What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

Je, ndugu yangu hili swali ulishamuuliza Waziri wa Ardhi??

Na alikujibu vipi,

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!

Uhakika nilio nao, Waziri wa ardhi alifika Tegeta Kisanga yeye mwenyewe, akaongea na wananchi akiwahakikishia kwamba kila kitu kitanyooka. Lakini wapi! Mpaka leo wanaenda Bungeni, halafu, si umemsikia akieleza ya Kigamboni pale Jangwani, ulisikia akisema eneo lingine? Sijui kama nimekuelewa, maswali anaulizwa sana kwenye mikutano lakini majibu ni politcs tu!
 
Pole kwa majukumu ya mjengoni Dodoma, mie mpiga kura wako nachukua fursa hii adimu kukuomba uje sehemu husika, Tegeta Namanga utukisikilize namna tunavyoteseka kuishi nje katika kipindi hiki cha baridi baada ya nyumba zetu kubomolewa na Big Bon, tafadhali njoo haraka!
 
MAFILILI, hata wewe kada hukusalimika?
 
Pole kwa majukumu ya mjengoni Dodoma, mie mpiga kura wako nachukua fursa hii adimu kukuomba uje sehemu husika, Tegeta Namanga utukisikilize namna tunavyoteseka kuishi nje katika kipindi hiki cha baridi baada ya nyumba zetu kubomolewa na Big Bon, tafadhali njoo haraka!

Unayo haki ya kumhitaji mbunge wako physically awepo kujionea ili aweze kuwatetea vilivyo ktk kuiwajibisha serikali kwa kuihoji, kuiagiza, kuisimamia na kuishauri. Lakini pia ni vyema ukajua, ndani ya dakika chache tangu kutokea kwa tukio hilo la kusikitisha hata wakazi takriban 60 wakakosa makazi, Ofisi ya Mbunge wa Kawe iko pale full time, pamoja na wananchi wale ikifanya kila lililo ndani ya uwezo wake, kumwakilisha Mbunge Halima Mdee kadri inavyotakiwa kuwajibika.
 
Napenda kumpongeza mbunge wa jimbo la Kawe mheshimiwa Halima James Mdee kwa jinsi alivyokuwa bega kwa bega na wapiga kura wake wa maeneo ya Tegeta Namanga waliovunjiwa nyumba zao na mwarabu mmoja mwenye sheli ya mafuta.Tuna amini kuwa utapigania haki zao mpaka zipatikane na huyu mwarabu awalipe fidia wananchi kwa uharibifu aliowafanyia.Wabunge wengine hasa wa magamba igeni mfano huu wa kuwa karibu na wapiga kura wenu hasa waoapnkuwa na matatizo.
 
hongera sana... hapo ndio ninapo wapendea chadema... kwa walala hoi hawawaachi nyuma... na huyo mwarabu segerea.........
 
Anasoma hotuba ya kambi rasmi bungeni anasuumbua Prof Tibaijua... mwenye CV kubwa isiyo na tija kwa Taifa... Go on Mdee
 
Yeye anafanya kazi za ubunge vizuri sio kama magamba wao kazi porojo tu na kupanga mbinu za kuwaua watetea haki za watanzania.
 
ndio anakiwa hivyo na ndio maana ya kiongozi.
 
Tibaijuka ni waziri wa Dar tu! Hajawahi kufanya shughuli zake Mwanza! Uprofesa wa kipuuzi
 
Anajitaidi sana anastahili kuwa mwakilishi wao wanakawe.
 
Napenda kumpongeza mbunge wa jimbo la Kawe mheshimiwa Halima James Mdee kwa jinsi alivyokuwa bega kwa bega na wapiga kura wake wa maeneo ya Tegeta Namanga waliovunjiwa nyumba zao na mwarabu mmoja mwenye sheli ya mafuta.Tuna amini kuwa utapigania haki zao mpaka zipatikane na huyu mwarabu awalipe fidia wananchi kwa uharibifu aliowafanyia.Wabunge wengine hasa wa magamba igeni mfano huu wa kuwa karibu na wapiga kura wenu hasa waoapnkuwa na matatizo.
mkuu hapo kwenye red vipi hii kampuni bado inamiliki vituo vya kuuzia mafuta tanzania?
 
Tibaijuka ni waziri wa Dar tu! Hajawahi kufanya shughuli zake Mwanza! Uprofesa wa kipuuzi

a professor is a person who knows much about a very little thing.

hiyo ndo definition yake...kingine mkuu hata kikwete mawazo yake ni kama ya huyu mama..anajua dsm ndio tanznaia basi.....
 
Anasoma hotuba ya kambi rasmi bungeni anasuumbua Prof Tibaijua... mwenye CV kubwa isiyo na tija kwa Taifa... Go on Mdee

CV kubwa na uongozi ni vitu tofauti kabisa. Soma kiasi onyesha uwezo. Pamoja na
CV kubwa hakuna lolote wanalo lifanya. Nchi ina PhD kibao lakini hakuna kitu.
Its just craming other people's writtings. PhD zote zina research findings, were are their findings which we can
put into effect?
 
Back
Top Bottom