What Games are you playing right now?

What Games are you playing right now?

Eeeh bwana sijawahi cheza game ya mpira ngumu kama ile.
Unaweza kufungwa hata magoli kumi kabisaa.
Fifa ni rahisi sanaa, kuna ile ya 97 ina hadi Tanzania.
Hahah 2007 ile walizingua sana, imekaa ki game game .zaidi
Hiyo sijawahi cheza hata kidogo. Game za magari na action
 
Criminal case..
Clash of clan.
QuizUp..
Frontline Commando D Day..
Sim 3 free play..
Pes 2012

Haha Android yangu imejaa hapo.. These are my Favorites Games...
Mkuu hiyo d day ilinishinda njiani nikaamua kufuta tu
 
Unajua mashavu yanauma kwa tabasamu unalonipa kila nisomapo jumbe zako.....

ML.... I love you too and more and more and more

Mmuah! ! I know. ... sexy thing you...

ML and Kasie we rolling,
Haters gonna hate.........
 
Hahahahaha usinifanyie hivo tafadhali.

Diva Loveless Love ndo nani? Kiukweli simfahamu.... mbona kunifananisha au kunilinganisha naye?
Hahaha diva ni mrembo mmoja hivi wa kibongo bongo.
Ana maneno na vocal fulani amaizing japo sioni akikusogelea kasie mapenzi
 
Unajua mambo gani lakini? Au unakataa tu

Ndo uniambie maana hata sikuelewi naona unasema diva na Kasie wapi na wapi... ndo maana nikasema sio mie.

Mie najua mahaba tuu...
 
Ndo uniambie maana hata sikuelewi naona unasema diva na Kasie wapi na wapi... ndo maana nikasema sio mie.

Mie najua mahaba tuu...
Diva ni mtangazaji wa kipindi cha mahaba, na wewe ni kasie mahaba. Relation ndio hiyo
 
Diva ni mtangazaji wa kipindi cha mahaba, na wewe ni kasie mahaba. Relation ndio hiyo

Dooh kumbe Kasie mahaba watu wanajua mie ndo Diva kipindi cha mahaba aahahahahhahahahaaa

Jamani naomba ieleweke wazi, Kasie sio mtangazaji wa kipindi chochote kile cha radio, kazi yangu ni umesenja kwwnye kampuni ya makaburu hukoo mamtoni. Kwani huyo diva ni chotara wa kinyamwezi kama Kasie?

Anyways am not her.

Am Kasinde aka Kasie Mahaba Matata.
 
Back
Top Bottom