ID yangu Mzizi Mkavu kama ujuavyo Mzizi mkavu hauchimbwi dawa. Na avatar yangu ni ya Madawa (Herbalist) haya tena sjuwi wingine ID zao na Avatar zao zinaashiria kitu gani mkuu....

mkuu umenikumbusha mbali kuna siku mtu mmoja alifananisha identity na barbara hassan ,..... ulivyokuja juu!!! teh teh hatasahau i guess..... ila kiukweli kidogo ufanane na kipanya