What can be done to prevent our economy from collapsing?

Kuna kitu nakifikiria, I don't know kama kinaweza kuwa fact...

Katka mazingira ambayo serikali inatumia fedha kiasi kikubwa kugharamia gharama zilizoongezeka ghafla kama umeme, je kushuka kwa thamani ya shilingi sio faida kwake?

Yaani kama unahitaji billioni moja Tsh kulipa mishahara, kutoa ruzuku n.k kwa mwezi mmoja, na wakati huo Tsh 1000 ni sawa na $ 1, ina maana unahitaji $ 1m kila mwezi, sio?

Lakini kama thamani ya Tsh ikishuka na kuwa $ 1 ni sawa na Tsh 2000, ina maana utahitaji $ laki 5 kwa mwezi kulipa mishahara. kama serikali ikiangalia na kugundua kuwa sehemu kubwa ya pato lake inakusanya kutoka katika VAT na kodi nyingine za importation, je haitakuwa faida kwake kushusha thamani ya shilingi ili ikusanye shilingi nyingi zaidi kutoka kwenye VAT na importation taxes, lakini ikiendelea kulipa mishahara ile ile na ruzuku zile zile regardless thamani ya sarafu?

Je, inawezekana serikali inapunguza thamani ya shilingi makusudi ili kuweza kukidhi matumizi yake? Inawezekana serkali inachapisha hela zaidi ili kulipa mishahara?
 
Mkuu,

Safari ya JK Australia ni muhimu na ina faida. Kilimo cha uwekezaji kinafaida kwetu kwani tutafaidika na mauzo ya chakula, ajira kwa vijana wetu, na mapato ya kodi. Duniani kuna uhaba wa chakula kwa sasa na Tanzania ina ardhi kubwa yenye rutuba. Ndio sababu siungi mkono suala la EAC kugusa ardhi yetu kwani tutafaidika nayo siku za mbeleni. Isipokuwa, faida hizo ziwafikie watanzania wote na sio wachache matajiri.
Ungekuwa karibu yangu walah ningekulamba kibao shetani majununi wewe. Vijana watanzania hawahitaji ajira za mashambani mbwa wewe, vijana wanahitaji pembejeo za kilimo kwa wakati na kwa bei ya ruzuku. Vijana wanahitaji masoko ya mahindi yao na mazao mengine wanayo zalisha. Nenda Songea, Njombe, Ludewa,Mozi, Ileje, Rukwa n.k. vijana wamezalisha mahindi mpaka yananyeshewa na mvua kwa kukosa soko. Nenda kamuulize mkuu wa mkoa wa Ruvuma aliyeamua kuingilia kati na kuliomba jeshi la wananchi kupeleka malori kusomba mahindi vijijini ili yasioze. Sasa wewe na wajinga wenzenu mnadai waletwe wawekezaji kwenye kilimo? Nitafanya sherehe nikisikia mmekufa punda nyie.
 
uchumi wetu unayumba pamoja na serikali.yetu kujitahidi,hata hivyo kutokana na nguvu za.giza za wapinzani juhudi zote hazionekani kufanya kazi
 
Thubs Up to you M.M.Mwanakijiji for pulling this out!

"In poor countries, honest political activists are not rewarded for their efforts by becoming materially wealthy. Indeed, they may suffer undeserved disrepute, abuse, and poverty. But, political activists, working together peacefully, can make a very important contribution to the well-being of the people, and to the freedom and development of their nation." - Julius Nyerere
 
There is only one mwarobaini for uchumi wetu.... KILIMO
...Hamna nchi hata moja iliyoendelea duniani kwa kutegemea kilimo. Hivyo basi, kilimo si mwarobaini wa uchumi wetu.

...Nchi zote zilizoendelea zimefika huko kwa kukuza viwanda kimkakati. Mathalani, kama unataka kusaidia wakulima nchini ni lazima ukuze au na kujenga viwanda vya kusindika mazao yao na hata vile vinavyotumia mazao hayo yaliyosindikwa kuzalisha bidhaa. Unakumbuka viwanda vya nguo? Unafikiri ni kwa nini kilimo cha pamba kimedumaa?

