What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

Ni masikitiko kwa wana Kawe, Mbunge Halima Mdee umekuwa huonekani jimboni mwako hasa majira ya mchana. Umekuwa ni mtu wa kutoka alfajiri ili ukimbie kuonana na wapiga kura, unarudi usiku wa manane.
Kwa kweli waliokushauri uchukue ubunge wa jimbo walifanya makosa makubwa, uwezo wako ni kuwa MBUNGE wa Viti Maalum. Tunakushangaa zimebaki siku chache kwenda kikao cha BAJETI, Dodoma, HAUJATHUBUTU kupita kwa wapiga kura kukusanya maoni ili uyawakilishe BUNGENI. Kwa taarifa yako TUMEKUCHOKA SANA pamoja na chama chako!!

Tujifunze kukubali na kukabili changamoto na si kuzikwepa

yupo segerea ameenda kumtoa sero LULU MAFILILI

Simtetei sana Mheshimiwa ila ningependa kufahamu wanakawe wanataka akachukue mawazo yao kuhusu bajeti,mawazo yapi hayo? wakati hata wao hawapeleki mawazo yoyote zaidi ya kupitisha na kutopitisha kilichowasilishwa na serikali. nakushauri kama una mawazo mtafute waziri husika.

Siku moja nilitembelea maeneo ya madale nikapita kijiwe kimoja nikaweka kijiwe na mie kujua nini kinaendela vijana wanalalamika kuwa tangu Halima apate Ubunge hajaonekana huko ,Na mmoja akakazia wewe mwache tu tunasubiri 2015
Halima please fanya fanya ziara kwa wapiga kura wako

Halima kama upo jf unayasoma haya uyafanyie kazi

Yaani hapa JF kuna katabia cha kuanzisha UZI ili mtu aonekane kuwa naye anajua kuanzisha Mada. Kuna mtindo wa baadhi yetu kuharibu mijadala ya hapa kwa kuchukua mada zilizojadiliwa siku ya nyuma na kuileta upya ili tu aonekane na yeye ameanza.

HII MADA ILIJADILIWA KWA KIREFU SANA WIKI hii KABLA JF HAIJAFUNGWA KWA MATENGENEZO. NA MH. HALIMA MDEE ALIICHANGIA kwa KIREFU SANA.

Sasa kama waungwana tumekosa mambo ya kuandika, ni kwanini tusichangie au kusoma tu kwa kuhabarika mada za wengine ambazo ni mpya, kuliko kuturudisha nyuma.

TAFAKARI KABLA YA KUWEKA uzi MPYA HAPA; MNATUCHOSHA NA KUTUHARIBIA UMAKINI WETU KATIKA KUFIKIRIA MAMBO YA KUCHANGIA KWA KUWA NA HOJA ZISIZOKUWA na MIGUU WALA MASIKIO.

MIZAMBWA
INANUMA SANA!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa hii FORUM tunaomba ihamishe hii THREAD ikaungane na ile mada iliyopita. Ili mtoa mada akasome michango iliyopo pale huenda ataelimika kidogo kutokana na yaliyochangiwa.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Ni masikitiko kwa wana Kawe, Mbunge Halima Mdee umekuwa huonekani jimboni mwako hasa majira ya mchana. Umekuwa ni mtu wa kutoka alfajiri ili ukimbie kuonana na wapiga kura, unarudi usiku wa manane.
Kwa kweli waliokushauri uchukue ubunge wa jimbo walifanya makosa makubwa, uwezo wako ni kuwa MBUNGE wa Viti Maalum. Tunakushangaa zimebaki siku chache kwenda kikao cha BAJETI, Dodoma, HAUJATHUBUTU kupita kwa wapiga kura kukusanya maoni ili uyawakilishe BUNGENI. Kwa taarifa yako TUMEKUCHOKA SANA pamoja na chama chako!!

Wewe mbona huonekani kwenye familia yako?unakuja usku unaondoka usku?kulikoni?
 
Ni masikitiko kwa wana Kawe, Mbunge Halima Mdee umekuwa huonekani jimboni mwako hasa majira ya mchana. Umekuwa ni mtu wa kutoka alfajiri ili ukimbie kuonana na wapiga kura, unarudi usiku wa manane.
Kwa kweli waliokushauri uchukue ubunge wa jimbo walifanya makosa makubwa, uwezo wako ni kuwa MBUNGE wa Viti Maalum. Tunakushangaa zimebaki siku chache kwenda kikao cha BAJETI, Dodoma, HAUJATHUBUTU kupita kwa wapiga kura kukusanya maoni ili uyawakilishe BUNGENI. Kwa taarifa yako TUMEKUCHOKA SANA pamoja na chama chako!!

Weee mmbea tena mnafiki............waliokutuma wamechemsha,try to think about you JK kila siku safari....
 
Majira ya mchana watu si wanakuwa kwenye miangaiko jombaa?au unataka aje achonge na mabeki tatu?
 
Mafili huna kazi ya kufanya? Au ndiyo unahalalisha zile posho mnazomegewa na Nape?

kazi ndiyo hiyo kwani kumkumbusha mbunge wajibu wake wewe huioni kama ni kazi? nahisi utakuwa umeathirika kuwa kazi mpaka iwe ya mshahara. Kiufupi mbunge anatakiwa kukumbushwa wajibu wake na wananchi wake ambao ndio waliomchagua.
 
