Mkunde Original wewe ni katika wale wanawake wasiokuwa na shukrani kwenye ndoa na mwisho wa siku huwa mnaishia kwenye majuto.
Kanti imagini yuuu ini mchepukoz hands!!
Umeeleza vizuri everlenk, it's a lifetime commitment na sio vinginevyo, ups and downs lazima ziwepo vile hamna mkamilifu lakini inabaki kuwa ndoa na lazima wanandoa waiheshimu.
Kwani hata kama ni life commitment....mtu huwezi kuchepuka na ndoa ikaendelea?
Mbona watu kibao tu, wake kwa waume, kila siku wanachepuka na ndoa zao bado zipo hai......
Neither can I... Perhaps with you..? Labda!!
Kwani hata kama ni life commitment....mtu huwezi kuchepuka na ndoa ikaendelea?
Mbona watu kibao tu, wake kwa waume, kila siku wanachepuka na ndoa zao bado zipo hai......
Ukichepuka umeweka viraka ndani ya ndoa, it will never be the same again hata ufanyeje. Unasikia scenario kibao humu, mtu anakiri kabisa kuwa anaishi kwa ajili ya watoto, hapo kuna ndoa tena...?
Hahahaaaa duuh basi ndoa nyingi sana zina viraka aisee. Manake si wanawake si wanaume...wote wanachiti kwa kwenda mbele.
Na hiyo yote ni kwa sababu si kawaida kwa binadamu kuwa na sex partner mmoja tu. Hatukuumbwa hivyo lakini tunataka kulazimisha na ndo maana humu watu walio kwenye ndoa mfu ni wengi.
Mweeeeh!! Mbona unaharaka hivyo jamani!!
Uji umejaa kwenye kibaba..teh!!
Hilo la life commitment ni la kufikirika zaidi kuliko uhalisia wenyewe.
Wanandoa kibao tu wanatoka nje ya ndoa zao.
Kubaki na mtu mmoja milele ni ngumu mno...kwanza naona kama vile haiwezekani.
At some point utataka tu kuonja mwingine.
Uji umejaa kwenye kibaba..teh!!
Nakusubiri kwanza umchokechoke
Uzi unatuhusu huu, huoni Eli79 kakubali kuchepuka kidogo ili aweke mambo sawa, sasa sijui akinogewa namfanyaje!