Mzalendo_Mwandamizi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2007
- 1,116
- 4,773
Hiyo sentensi ya mwisho ndiyo naitafakari.Kwa siku kadhaa sijaona "taarifa za habari za Musiba" kwenye chaneli yake na Tanzanite TV huko YouTube, na kwa siku kadhaa gazeti lake la Tanzanite halipo mtaani. Kulikoni?
“The FBI don’t come and ask you if you know someone if they don’t already know the answer.” [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.Kwa siku kadhaa sijaona "taarifa za habari za Musiba" kwenye chaneli yake na Tanzanite TV huko YouTube, na kwa siku kadhaa gazeti lake la Tanzanite halipo mtaani. Kulikoni?
“The FBI don’t come and ask you if you know someone if they don’t already know the answer.” [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda analeta ***** ***** kwa makusudi yake binafsi... Anajua anachokitafutaMkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
Paskali hupendeki yani kuna wakati unakuwa na akili ila mwezi ukishaandama basiiiiMkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
Sentensi ya mwisho ya Chahali kuhusu FBI imebeba ujumbe.Labda analeta ***** ***** kwa makusudi yake binafsi... Anajua anachokitafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
To that end, Evarist Chahali knows the answer in respect of the question he personally asked: What happened to Musiba/Tanzanite?“The FBI don’t come and ask you if you know someone if they don’t already know the answer.”
Mkuu si anajiita mtetezi na JPM na wanahakati huru wakati huo huo anatoa taarifa ambazo anaziita za kiusalama wa nchi sijui amanisha usalama gan hasaMkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
Mkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
Mkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
Kiparaf cha mwisho kimenufurahisha saaanaKwa siku kadhaa sijaona "taarifa za habari za Musiba" kwenye chaneli yake na Tanzanite TV huko YouTube, na kwa siku kadhaa gazeti lake la Tanzanite halipo mtaani. Kulikoni?
“The FBI don’t come and ask you if you know someone if they don’t already know the answer.” [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app