...Hoja ya kilimo kutotegemewa kujenga uchumi wa maana inatokana na hali inayofahamika kama "mrejesho unaofifia", ilihali viwanda hupelekea hali inayofahamika kama "mrejesho unaoongezeka".

...Tutakapobaini hili na kuchukua hatua ndipo tutakapoanza kukwamuka kwenye tope la umaskini.
 
I was brought up on an interpretation of history which suggested that in the beginning was the FAMILY; then families got together and formed tribes; then a number of tribes formed a Nation. A Nation like Tanzania.

I see it proper to focus my attention in this small unit of a Nation after expressing my views in our Economy as a whole. My people, lets talk about Smallness within Bigness, whether we approve of it or not, should at least not pass unnoticed in this economic recession debate.

Ingawa nakubali kuwa tumefikishwa hapa tulipo kwa uzembe wa serikali yetu kwa kiwango kikubwa, ni wakati muafaka kujitazama kama familia tumechangia vipi kufika hapa.

Sasa imekuwa fashion kwa familia kupendelea zaidi vitu vya kutoka nje kuliko nyumbani hata kama vitu hivyo vinazalishwa hapa hapa Tanzania. Mfano Maziwa, Juice, Matunda, samani n.k. Hii yote inachangia kuongeza pato kwa wenzetu na kumaliza akiba yetu ya fedha za kigeni. Hata ile kitu wanaita Multiplier Effect inakuwa ni huko huko kwa wenzetu.

Nadhani tuanze kampeni ya "Buy Tanzania" ili tuokoe uchumi wetu, Tukatae dollarization of our economy na tupunguze matumizi makubwa ya mafuta.

Mimi nimeanza kampeni hii kuanzia mwaka jana, na nimeona faida yake katika level ya familia. Wewe je? Naamin kila familia ikifanya haya impact yake itaonekana kwa kiwango kikubwa
 
Nyie pigeni Kelele mwenzenu yupo Australia, ameenda kutangaza LAND FOR SALE IN TANZANIA, wala haumii kichwa kuhusu haya mambo tunayoyazungumzia kuhusu Shs na Uchumi wa Nchi yetu
...Humu wanaopiga makelele wanafahamika. Majadiliano yenye hoja zenye mantinki si kelele, bali ni matumizi mazuri ya ufahamu na ubadilishanaji wake.

...Je? ni bora tuongelee mambo ya ngono, ulevi na mapenzi bila kusahau udaku? Ambapo, mwisho wa siku tutatoka na ufahamu ambao utatusaidia katika maisha ya kila siku na kujaribu kujenga taifa hili?

...Kuna vijana wengi wanaosoma shule ambao wanashiriki mijadala humu. Majadiliano yenye mantiki kama haya yanawasaidia pia.
 
Ungekuwa karibu yangu walah ningekulamba kibao shetani majununi wewe. Vijana watanzania hawahitaji ajira za mashambani mbwa wewe, vijana wanahitaji pembejeo za kilimo kwa wakati na kwa bei ya ruzuku. Vijana wanahitaji masoko ya mahindi yao na mazao mengine wanayo zalisha. Nenda Songea, Njombe, Ludewa,Mozi, Ileje, Rukwa n.k. vijana wamezalisha mahindi mpaka yananyeshewa na mvua kwa kukosa soko. Nenda kamuulize mkuu wa mkoa wa Ruvuma aliyeamua kuingilia kati na kuliomba jeshi la wananchi kupeleka malori kusomba mahindi vijijini ili yasioze. Sasa wewe na wajinga wenzenu mnadai waletwe wawekezaji kwenye kilimo? Nitafanya sherehe nikisikia mmekufa punda nyie.
...Gwelihenzi, taratibu ndugu. Huna haja ya kumtusi ndugu yetu huyo, ama sivyo tutatoka kwenye mada.

...Ukweli ni kuwa hatuhitaji huo uwekezaji kama ambavyo tumeshuhudia uwekezaji kwenye migodi ya dhahabu usivyo na faida ya maana kwetu. Uwekezaji wowote hautakuwa na faida kama hatujajipanga kufaidika nao. Ukweli ni kwamba, uwekezaji unaotokana na wananchi wenyewe ndio unaonufaisha taifa zaidi ya ule wa wageni.

...Ndugu zetu wa Rukwa wakiwekeza kwenye mashamba makubwa, tutaona faida kwenye maghorofa yatakayojengwa Sumbawanga. Hao wamarekani au wakanada watajenga Little Rock au Calgary.
 
Ungekuwa karibu yangu walah ningekulamba kibao shetani majununi wewe. Vijana watanzania hawahitaji ajira za mashambani mbwa wewe, vijana wanahitaji pembejeo za kilimo kwa wakati na kwa bei ya ruzuku. Vijana wanahitaji masoko ya mahindi yao na mazao mengine wanayo zalisha. Nenda Songea, Njombe, Ludewa,Mozi, Ileje, Rukwa n.k. vijana wamezalisha mahindi mpaka yananyeshewa na mvua kwa kukosa soko. Nenda kamuulize mkuu wa mkoa wa Ruvuma aliyeamua kuingilia kati na kuliomba jeshi la wananchi kupeleka malori kusomba mahindi vijijini ili yasioze. Sasa wewe na wajinga wenzenu mnadai waletwe wawekezaji kwenye kilimo? Nitafanya sherehe nikisikia mmekufa punda nyie.

Najua kuwa Tanzania wamepata bumper harvest na nafahamu pia Tanzania ina matatizo ya usafirishaji vyakula kuja miji mikubwa. Asante sana kwa kunitukana ila sitakurudishia.

Labda umejiuliza kwanini hao vijana hawawezi kuuza mazao yao nje ya nchi? Umejiuliza ubora wa mazao yao ukoje? Mfano umetolea mahindi mahindi yanatumika kuzalisha kitu kinaitwa cornflakes (chakula kinatumika nchi za ulaya, Africa) kama kianzio chakula asubuhi je wanayo sehemu ya kuchanganua mahindi hayo na kuyabadilisha kuwa cornflakes? Pia mahindi yanaweza kuwa popcorns kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Tanzania tuna bumper harvest ya mahindi lakini tunaagiza cornflakes za South Africa, Kenya, US and Europe umejiuliza kwanini? Kwanini basi wasije wewekezaji kuja kuwekeza nchini tukafaidika nasi?

Duniani bei za vyakula zinapanda kila mwaka kwa 70% kwanini ? Je kuna ubaya gani akija mwekezaji akashirikiana na vijana wako wakalima kiwango cha kuuza kimataaifa wao wakapata ajira na maisha mazuri na serikali ikapata pato la kodi?

Mnalilia kila siku hatuexport hatuexport unafikiri export ya Tanzania itatokea wapi? Jibu ni kwenye kilimo na madini sasa bila ya uwekezaji katika kilimo ni kazi bure kwani viwanda mtashindana na watu wakubwa kama China, India, Malaysia, South Korea, South Africa etc na ubavu huo hamna. Viwanda viwepo lakini kuzalisha kutosheleza nchi na sio kuexport unless export for African market na sio global. Ila Kilimo tutaexport global kwani demand ni kubwa mno!!!!

Hivi kati yangu mie na wewe nani mjinga???
 
I don't think sera zilizopo za uchumi zinasimamiwa inavyotakiwa na serikali. Rushwa inaogopesha! hakuna tena siri jinsi watu wanavyodai na kupokea rushwa. Huo uchumi tutausukuma vipi kama kila kitu kinasukumwa na nini mtu anayesimamia ataneemeka kwanza? TRA, kama kulivyo sehemu nyingine kuna matatizo makubwa ya rushwa.
Unless we change they way we lead ourselves,we would collapse! This world has no mercy for people who dont want to apply their mind!

