Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,092
- 136,655
Are you suggesting that humans are polygamists in nature??
I think they are. I truly do.
Are you suggesting that humans are polygamists in nature??
Umri wako please na umri wa ndoa tunaomba tufahamu. vinginevyo umeongea kiujumla.
jiweke kwenye nafasi yake ,, halafu ungechukua uamuzi gani? huo uamuzi utakaochukua jua the same itakuwa na kwako...
umemchoka wewe
[/color]
[/color]Naona mnafagilia michepuko......sex and food are quite different. Kubadilisha Partner si kubadilisha radha,ni ubinafsi wa moyo tu hupelekea kutamani mwingine lakini mambo mengine yote yanabaki kuwa constant.......
I think they are. I truly do.
I see, so in a few years I'll be screwing another a**! Whoosh!
I see, so in a few years I'll be screwing another a**! Whoosh!
As for me, I ONCE FELL IN LOVE WITH A STRIPPER. BUT FUNNY THING IS I FELL BACK OUT OF LOVE QUICKER.
.
Hahahaaa!! Ooops!
kweli mkuuapo kwenye red, namimi nahisi hilo ndio tatizo la mleta uzi. It might be attributed to kukosa hiyo 'dream life' yake ambayo naona ameweka highest expectation!
Hapana, mimi sifagilii michepuko.
Nimeongea kile ninachoamini ndo ukweli ingawa watu ni ama hawataki kuukiri au wanaogopa kuhukumiwa na jamii endapo wakikiri.
Haiingii akilini mwangu kwamba sijui mtu afunge ndoa akiwa kwenye miaka ishirini na kitu halafu kwa maisha yake yote eti awe anadinyana na mtu mmoja tu.
Nilizaliwa usiku lakini si jana usiku. Mimi ni mhalisia.
Actually, yours could be next...i mean your a**! teh teh!
Inapendeza kuwa Mkweli......unapooamua kufunga ndoa ni kwamba umeona yatosha sasa katika wote huyo ndiyo anafaa na haina haja ya kuwa na mwingine ndiyo maana ikaitwa life commitment kwahiyo mpaka mtu anafunga ndoa amefanya uamuzi wa kutosha kajihoji mwenyewe na kukubali kwamba ataweza kuendelea na mmoja.....tatizo sikuhizi watu tunaingia kwenye ndoa bila ya kujihoji na kujipeleleza vya kutosha.........kiukweli ni ubinafsi na tamaa ya mwili tu inayotuongoza kudinyana na mwingine kwa maana mwisho wa siku hakuna linalobadilika utakojoa vile vile na dereva ni wewe ufurahie au usifurahie.