Joram Dymisster
JF-Expert Member
- Apr 7, 2014
- 502
- 429
Kaka mm mpenzi na mlevi wa games za soka naomba link ya hiyo pes2018
NIMEKUCHEKIA CHAPCHAP...........HILO HAPO KAZI KWAKO
Pro Evolution Soccer 2018 – Ekhaya Software
Kaka mm mpenzi na mlevi wa games za soka naomba link ya hiyo pes2018
Nipe link mr.Huwa nalikubali sana View attachment 709613
Mkuu hyo gta 5 unayo? naeza kuipata km hutojalihaha kiukweli mi sio gamer kiivyo, nna game 2 tu izo apo juu
na nilinunua iyo kadi kwa ajili ya gta,
nje ya mada: una utundu wa ku repair subwoofer mkuu?
ha ha ha dah na unatumia kifaa gan kuplay Ilo gameMy wife!!!!