Tatizo tulilonalo ni kuwa midomo ya kula ni mikubwa kuliko mikono ya kuzalisha. Matumbo ya kuhifadhi ni makubwa kuliko store....Simple economic theory inasema you can not eat what you dont produce and if u do lazima uchumi uanguke no miracles!
 
I was brought up on an interpretation of history which suggested that in the beginning was the FAMILY; then families got together and formed tribes; then a number of tribes formed a Nation. A Nation like Tanzania.

I see it proper to focus my attention in this small unit of a Nation after expressing my views in our Economy as a whole. My people, lets talk about Smallness within Bigness, whether we approve of it or not, should at least not pass unnoticed in this economic recession debate.

Ingawa nakubali kuwa tumefikishwa hapa tulipo kwa uzembe wa serikali yetu kwa kiwango kikubwa, ni wakati muafaka kujitazama kama familia tumechangia vipi kufika hapa.

Sasa imekuwa fashion kwa familia kupendelea zaidi vitu vya kutoka nje kuliko nyumbani hata kama vitu hivyo vinazalishwa hapa hapa Tanzania. Mfano Maziwa, Juice, Matunda, samani n.k. Hii yote inachangia kuongeza pato kwa wenzetu na kumaliza akiba yetu ya fedha za kigeni. Hata ile kitu wanaita Multiplier Effect inakuwa ni huko huko kwa wenzetu.

Nadhani tuanze kampeni ya "Buy Tanzania" ili tuokoe uchumi wetu, Tukatae dollarization of our economy na tupunguze matumizi makubwa ya mafuta.

Mimi nimeanza kampeni hii kuanzia mwaka jana, na nimeona faida yake katika level ya familia. Wewe je? Naamin kila familia ikifanya haya impact yake itaonekana kwa kiwango kikubwa

Hii ni policy mater my friend ukiweka operational policies ambazo zitakuwa enforced factor zote zina respond accordingly kuanzia nyumbani (households) mpaka firm. Kwa sasa policy ime distort equilibrium na market zina fail kwasababu ya externalities moja kubwa ikiwa ni ufisadi basi!
 
Heshima mbele mkuu Ame. Nashukuru kwa angalizo lako but hilo suala la macro & micro economic policies pamoja na Fiscal Policies zimejadiliwa sana kwenye hii thread, nami nikatoa angalizo langu accordingly.

Kwenye hili la Family nimejaribu kutoka nje ya box na kuangalia sisi binafsi tofauti na serikali tunamchango ktk hili?

Hata hivyo pamoja na kukubali kuwa sera zinaweza kurudisha uchumi wetu in a map where it belong, nachelea kusema kuwa watendaji wa kutekeleza hizo sera ndio tatizo.

Hata hivyo ukilitazama hili la kifamilia si la kisera zaidi bali ni utashi wa watu binafsi.

Kwa mfano, sera zile za kulinda viwanda vya ndani i.e Protectionism haziwezi kutumika tena baada ya kuridhia ule mkataba wa GATT.

Matokeo yake, tunaagiza hata tunachoweza kuzalisha wenyewe na hii imechangiwa sana na kuingia kwenye soko huria kichwa kichwa. Yaan hata toothpick tunaagiza nje! Hii ni hatari
 
I was brought up on an interpretation of history which suggested that in the beginning was the FAMILY; then families got together and formed tribes; then a number of tribes formed a Nation. A Nation like Tanzania.

I see it proper to focus my attention in this small unit of a Nation after expressing my views in our Economy as a whole. My people, lets talk about Smallness within Bigness, whether we approve of it or not, should at least not pass unnoticed in this economic recession debate.

Ingawa nakubali kuwa tumefikishwa hapa tulipo kwa uzembe wa serikali yetu kwa kiwango kikubwa, ni wakati muafaka kujitazama kama familia tumechangia vipi kufika hapa.

