Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
TANMO,ww mtata lol!ah, huyo mpotezee.
au labda mfundishe wewe...
TANMO,ww mtata lol!ah, huyo mpotezee.
au labda mfundishe wewe...
Hahaha hahah hahaah,
TANMO,yani lzm unilipe huwezi kunivunja mbavu zangu namna hii khaaaaaaa!
Tatizo ni hiyo avatara yako yaani uanonekana katoto katukutu!!!!
Hahaha hahaha hahha,We ndiye unilipe Bana, manake siku hizi kumfanya mtu acheke nayo ni ajira ati..
a.k.a Dogo Janja,, Lol
Ila kiuhalisia mimi ni M-baba na midevu mpaka kwenye meno..
TANMO....r u gay?
Vyote hivyo naweza. Bokoboko (small size) na mchuzi wakeEnhee niambie unajua kupika nini? bokoboko? mkate wa kumimina? au?
Safi sana. za kwako?Mambo vp Boflo...
Mambo vp Mwali...
Gee Cee
Vyote hivyo naweza. Bokoboko (small size) na mchuzi wake
Najua kupika mkate wa kusukuma, wakumimina na wakupaka
ila ninacho wezea zaidi ni vitumbua... lol
Mkate wa mofa na wa kingazija sijui (maybe under different names)unaonekana mtaalam... mpaka bokoboko unajua!!....mkate wa mofa unaujua? mkate wa kingazija?(nimeumiss sana)
ugali wa muhogo?(yummy! yummy!)