What happens, sielewi..!

What happens, sielewi..!

Kuna namna kwa huyu Eli79 najikuta sikubali matokeo. Halafu wax anakaa fungu gani? Manga ML kesho anavunja jungu naye sijui atakaa wapi? Mmmmhhh!!! Niishie hapa nisikuweke hadharani....lol

Dooooh!! Hivi ni vita vya uke wenza ama!!! Hao ulowaita wanahusikaje hapa?!! We huoni kwenye mada tumeshauriwa tujaribu different varieties ili kuzifanya ndoa zetu zizidi kudumu? wax hata sijui yuko wapi, sijui naye anachepuka huko! Kuhusu Manga ML nilikuwa hadi naanza kumsahau ujue!
 
Last edited by a moderator:
Dooooh!! Hivi ni vita vya uke wenza ama!!! Hao ulowaita wanahusikaje hapa?!! We huoni kwenye mada tumeshauriwa tujaribu different varieties ili kuzifanya ndoa zetu zizidi kudumu? wax hata sijui yuko wapi, sijui naye anachepuka huko! Kuhusu Manga ML nilikuwa hadi naanza kumsahau ujue!

Baby cwez kuchepuka ww unanitosha tuu
 
Last edited by a moderator:
Yani atoto na everlenk mkikamata nyuzi za watu lazma mzichakachue tu, hata muwe serious vipi...hapo mwanzo everlenk umeanza vizuri, kaingia atoto kwisha habari.
Nnachofurahia tu ni kuwa napendwa na warembo wawili tena warembo haswa!
 
Last edited by a moderator:
Jaribu kumshirikisha Mungu kwanza uone hajawahi kushindwa jambo lolote, kamwe hata Kwa hili. imani yako tu kwake!
 
Yani atoto na everlenk mkikamata nyuzi za watu lazma mzichakachue tu, hata muwe serious vipi...hapo mwanzo everlenk umeanza vizuri, kaingia atoto kwisha habari.
Nnachofurahia tu ni kuwa napendwa na warembo wawili tena warembo haswa!

Mmeanza nyie nikavumilia nikashindwa sasahivi natulia tulii as long as my lovely hubby warning me. Am gudo wife yoooo!!! Rabeka mume wangu nimekusikia......staki kugombania namba na atoto plzzzz, I beg yoo!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mmeanza nyie nikavumilia nikashindwa sasahivi natulia tulii as long as my lovely hubby warning me. Am gudo wife yoooo!!! Rabeka mume wangu nimekusikia......staki kugombania namba na atoto plzzzz, I beg yoo!!!!!!!!!!!!!


I hear you lovito wangu. Tuachane na michepuko hii, haitifikishi popote...
 
Last edited by a moderator:
You sound eerily familiar to me...but I'll leave that alone, for now.

For starters, how old are you? The reason I ask is because if you are somewhat of an advanced age you could be undergoing menopause where your estrogen levels drop significantly during the transition period.

So your hormones could be out of whack and a hormone replacement therapy could do the trick.

But then again you just said it yourself that as time goes by you find yourself with a whole hell of a lot things in your mind. So stress could be the culprit.

Am in my early forties, refer what I said above ....my retirement plan 30 years to come, am planning to retire at 70s if God grant me life and health. (thats my plan)
 
Genetic disorder ,
you need to be reprogrammed.

Hizi case zipo kibao mtaani esp kwa wanawake ambao wanajishilingi na wanaofanya business au vijikazi vya kuongoza katika maofisi makubwa makubwa na baadhi ya vijidaktari..

Sorry kwa lugha ngumu lkn
 
Pole sana mumy ni mpito tu katika ndoa,huwa inatokea kuna vipindi tofauti tofauti. Mimi binafsi nionavyo katika kesi yako tatizo Lipo kwenye ubongo wako kiasi linaathiri mfumo mzima wa mwili wako.

Kikubwa umeyapa maisha kipaumbele zaidi kuliko sexy life, haupo happy na hali ya sasa mnayoishi, unatamani uende mbele zaidi na zaidi,moyo wako wote na akili yako yote ni kuwa na maisha fulani uyatakayo na sometimes unaona mambo hayaendi sawa kiasi kwamba inakuchanganya huoni lingine zaidi ya kutimiza ndoto zako.

Nini basi la kufanya? Jambo la kwanza be content with what you have,appreciate the way you are, badilisha namna unavyofikiri ili uweke kubadilika namna unavyoishi. Elewa kila jambo na wakati kuna wakati unahitaji kuwaza maisha na mambo yake na kuna wakati unabidi mwili uupe haki yake.

Jambo lingine usiwe mbinafsi kupitiliza, elewa nafasi ya mume wako katika maisha yako,labda nikuambie tu asilimia kubwa ya wanaume ni wazito sana kukubali ushauri wa mkewe katika swala la maendeleo,lazima aupitishe kwenye chekecheo lake mpka ajiridhishe kwamba hili linafaa wakati mwingine huchukua muda,huwa hawatuamni sana kwenye maamuzi/maoni yetu mpaka wastuck mahali ndo anakuja tena kwako kuomba ushauri. So inabidi uende naye taratibu kumuaminisha ndoto ulizonazo wapi unapataka,na hili husindikizwa na moyo wa upendo na hali ya kuwa karibu naye zaidi katika mapenzi mazito,ataziaminije ndoto zako ilihali haupo karibu naye?

Kuwa karibu zaidi na mume wako na huko ndiko feelings zitakuja na katika huo ukaribu ndiko tunakoshirikishana mambo yetu,mfano kutembea pamoja,kula pamoja,kuoga pamoja n.k, katika hali hiyo ndipo mabussiness idea yanaposhukaga,maplan ya kufa mtu yanapotokeaga,ndiko the happiest moment you can explain what you have.