Sasa imekuwa fashion kwa familia kupendelea zaidi vitu vya kutoka nje kuliko nyumbani hata kama vitu hivyo vinazalishwa hapa hapa Tanzania. Mfano Maziwa, Juice, Matunda, samani n.k. Hii yote inachangia kuongeza pato kwa wenzetu na kumaliza akiba yetu ya fedha za kigeni. Hata ile kitu wanaita Multiplier Effect inakuwa ni huko huko kwa wenzetu.

Nadhani tuanze kampeni ya "Buy Tanzania" ili tuokoe uchumi wetu, Tukatae dollarization of our economy na tupunguze matumizi makubwa ya mafuta.

Mimi nimeanza kampeni hii kuanzia mwaka jana, na nimeona faida yake katika level ya familia. Wewe je? Naamin kila familia ikifanya haya impact yake itaonekana kwa kiwango kikubwa

Following the crisis we are experiencing, Lets violate WTO rounds by implementing higher tariffs in order to increase the cost of imported goods(only for those which can be locally produced). In doing such we intend to let our consumers to spend their money on Locally products instead. Consequently, our jobs will be saved. Also, all unnecessary imported products ranging from scrappers of tv, radios, fridge, second hand, toys and the like which normally increase the flying of foreign currencies (dollars)so then deteriorte our Tsh. should be given total ban. However, in doing a such we should introduce reciprocal trade agreements to negotiate bilateral tariff reductions with few countries(which we can measure as horizontal partners) in order to avoid retaliation on the same. Also, govenment should give an ultimatum for all senior officials at the level starting Directors to ministers, vice presidents not to travel out of the country as they highly contribute increase of foreign currencies. This is because no country which agree to accept Tanzania's shilling, so then those travelling abroad, they are ablidged to change for dollars.
Thirdly, Financial institutions with guarantee from BOT should give soft loan to all industrialist to own their higher voltage standby generators in order to survive the production in this power rationing/crisis. Otherwise, tghe situation will go worse and worse for worse because of worsers.
 
Angalizo tu Mh. Mipangomingi. Ni kiongozi gani hapa Tanzania mwenye uwezo wa kwenda kinyume na WTO round kama GATT ili kulinda our Local Economy?

Hii misaada wanayoendekeza ndio imewalemaza. Ukipewa msaada unazidi kujiona masikini na aliyekupa unamwona kama better person. Sasa kwa viongozi wetu, kwenda kinyume na matakwa yao hayo ya WTO ni vigumu sana hasa wakisikia misaada itasitishwa
 
Uchumi wetu unategemea kwa kiasi gani uzalishaji na ulaji wa ndani? na ni kwa kiasi gani unategemea usafirishaji wa bidhaa mbalimbali kwenda nje?
 
Najua kuwa Tanzania wamepata bumper harvest na nafahamu pia Tanzania ina matatizo ya usafirishaji vyakula kuja miji mikubwa. Asante sana kwa kunitukana ila sitakurudishia. Labda umejiuliza kwanini hao vijana hawawezi kuuza mazao yao nje ya nchi? Umejiuliza ubora wa mazao yao ukoje? Mfano umetolea mahindi mahindi yanatumika kuzalisha kitu kinaitwa cornflakes (chakula kinatumika nchi za ulaya, Africa) kama kianzio chakula asubuhi je wanayo sehemu ya kuchanganua mahindi hayo na kuyabadilisha kuwa cornflakes? Pia mahindi yanaweza kuwa popcorns kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Tanzania tuna bumper harvest ya mahindi lakini tunaagiza cornflakes za South Africa, Kenya, US and Europe umejiuliza kwanini? Kwanini basi wasije wewekezaji kuja kuwekeza nchini tukafaidika nasi? Duniani bei za vyakula zinapanda kila mwaka kwa 70% kwanini ? Je kuna ubaya gani akija mwekezaji akashirikiana na vijana wako wakalima kiwango cha kuuza kimataaifa wao wakapata ajira na maisha mazuri na serikali ikapata pato la kodi? Mnalilia kila siku hatuexport hatuexport unafikiri export ya Tanzania itatokea wapi? Jibu ni kwenye kilimo na madini sasa bila ya uwekezaji katika kilimo ni kazi bure kwani viwanda mtashindana na watu wakubwa kama China, India, Malaysia, South Korea, South Africa etc na ubavu huo hamna. Viwanda viwepo lakini kuzalisha kutosheleza nchi na sio kuexport unless export for African market na sio global. Ila Kilimo tutaexport global kwani demand ni kubwa mno!!!! Hivi kati yangu mie na wewe nani mjinga???
...Pamoja na kwamba alikutusi, lakini kwa hoja ulizozitoa hapa, unaweza wewe kuwa ndio mjinga zaidi yake. Nitafafanua.

