What does ID and Avatar say about someone?

What does ID and Avatar say about someone?

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
35,987
Reaction score
24,226
Naamini kwamba ID na avatar ya mtu inaelezea kitu fulani kwa mhusika in term of personality.
Jaribu kuelezea personalities from avatar and ID.
Eg, from avatar Dark City, akiona hayamhusu hupuuza na kuondoka zake will never comment.

AshaDii, likes decency, si lazima yy awe decent.

King'asti, anavutiwa na 'indecently delicious' appearance.

Nawasilisha!
 
Jamani avatar ya Bujibuji, yaani kama ndio mwenyewe vile
 
Mikatabafeki, makes me dizzy, kama kanawia konyagi usoni, anaonekana ni less siriaz, japo good analyst.
 
Na sie ambao hatuna Avator?
 
Mie avatara ya my broda pakajimmy lol yani inaonekana ni mkali and very serious kias kwamba ikitokea hata inzi akamgusa atampa kipigo ya mwizi!
 
Mie avatara ya my broda pakajimmy lol yani inaonekana ni mkali and very serious kias kwamba ikitokea hata inzi akamgusa atampa kipigo ya mwizi!
Cantalisia ww inaelekea unapenda inside beauty.
 
Indecently delicious?! What ar u implying?
Afu utuelezee na avatar ya the boss (itasaidia kuelewa why dd u fall for it/him),lol
Habari yako binafsi mamito,tafathali naomba kujua km kuna uwezekano wa kubadilisha hilo bunduki kwenye hiyo avatara yako na ukawa umeshika kabastola jamani!hilo likuwa na linatishalol!
 
ki uhalisia huwezi amini alivyo mpole, mcheshi na mwenye upendo uliotukuka
Kweli kuna siku nimuuliza akanambia nikuulize,mwanzoni nilikuwa naiogopa hata nikichangia sred zake sikusubutu kuweka utan,
Asante Preta,
Na wewe ikla nikiangalia avatara yako nahis ww ni mpole ila mtu akikuzingua ni balaa nimepatia au?
 
"cantalisia na preta" mnazungumziaje avater yangu?
 
"cantalisia na preta" mnazungumziaje avater yangu?
Du ndugu yangu kwanza sijui hapo ndio unapokea nn coz kuna huo mwanga uliotumika hapo umekaa kianjelic flan,but binafsi nahis km mtu flan mwenye kautakatifu kadogo km sehemu ya mkono inavyoonyesha,sijui nimepatia?
 
Inside na ni vitu ambavyo wengi huviona less important mie ndo huni-impress
Yani ww tunafanana kbs,outlook inarekebishika ila innerbeauty ya mtu kamwe huwezi kuibadilisha,japo wengi huwa hawajali sn!
 
Back
Top Bottom