What Games are you playing right now?

Smokey D

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
2,631
2,101
Habari Zenu Wakuu..

Je! Ni Games gani unacheza right now?
Iwe Kwenye any Device au Console..
  • Pc
  • Playstation 1,2,3,4
  • X Box 360,One
  • Android
  • Iphone
I'm currently playing Need For Speed Hot Pursuit-PS3

"Don't think you can play the latest PC games with a Wooden PC"
 
Mkuu safari ya Gamboshi imeishia wapi?..Au ndo unatafuta game ya kucheza ukiwa safarini?
 
Teh teh..Usijali mkuu..Utapata..Ila nakushauri tafuta game za kutosha za kucheza njiani..Mana safari ya uko sometimes haina mwisho
Safari itakuwa na mwisho na nitarudi salama..Mimi nawashanga sana matour guide wa huko sijui ni uoga wa kwenda huko au ni kwa nini hawataki kujitokeza:mad::mad:
 
Miaka yetu hivi vitu walikuwa wanachezea wale tulikuwa tunawaita watoto wa mama au watoto mayai, wanaume tulikuwa tunakimbizana na nature
 
Miaka yetu hivi vitu walikuwa wanachezea wale tulikuwa tunawaita watoto wa mama au watoto mayai, wanaume tulikuwa tunakimbizana na nature
Sio mda wote unakimbizana na nature kuna mda wa kutuliza akili au hata kutoa stress kwa game la "BreakGame" la Nokia Touch
 
Criminal case..
Clash of clan.
QuizUp..
Frontline Commando D Day..
Sim 3 free play..
Pes 2012

Haha Android yangu imejaa hapo.. These are my Favorites Games...
 
Back
Top Bottom