What happens, sielewi..!

What happens, sielewi..!

Ulimpa dawa gani?
watu huchoka daily routine
akipata mchepuko anasisimka

Nilimuonea aibu maana ni mtu mzima mnoo na hata sijamzoea kihivyo sijui ilikuwaje akafunguka vile kwangu, nilibaki nimepigwa na bumbuwazi tu, hata sikumshauri kitu.
 
Ulimpa dawa gani?
watu huchoka daily routine
akipata mchepuko anasisimka

Juzi nilikuwa naongea na mdada mmoja wa kutoka Congo kuhusu hilo hilo suala.

Yeye akawa anasema kama watu wameboreka na hali iliyopo kwa nini wasifanye ubunifu ili kurudisha hamu.

Mimi nikamwambia kwamba hata wabadili nini mwisho wa siku watabaki kuwa ni watu walewale wawili wanaofanya vitu ambavyo wanadhani ni tofauti na hiyo sidhani kama inasaidia.

Inafika wakati mtu unakuwa na hamu tu ya kumuonja mtu mwingine....uusikilizie mwili wake, unuse harufu yake, na kadhalika.

Variety is the spice of life.
 
Nilimuonea aibu maana ni mtu mzima mnoo na hata sijamzoea kihivyo sijui ilikuwaje akafunguka vile kwangu, nilibaki nimepigwa na bumbuwazi tu, hata sikumshauri kitu.

Isije kuwa alikuwa anakutongoza hukumuelewa
 
Pole, tatizo lipo hapo kwenye kuwaza maisha zaidi nyege lazma ziondoke
kungekuaga na namna ya kudonate, ngekua donor kwakweli :teeth:
 
Juzi nilikuwa naongea na mdada mmoja wa kutoka Congo kuhusu hilo hilo suala.

Yeye akawa anasema kama watu wameboreka na hali iliyopo kwa nini wasifanye ubunifu ili kurudisha hamu.

Mimi nikamwambia kwamba hata wabadili nini mwisho wa siku watabaki kuwa ni watu walewale wawili wanaofanya vitu ambavyo wanadhani ni tofauti na hiyo sidhani kama inasaidia.

Inafika wakati mtu unakuwa na hamu tu ya kumuonja mtu mwingine....uusikilizie mwili wake, unuse harufu yake, na kadhalika.

Variety is the spice of life.

Exactly the point
watu hawasisimki kuvaa nguo ile ile kila siku
but ukiwapa nguo mpya wanasisimka kupita maelezo
food the same,hata sex partner pia

Dada wa Congo...alkuwa hapa JF zamani kidogo?
 
Naona mnafagilia michepuko......sex and food are quite different. Kubadilisha Partner si kubadilisha radha,ni ubinafsi wa moyo tu hupelekea kutamani mwingine lakini mambo mengine yote yanabaki kuwa constant.......
 
Exactly the point
watu hawasisimki kuvaa nguo ile ile kila siku
but ukiwapa nguo mpya wanasisimka kupita maelezo
food the same,hata sex partner pia

Dada wa Congo...alkuwa hapa JF zamani kidogo?

Are you suggesting that humans are polygamists in nature??
 
Tatizo unataka kuishi "kesho wakati upo leo". Siku uliyopewa kuishi ni leo, so furahia maisha yakjo leo, naini mwenye uhakika wa kuiona kesho.....!? Ndiyo sikatai kwa binadam aliekamilika na anayejitambua kufikiria kesho, lakini epuka hiyo kesho kuendesha maisha yako ya leo. "UMEPEWA LEO, FURAHIA MAISHA YAKO LEO"
 
Inamaana ni kunzia Idd ya mwaka jana hadi Idd hii huna hamu kabisa. Maana ni mwaka sasa....
 
Are you suggesting that humans are polygamists in nature??

Not suggesting ..it has been scientifically proved so many times
i am not the first to say this..wont be the last
 
Dada mali zote za dunia hii zitapita na ww utapita! sumbka na penzi kwa mmeo coz the bible say hilo ni tendo takatifu
 
mie ninayo dawa..
Lakini vyema kujua ''size'' ya makalio yako ni low, mid au high.....?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom