What Games are you playing right now?

What Games are you playing right now?

Hah
Dooh kumbe Kasie mahaba watu wanajua mie ndo Diva kipindi cha mahaba aahahahahhahahahaaa

Jamani naomba ieleweke wazi, Kasie sio mtangazaji wa kipindi chochote kile cha radio, kazi yangu ni umesenja kwwnye kampuni ya makaburu hukoo mamtoni. Kwani huyo diva ni chotara wa kinyamwezi kama Kasie?

Anyways am not her.

Am Kasinde aka Kasie Mahaba Matata.
hahaha una maneno!
Diva yule sijui ni mutoto ya wapi ila yupo safi kwenye mahaba matata 🙂
 
Hah

hahaha una maneno!
Diva yule sijui ni mutoto ya wapi ila yupo safi kwenye mahaba matata 🙂

Hivoo eeehh basi sawa kika la kheri kwake kwenye shughuli zake. Ila mahaba ni sehemu ya kiungo kwa mwanamke hivo tunaovitumia hivo viungo basi mahaba yanakuwa nje nje wengine wana fichamo hadi wanazeeka hakuna mahaba.
 
Sawa kasie matata 😉
 
3fe6c1c73b7b544c3fecd571939ed096.jpg
mkuu em download hilo dude hautajuta.
Na lingine linaitwa Iraq heroes part 1 na 2.
 
Back
Top Bottom