Ni masikitiko kwa wana Kawe, Mbunge Halima Mdee umekuwa huonekani jimboni mwako hasa majira ya mchana. Umekuwa ni mtu wa kutoka alfajiri ili ukimbie kuonana na wapiga kura, unarudi usiku wa manane.
Kwa kweli waliokushauri uchukue ubunge wa jimbo walifanya makosa makubwa, uwezo wako ni kuwa MBUNGE wa Viti Maalum. Tunakushangaa zimebaki siku chache kwenda kikao cha BAJETI, Dodoma, HAUJATHUBUTU kupita kwa wapiga kura kukusanya maoni ili uyawakilishe BUNGENI. Kwa taarifa yako TUMEKUCHOKA SANA pamoja na chama chako!!

VP mmeshamnunua Mbatia, megonga mwamba nini? Mbona malalamiko hayaishi
 
Halima mdee si mtetezi wa jimbo la kawe tu bali ni mtetezi wa taifa zima la tz atowapo hoja bunge hutachoka kusikiliza hoja zake kwani zimetulia na ni za hakika.nijuzi tu katika kikao cha bunge kilichopita ndie alieanza kwenda mbali zaidi kwa kuwambia wenzake kuwa tusilalamike hawa mawaziri wataendelea kutudharau tunatakiwa twende mbali zaidi tuwang'oe mawaziri kwa kutumia kanuni za bunge kitu ambacho kimetokea.wanakawe kumchaguwa halima hawa kupoteza kura zao wala hawakukosea kwa kweli huyu mwanadada ni jembe la uhakika wana kawe mmetuchagulia kifaa mpaka wengine tuna waonea wivu.kama kuna matatizo ni sawa na matatizo ambayo binadam yoyote anaweza akawa nayo kwani hakuna alie kamilika.lakini tukubali tu sikubali halima ni mwanamke wa shoka.
 
Najutia muda wangu Mie jamani kusoma sred za maudhi .. Duniani kuna watu akili zao wanazijua wenyewe..
 
kazi ndiyo hiyo kwani kumkumbusha mbunge wajibu wake wewe huioni kama ni kazi? nahisi utakuwa umeathirika kuwa kazi mpaka iwe ya mshahara. Kiufupi mbunge anatakiwa kukumbushwa wajibu wake na wananchi wake ambao ndio waliomchagua.

Una uhakika kuwa mafili ni mpiga kura wa Kawe?
 
Yaani hapa JF kuna katabia cha kuanzisha UZI ili mtu aonekane kuwa naye anajua kuanzisha Mada. Kuna mtindo wa baadhi yetu kuharibu mijadala ya hapa kwa kuchukua mada zilizojadiliwa siku ya nyuma na kuileta upya ili tu aonekane na yeye ameanza.

HII MADA ILIJADILIWA KWA KIREFU SANA WIKI hii KABLA JF HAIJAFUNGWA KWA MATENGENEZO. NA MH. HALIMA MDEE ALIICHANGIA kwa KIREFU SANA.

Sasa kama waungwana tumekosa mambo ya kuandika, ni kwanini tusichangie au kusoma tu kwa kuhabarika mada za wengine ambazo ni mpya, kuliko kuturudisha nyuma.

TAFAKARI KABLA YA KUWEKA uzi MPYA HAPA; MNATUCHOSHA NA KUTUHARIBIA UMAKINI WETU KATIKA KUFIKIRIA MAMBO YA KUCHANGIA KWA KUWA NA HOJA ZISIZOKUWA na MIGUU WALA MASIKIO.

MIZAMBWA
INANUMA SANA!!!
mizambwa tuwekee hiyo Link
natangulizi shukrani
 
Last edited by a moderator:
mizambwa tuwekee hiyo Link
natangulizi shukrani

FirstLady1 pamoja na wengine wote mliogushwa na maelezo yangu hapo juu.

Baada ya kutoa hayo maelezo nilijaribu kuitafuta ile THREAD ya tarehe 15/05/2012 lakini ilishindikana.

Hivyo nikaanzisha THREAD hapa "MODERATOR Vs kupotea kwa TOPIC" kisha Moderator kahamishia ukumbi wa COMPLAINS.

Hivyo nawaomba ufungueni Complains kule "COOKIES" ametoa Link ya ufafanuzi wa INVISIBLE mtaupata katika THREAD isemayo "MODERATOR Vs kupotea kwa TOPIC".

Hivyo nanyi mtaelewa kwa nini imekuwa hivi.

Asanteni Sana

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Last edited by a moderator:
Uliposema tu kwamba NA CHAMA CHAKE nkajua huna kitu bali unasukumwa na uchama zaidi.
M4C inawatia adabu.
 
Hata hivyo pamoja na yote, ni kweli Mh. Halima hajaonekana jimboni kwa maana ya kuzungukia jimbo. Nadhani ni vizuri tukubali ukweli na mie ni mpiga kura wake naamini anaposoma atafanya mkakati wa kufanya ziara.
 
Ni masikitiko kwa wana Kawe, Mbunge Halima Mdee umekuwa huonekani jimboni mwako hasa majira ya mchana. Umekuwa ni mtu wa kutoka alfajiri ili ukimbie kuonana na wapiga kura, unarudi usiku wa manane.
Kwa kweli waliokushauri uchukue ubunge wa jimbo walifanya makosa makubwa, uwezo wako ni kuwa MBUNGE wa Viti Maalum. Tunakushangaa zimebaki siku chache kwenda kikao cha BAJETI, Dodoma, HAUJATHUBUTU kupita kwa wapiga kura kukusanya maoni ili uyawakilishe BUNGENI. Kwa taarifa yako TUMEKUCHOKA SANA pamoja na chama chako!!

Nilipoona avatar yako tu nikajua lazima utashusha ushuzi wa maharage,na kweli umeushusha mwanangu
 
Back
Top Bottom