What happens, sielewi..!

What happens, sielewi..!

Lazima itakua kabla ya ndoa mlikua mkifanya sex sana,hamu imeondoka baada ya kufunga ndoa.
 
Pole sana waone wataalam wa mahusiano na psychologia kama kina chris mauki watakusaidia ilo tatzo sio dogo fanya utatuz haraka asiende kwa mchepuko maana akienda uko umekwisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom