruka na kukimbilia kilimo kwanza. Mnaendesha nchi kiholela lazima tuwaseme, tukikaa kimya hatuwasaidii na hatuisaidii nchi. Narudia tatizo si Halima Mdee, wala CDM, tatizo ni uongozi wa hovyo wa CCM. Ili tuendelee tunahitaji mambo manne 1. Watu (Human capital, technological capital) 2. Ardhi (Land and all embodied in it) 3. Siasa safi (Dira, Mfumo, sera (Vision, Mission)) 4. Uongozi bora (Planning, Coordinating, Organising, Leading, Strategies). Sasa mama porojo, tunapopungukiwa ni hapo namba nne, na ndio engine yenyewe ya kuleta maendeleo. Hivyo tunapoilaumu serikali yako kwa kushindwa ni hapo kwenye namba nne. Na ndio maana JK na EL wanapishana kauli 1. Kilimo kwanza 2. Elimu kwanza. The issue is no. 4!!!!!! NEED I SAY MORE?
 
Nilikuwa na imani kuwa wabunge wa upinzani ni wabunge mbadala. Mimi ni mmoja wa waathirika wa bomoa bomoa ya Madale ambayo kuna kila aina ya ujanja ujanja lakini tangu tupate matatizo hayo sijawahi kuona mbunge wangu HALIMA MDEE akisema lolote au hata kuwatembelea waathirika kujua shida zao na namna ya kuwasaidia kwani ni wapiga kura wake.

wapo wanaolala nje hadi sasa, wapo walionyang'angwa ardhi kwa nguvu ya fedha lakini Halima ambaye ni mjumbe wa baraza la madiwani la Kinondoni nilitegemea angekuwa na kauli ya kutueleza wananchi tulioathirika na bomoa bomoa hiyo katika eneo la Madale nakalekwa, madale tuaroho na madale nakasangwe. Ni zaidi ya mwezi sasa tangu kupita kwa bomoa bomoa hiyo.

Halima anajua ukweli kwa sababu yuko kwenye vikao vya manispaa ya kinondoni lakini pia niliambiwa kasomea sheria ( i stand to be corrected) ni sheria ipi inaruhusu kumnyang'anya mwananchi aliyekaa eneo kwa miaka kumi bila kuendelezwa hao wamiliki halali akina Michael Chacha na wenzake walikuwa wapi miaka yote. Sheria inatoa miaka mitatu tu kwa ardhi ambayo haijaendelezwa kunyang'anywa au kuwa mali ya yule anayelindwa na sheria hiyo kwa maana kwamba kama mwananchi ameishi hapo kwa zaidi ya miaka mitatu bila mmiliki halali kutokea sheria inatambua na kumpa umiliki yule aliyopo kwa wakati huo.

My take: Halima Mdee acha kukimbilia kigamboni kuwalilia wananchi wake kutokakana na hofu ya mji mpya anza na jimbo lako. Bado tunakusubiri uje kuongea na sisi wananchi wa Madale ingawa umechelewa.

source: Mimi mwenyewe nilikuwa na kiwanja cha nusu heka Madale.

wafu wawzike wafu wenzao, ww km unasubiria HM aje aalifanye hiili katuu hawezi kutokea, na umempa jukummu kubwa sana ambalo haliwezii, yeye ni mbbunge wa starerhe na mambo ya anasa, nenda bilicanas utamkuta kila siku usiku anakula raha kwa mrija
 
Wakati mwingine tunafikiri wapinzani ni dawa ya matizo yetu kumbe si kweli ukimya wa Halima Mdee kwenye tatizo letu la Madale hakika nimeushangaa sana.

Hata mimi mwanzo nilidhani ivo ivo baada ya kuwachunguza sana wanasiasa nilikuja kuamini kuwa wanasiasa ni watu wa ajabu sana, huwa wanawachezea wananchi kisaikolojia kwa kuyaongea sana yale madhaifu ya serikali iliko madarakani ikijiaminisha kwa wananchi kuwa wao ni ufumbuzi wa matatizo hayo kumbe ni ulongo.
Halima mdee lile jimbo asingeshinda sema wana magamba walichemka kwa kumtosa mgombea aliyekuwa anakubalika. Kaka huyo dada hana wasiwasi na nyie kwani anajua yeye yuko anajenga chama (Movement 4 Chagaz M4C, or Movement 4 christian M4C)akimaliza atarejea
 
Bado hajaolewa, mchumba wake wa mwisho alikuwa Joshua Nasari sijui wamefikia wapi walitangaza hadharani kwenye uchaguzi wa Arumeru Mashariki.
kuolewa baod. hujajua?hawa CHADEMA wengi wanatafuta mitaji wengine passport za kwenda nje, sasa saa ngapi aje ahangaikie mashamba na viwanja, YAANI NAWAAMBIA KIPYA KINYEMI, KAMA UNAWAFUATILIA TAFUTA HISTORIA YA KILA MMOJA.
 
Porojo rudi na porojo zako hapa utueleze historia fupi ya hicho kiwanja ulikipataje/unakimili vp, hiyo sehemu ni reserved, residential, industrial area au.
Hivi unajua ardhi ni mali ya serikali? Hiyo sheria ya kukaa mahali miaka mitatu ndiyo unafanya kwako sijaielewa vizuri. Ulishamtafuta Mbunge wako wewe kama Porojo ukamueleza hili tatizo lako au ndiyo umekuja kumtafutia hapa jf
 
Katika maelezo yako umedai wewe ni mwathirika wa bomoabomoa ya madale, kama haitoshi ulipoahidiwa heka moja ya kiwanja ukasema kinachokuuma ni pesa uliyowekeza pale na si ukubwa wa kiwanja. Na sasa unadai hukai huko ila ni reporter wa kinachoendelea madale. Hii inaonesha wazi jinsi watu wa aina yako walivyo na asili ya popo, si ndege si mnyama. Katika kutafuta umaarufu mnajifanya ni wenzetu, mambo yakienda kombo hamkuhusika. Hiyo ni picha halisi ya viongozi wa ccm, kukwepa uwajibikaji. Jiamini ndugu na simamia unachokiamini. Sio mara shule za kata, mmechemsha mnaziruka na kukimbilia kilimo kwanza. Mnaendesha nchi kiholela lazima tuwaseme, tukikaa kimya hatuwasaidii na hatuisaidii nchi. Narudia tatizo si Halima Mdee, wala CDM, tatizo ni uongozi wa hovyo wa CCM. Ili tuendelee tunahitaji mambo manne 1. Watu (Human capital, technological capital) 2. Ardhi (Land and all embodied in it) 3. Siasa safi (Dira, Mfumo, sera (Vision, Mission)) 4. Uongozi bora (Planning, Coordinating, Organising, Leading, Strategies). Sasa mama porojo, tunapopungukiwa ni hapo namba nne, na ndio engine yenyewe ya kuleta maendeleo. Hivyo tunapoilaumu serikali yako kwa kushindwa ni hapo kwenye namba nne. Na ndio maana JK na EL wanapishana kauli 1. Kilimo kwanza 2. Elimu kwanza. The issue is no. 4!!!!!! NEED I SAY MORE?

Kuwa na kiwanja Madale na kuwa mwathirika wa huko sio lazima niishi huko Madale. Mtu akiwa na viwanja 10 atakuwa anaishi kote? Tuwe makini kusoma kinachoandikwa. wapo walio na nyumba Madale lakini walipangisha na pia ni waathirika wa bomoa bomoa hiyo.
 
Porojo rudi na porojo zako hapa utueleze historia fupi ya hicho kiwanja ulikipataje/unakimili vp, hiyo sehemu ni reserved, residential, industrial area au.
Hivi unajua ardhi ni mali ya serikali? Hiyo sheria ya kukaa mahali miaka mitatu ndiyo unafanya kwako sijaielewa vizuri. Ulishamtafuta Mbunge wako wewe kama Porojo ukamueleza hili tatizo lako au ndiyo umekuja kumtafutia hapa jf

Kwa sababu kaguswa Halima Mdee ndio maana leo unakuja na maswali haya.... mpelekee Mdee maswali yako ndio atatoa majibu kwa Umma. Kama ana majibu ya kweli ya kinachoendelea Madale anakimbia nini kuja kutueleza ukweli?
 
Ni hilo tu tunalotaka hakuna lingine.... Tutakuwa radhi kukubali hata akisema sisi ni wavamizi ndio tutathibitisha kwamba sisi sio wavamizi.

Halima Mdee kaingia kwenye kundi la kusikiliza taarifa za kuletewa ofisini hataki kujua sisi tunajua nini kuhusu jambo hili na ndipo angepata nguvu namna ya kutusiaidia.

hapa siwezi kusema kila kitu kwa sababu wapo waliofanya ujanja huu watatumia kama taarifa ya kujiandaa kutumaliza ndio maana maswali ambayo tunatakiwa kuulizwa na Mdee wapo wanaotaka niyamwage Jf.
 
Kinachotuuma juzi Jumapili Halima Mdee alikuwa Morogoro kwenye arobaini ya yule kijana aliyeuawawa kwenye maandamano ya chadema lakini kashindwa kufika kujua hali zetu wakazi wa Madale tuliathirika na bomoa bomoa yapata mwezi sasa.
 
Back
Top Bottom