Neno la Mungu linatuambia wawili ni afadhali kuliko Mmoja, hayo yote uyatamaniyo yatakuwa ni smooth iwapo utakuwa karibu zaidi na mume wako,utashangaa hutaamini, jua huyo unayeishi naye ni mtu muhimu sana kwa maisha yako ni life partner wako,Mpe uthamani wa hali ya juu,ni kila kitu katika yote uyahitajiayo,kama kuna tofauti tafadhali rekebisha tofauti hizo na ufurahie sexy life,katika ndoa sexy life inapokuwa nzuri hata maendeleo ya kiuchumi yanaponawiri zaid. Mshirikishe Mungu katika yote atakuwezesha yeye ni mkuu katika yote.

Chukua huu ushauri hapa, ama mtafute huyu akuelezee vizuri, kama vile hili ndo jibu lako vile
 
Kuhusu suala la Mipango ya kimaisha kama Sababu kwenye hali yako. Si Kweli. Hapa Naona Matatizo Mawili Makubwa.. 1)Spiritual (kiroho) 2) Kimwli (physical) 1. Kiroho: yawezekana Kabisa U r attacked by demons.. Wanaita Majini Mahaba. Haya huwa yakikupenda yanakumiliki na kukufanya kama Mke wao.. Na hayaruhusu Mtu yeyote akukaribie (mkutane kimwli (sex)). Dalili Uanakua huna hamu na Mmeo kabisa umauona kama gogo, kuota ndoto Mbaya.. Unaota una sex na Mtu/Mnyama n.k. Dawa yake Ni Yesu Tu.. Ndugu yangu. Yeye ndiye Mwnye uwezo wa kukuponya kwenye hili.. Tafuta watumishi wa Mungu wa Kweli wakuaminika waeleze shida yako. Mungu atawatumia Utasaidika. 2) Physical (kimwili) sex z all abt Mind.. Ukiweza Kujijenga vizuri kifikra ukaanda Mazngira Mazuri kuanzia kwenye Fikra.. Utafanikiwa, pata Muda wakupumzika wa kutosha After Work. Andaa Mazingira Mazuri yatakayowashawish (conducive environment) eg. Miili yenu iwe Safi, kitanda,chumba Safi feni/ac nk. Tafuta Jumbe ambazo zinahusiana na tatizo lako uzisome na Uone wengine walitokaje kwenye hali kama hiyo.. Anointed Books, TV Shows, CD. Utapona.
 
Tatizo unataka kuishi "kesho wakati upo leo". Siku uliyopewa kuishi ni leo, so furahia maisha yakjo leo, naini mwenye uhakika wa kuiona kesho.....!? Ndiyo sikatai kwa binadam aliekamilika na anayejitambua kufikiria kesho, lakini epuka hiyo kesho kuendesha maisha yako ya leo. "UMEPEWA LEO, FURAHIA MAISHA YAKO LEO"

Hilo laweza kuwa ndiyo tatizo, unatakiwa kuwa na kiasi na uwaze jambo ambalo lina ufumbuzi. Usipokuwa makini hamu itakujia mumeo atakapo pata mchepuko na akawa anakupotezea "THAMANI YA KITU HUONEKANA UKIKIKOSA"
 
kwanza pole kwa yanayokusibu maana ni mazito kwa kweli,yanakuhitaji muda wako na pia kusurrender baadhi ya mambo yako ili swala hili liweze kuwa sawa kati yenu.
nashukuru umeona na kukiri kuwa shida ni wewe,na mimi naamini kweli wewe ndo tatizo:-
*natamani nijuehistori yenu tangu uchumba hadi kufikia uamzi wa kufunga ndoa na hatimaye kuishi pamoja.
*kama hakukuwa na aina yoyote ya ushawishi ktk kufanya maamzi ya kuishi pamoja basi nahisi na mabadiliko ya hali zenu kimaisha(kwa maana ya status).
Inawezekana hali yako kimaisha imeimarika sn(kuwa na cheo kizuri ama kupata aina nzuri ya kazi) kuliko awali na kuwa juu sn ya mr wako,kwa hali hiyo unajikuta tu akili inakutuma kuwa huyu bwn si type,na hata hayo maisha unayoishi sasa ni sababu tu ya huyo mr ila si ya level yako,hivyo vitu hivi vimepelekea usikubaliane na hali kwamba hapo ndo pako,na kwamba unaweza kuhama toka ktk hali hiyo ila si kwa speed uidhaniayo wewe.
USHAURI:
#Km ni mkristu rejea kiapo chenu cha ndoa kuwa huyo na hakuna mwingine aliye bora zaidi ya huyo.
#inaonyesha hali yenu kimaisha ni njema japo mnao uwezo wa kwenda mbele ya hapo.Ni ushauri wangu kwako hayo yafanyike kwa kwasi ya utashi wenu wa pamoja,usitake mambo yaende tu vile unavyotaka ww aidha kwa kuona yapo ndani ya uwezo wako kifedha ama kwa kuwa na maono mazuri ya maisha yenu.
#ni kwa kuwa na mitoka ya mazingira mazuri kwenu hasa ya kuwastaajabisha kidogo,ukitumia wakati huo pia kumzosha kitu ambacho kitakuwa mbadala wa pombe ili hatimaye aweze kuondokana nayo.(kwa mitoko ya kawaida si mbaya mara mojamoja kwa pamoja mkatoka na familia rafiki kwenu)
MWISHO
hatuna maisha zaidi ya haya tuishiyo leo,tumia nafasi uliyopewa leo kumuonyesha na ajue kuwa unampenda na kumjali.maana haujui ya kesho.
'Pole kwa kukuchosha'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom