What happens, sielewi..!

What happens, sielewi..!

Wapendwa MMU,

Poleni na hongera kwa msimu wa mfungo ambao unaisha leo na wale waliofungua leo pia polen na hongereni. Naombeni mnisaidie kujielewa maana sometimes I think I’ve been attacked by a devil or am growing old I don’t know…

The issue is, recently, I have found myself I have lose interest in making love and having sex with my husband. It s about a year now I have noticed it, my husband is madly in love with me and is romantically grieving to have me in his arms but the outcome is, I don’t have feelings for him at all.

Yaani nikiingia kitandani husby anakuwa ananihug, ananipapasa, anani kiss ananigusa hapa na pale ila mimi nakuwa sina response kabisaa mind haipo kwenye sex kabisaaa na nakosa nyege.

Sasa anajikuta yeye anaona anafanya one side love yaani mimi sirespond kwa vile anavyoniandaa. Mbaya zaidi inakuja pale anapotaka kuni kiss… nakosa hamu utakuta na kiss kidogo halafu najitoa mdomoni kwake as if nakosa pumzi.

Halafu my husby anakunywa pombe sio mlevi ila anakunywa, hata mie nilikuwa nakunywa ila sio kivileee actually sipendi pombe ni ule ushawishi tuu najikuta nakunywa glass moja ya wine basi. Sasa ukikuta yeye siku hiyo karudi kanywa mie nashindwa kukiss nae kabisa yaani naona kama ananipaka shombo.

Ukija kwenye kusex sina hamu kabisaa, now days kila mtu anaenda kazini kivyake na gari lake njiani mie naenjoy mziki sana na sioni kama nam, miss husby hata.

Nimegundua kuna shida na shida iko kwangu, nisaidieni niitatueje hii shida maana kiukweli msema ukweli mpenz wa Mungu sina mchepuko wala sina kidumu wala mpango wa pembeni au kusema labda kuna mtu anani keep busy na namuwaza yeye all the time sina.

Ila as time goes najikuta nina mambo mengi ya kuwaza kuhusu life, najikuta nawaza retirement planning though ni 30 years to come, naandaa my second home dream house maana nyumba tunayoishi sasa hivi tulijenga kwa haraka ili tuhame kwenye kupanga iko modern but not dream house.

Yaani najikuta ninamipango mingi ambayo nikimshirikisha yeye anaitikia tuu haoneshi kuifanyia kazi. Hivo najikuta naendelea kuifanyia kazi on my own. Je hii ndo inayonifanya nakosa hamu ya kufanya mapenzi na husby?

Ni mwaka sasa sija anzisha mie kuomba penzi kwa husby na ameniambia hiyo inamuuma anawish nianze kumuomba penzi.

Au nimelogwaa???

Tangu aanze kunilalamikia inaniumiza kichwa, nahitaji suluhisho nirudi kwenye hali ya kuwa na nyege.

Hivi kuna ugonjwa wa kukosa nyege?

Dawa yake ni nini?

Wenye ndoa na walio kwenye mahusiano muda mrefu naomba mnipe uzoefu wenu.

Niko serious, naomba msijekejeli tafadhali.
Wenu,

Mkunde.

Pole sana
 
kuna bidhaa hua nauzaga zinasaidiaga sana... so njoo pm tujadili how we can solve...
AM VERY SERIOUS BECAUSE THIS IS MY BUSINESS
 
You have stress which leads you to depression which is lack of interest on doing a certain activity particulary sex.My advice as a pharmacist you have so see a cancellaor to advice you or you can use ginsomin which is a herbal extract that retains phychological functions of the body to operate normal this is according to my experience
 
Mwanamke mjinga atavunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe so ushauri wangu kwako ni huu muda ambao ukiwa peke yako unapo jisikia hamu ya kufanya mapenzi basi huna budi mfuate mumeo hata kama yuko bar anakunywa na kama unaona huwezi kumfuata mpgie simu mwongopee mwambie kuna tatizo nyumban ili aje umalizane nae, Tumia akili la sivyo utakuja jutia kosa lako wkt utakuwa umechelewa
 
Kasinde usiache pita pande hii utoe msaada
 
Last edited by a moderator:
Kasinde usiache pita pande hii utoe msaada

we unahamu ya kuzaa na Kasie eeehhhh OK wacha nikutafutie kile unataka nahisi mapacha watakufaa.
Ole wako mbegu zisiwe na rutuba unitoe majasho buree halafu umwage mapovu tuu...........
Stay tuned!!
Na ile pancha inakukaribia..... full pancha 4 tyre flat.............
 
Dooooh!! Hivi ni vita vya uke wenza ama!!! Hao


















ulowaita wanahusikaje hapa?!! We

huoni kwenye mada tumeshauriwa
tujaribu different varieties ili
kuzifanya ndoa zetu zizidi kudumu?
wax hata
sijui yuko wapi, sijui naye
anachepuka huko! Kuhusu
Manga ML
nilikuwa hadi naanza kumsahau ujue!

Yani unisahau kabsaaa nawakati huku sili wala sinywi kwa ajili yako tafdhali baby
 
Last edited by a moderator:
Hahaha....hao mapacha hebu wachagulie majina kabisa Kasie...

we unahamu ya kuzaa na Kasie eeehhhh OK wacha nikutafutie kile unataka nahisi mapacha watakufaa.
Ole wako mbegu zisiwe na rutuba unitoe majasho buree halafu umwage mapovu tuu...........
Stay tuned!!
Na ile pancha inakukaribia..... full pancha 4 tyre flat.............
 
Well, that's entirely up to you.

You can buck nature and stick to your one and only woman.

As for me, I ONCE FELL IN LOVE WITH A STRIPPER. BUT FUNNY THING IS I FELL BACK OUT OF LOVE QUICKER.

Hahahaaaaaa.....stupid is as stupid does.

Thought i'm all alone.
Can't keep the same person for that long.
I end up looking for another variety for a different taste.
 
Usiofu,the day akichepuka na ukajua,you will come to your senses.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom