Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,999
- 1,187
Huyu Marabu wa hapa Tegeta Namnga naona ameiweka sehemu ya serikali mfukoni mwake
mkuu umekaa na utawala wa ccm miaka zadi ya 45 hukupata hayo maji sasa unataka mdee akupe maji kwa muda wa miaka 2.
Yeye ndiye waziri wa maji.?
yeye ndiye mkurugenzi wa halmashauri ya kinondoni.?
mdee ndie mbunge wao, ni muwakilishi wa wananchi bungeni na ni kiungo kati ya serekali na wananchi so lazima ajaribu kadri awezavyo kutatua kero za wananchi wake na anaposhindwa arudi kwa wananchi kuwapa majibu.
Tuache majibu rahisi kwa maswali magumu, ukweli na usemwe, anapaswa kuwajibika kwa wananchi wake.
Basi mleta hoja angehitaji majibu ya hoja alizomtuma mdee bungeni sio kudai maji,hiyo ni kazi ya magamba..
mdee ndie mbunge wao, ni muwakilishi wa wananchi bungeni na ni kiungo kati ya serekali na wananchi so lazima ajaribu kadri awezavyo kutatua kero za wananchi wake na anaposhindwa arudi kwa wananchi kuwapa majibu.
Tuache majibu rahisi kwa maswali magumu, ukweli na usemwe, anapaswa kuwajibika kwa wananchi wake.
Mkuu umekaa na UTAWALA WA CCM miaka zadi ya 45 hukupata hayo maji sasa unataka MDEE akupe maji kwa muda wa Miaka 2.
Yeye ndiye WAZIRI WA MAJI.?
Yeye ndiye Mkurugenzi wa HALMASHAURI YA KINONDONI.?
Kwa masikitiko makubwa Mh. Halima Mdee ukiwa mbunge wa jimbo la kawe ulitokea kuwa tumaini jipya kwa wakazi wa jimbo hilo.
2. Wakazi wa makongo juu tulishasahau hadithi ya kupata maji ya bomba. Mwaka 2009 kulifanyika uwekaji wa mtandao wa mabomba ya maji karibu eneo lote la makongo juu. Mabomba haya maarufu kama mabomba ya "mchina" tangu yalipowekwa na hiyo kampuni ya kichina mwaka huo hadi leo hayajawahi kutoa maji hata yale ya majaribio...Halima Mdee ulikuwa kuomba kura zetu kwa mbwembwe nyingi kuwa kilichomshinda Mlaki wewe utakimaliza..Lakini wakati tukiingia mwaka wa 2 tangu kufanyika uchaguzi mkuu 2010 hakuna hata dalili kuwa kuna kitakachofanyika....Mh..Halima Mdee kila nikikuangalia kupitia runinga ukiwa mle mjengoni napata hasira kuwa nilipoteza muda na kura yangu na sasa imani yangu inapotea kwako. Sina jinsi ya kuelezea hasira zangu kwako.
..Naomba pindi utakaposoma thread hii jiulize moyoni mwako hivi unawatendea haki wapiga kura wa makongo????
Haya majibu tunayatoa baada ya kufikiri kwa kutumia vichwa vyetu timamu ama ile kitu nyingine inayokwenda kwa jina la Mstahiki Meya wa Jiji la Dsm?
Hivi unawezaje kuja na jibu la aina hii ukiweka pembeni ahadi alizomwaga Mheshimiwa Mbunge wakati wa Kampeni?
Mkuu umekaa na UTAWALA WA CCM miaka zadi ya 45 hukupata hayo maji sasa unataka MDEE akupe maji kwa muda wa Miaka 2.
Yeye ndiye WAZIRI WA MAJI.?...Biohazard...nadhani mtu aliyebuni kuwepo na kitu kinachoitwa bungwe alitumia busara sana. Sidhani kama wananchi wote tungekusanyika kwenye ofisi ya waziri wa maji au ofisi ya manispaa kupeleka kero zetu. Halima ametumwa na tuliompigia kura anawajibika kwetu 100% hiyo haina ubishi. Kuzungumza bungeni peke yake sio lengo anatakiwa kufuatilia na kutupa taarifa tuliomtuma ili kujua wapi amekwama na tufany nini? anapokaa kimya eti ameongea bungeni haina maana. Magamba kwa miaka 47 walishindwa kufanya na ndio maana tukasema basi na wao. Je na hawa nao tukae kimya mpaka wafikishe miaka 47? Hapana!!
...Nadhani kama n ujinga huenda ukawa wewe namba moja. Walitaka kazi tumewapa kazi...Visingizio kuwa CDM hawakusanyi kodi hata mimi nafahamu wanapoingia mle wanapokutana na hao wakusanya kodi ni jukumu lao kuwaeleza tuliyowatuma...Nina imani hufikiri kwa kutumia masaburi...:loco:Tuache kuendekeza ujinga, kaa chini tafakari lini CDM imekusanya kodi yako kama unataka barabara na maji peleka maombi yako CCM utatusaidia na sisi pia
Yeye ndiye WAZIRI WA MAJI.?...Biohazard...nadhani mtu aliyebuni kuwepo na kitu kinachoitwa bungwe alitumia busara sana. Sidhani kama wananchi wote tungekusanyika kwenye ofisi ya waziri wa maji au ofisi ya manispaa kupeleka kero zetu. Halima ametumwa na tuliompigia kura anawajibika kwetu 100% hiyo haina ubishi. Kuzungumza bungeni peke yake sio lengo anatakiwa kufuatilia na kutupa taarifa tuliomtuma ili kujua wapi amekwama na tufany nini? anapokaa kimya eti ameongea bungeni haina maana. Magamba kwa miaka 47 walishindwa kufanya na ndio maana tukasema basi na wao. Je na hawa nao tukae kimya mpaka wafikishe miaka 47? Hapana!!
inawezekana Halima sio Waziri wa Maji, je ni Waziri wa migogoro ya Ardhi Kinondoni?
...Nadhani kama n ujinga huenda ukawa wewe namba moja. Walitaka kazi tumewapa kazi...Visingizio kuwa CDM hawakusanyi kodi hata mimi nafahamu wanapoingia mle wanapokutana na hao wakusanya kodi ni jukumu lao kuwaeleza tuliyowatuma...Nina imani hufikiri kwa kutumia masaburi...:loco:
Mkuu umekaa na UTAWALA WA CCM miaka zadi ya 45 hukupata hayo maji sasa unataka MDEE akupe maji kwa muda wa Miaka 2.
Yeye ndiye WAZIRI WA MAJI.?
Yeye ndiye Mkurugenzi wa HALMASHAURI YA KINONDONI.?
...Nadhani kama n ujinga huenda ukawa wewe namba moja. Walitaka kazi tumewapa kazi...Visingizio kuwa CDM hawakusanyi kodi hata mimi nafahamu wanapoingia mle wanapokutana na hao wakusanya kodi ni jukumu lao kuwaeleza tuliyowatuma...Nina imani hufikiri kwa kutumia masaburi...:loco:
inawezekana Halima sio Waziri wa Maji, je ni Waziri wa migogoro ya Ardhi Kinondoni?
Kwa upeo wangu mdogo wa kufikiri na kuelewa, ni kwamba Halima Mdee ni Waziri kivuri wa Kambi ya Upinzani katika Wizara ya Ardhi.
Hivyo anapoongelea suala la migogoro ya Ardhi, si Kinondoni tu bali Tanzania nzima inamuhusu, ni wizara yake ile katika upande wa upinzani.
Yeye ni Waziri mwenye dhamana hiyo.
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!