...Ujinga ni hali ya kutokuwa na ufahamu au elimu ya kitu fulani. Hivyo, kwa namna moja au nyingine wote tu wajinga.

...Unafahamu kuwa pamoja na hiyo uliyoiita "bumper harvest" serikali ilizuia kuuzwa mahindi nje ya nchi? na hii si ndio unayoiita "export" au ni ipi? Kama haitoshi, hao vijana unaowasema wengi wao -miongoni mwa wauzaji mahindi- ndio walikuwa wakiuza mahindi hayo nje. Sasa hapa hoja ya ajira kwa vijana kutokana na uwekezaji inakuja wapi? Kwamba hivi sasa hawana ajira katika sekta hiyo? Au, ni bora kuwazuia wao wasiuze nje na kuwaruhusu wageni wawekezaji kufanya hivyo?

...Unaonyesha kuvutiwa zaidi na ukoloni mamboleo kuliko kuwakwamua ndugu zako toka lindi la umaskini.
 
Soma post yangu ya nyuma na swali la Mwanakijiji? Nikuulize wewe unajua mahitaji ya chakula ndani ya nchi na nje ya nchi? Wameshindwa nini kupeleka mahindi yao sehemu za dodoma, Kilimanjaro na kwengineko kulikokuwa na shortage ya chakula?

Nikuulize katika hao vijana wangapi wanalima kwa ajili ya kuboresha maisha yao, familia zao? Youth unemployment Tanzania ni 70% wakati graduate unemployment is almost 25% Sekta gani unadhani inaweza kutoa ajira kwa wingi kwa hawa vijana? Vijana wangapi wana mitaji ya kujiendeleza? Wangapi wanaweza kulima kwa kiwango cha kuuza nje ya nchi?

Ajira na Uwekezaji zinakuja kwasababu kilimo cha large scale kinasaidia kuongeza supply ya vyakula madukani na kusaidia kushusha bei za vyakula nchini. Uzalishaji ukiongezeka na ajira nayo inaongezeka. Uzalishaji ukiongezeka na kodi ya nchi inaongezeka.

Dunia inabadilika na sisi tunahitajika kubadilika kama hujapendezwa na hayo pole sana. Acheni ujinga.
 
Uchumi wetu unategemea kwa kiasi gani uzalishaji na ulaji wa ndani? na ni kwa kiasi gani unategemea usafirishaji wa bidhaa mbalimbali kwenda nje?
...MJJ, mbona unauliza swali lililo wazi namna hii?

...Ni wazi kuwa shillingi inashuka kwa kasi namna hii kwa kuwa tunanunua mno toka nje kuliko tunavyozalisha hapa na hata kuuza huko.

...Ulaji wa ndani hauwezi kuwa wa maana kama una kiasi kikubwa cha watu wenye uwezo mdogo wa kumudu mahitaji yao ya kila siku.

...Nchi maskini kama hii -ki hali si ki raslimali- ingesaidia kama matumizi ya serikali yangejikita zaidi kwenye kununua huduma na bidhaa za zitokanazo na uzalishaji wa ndani.
 
Soma post yangu ya nyuma na swali la Mwanakijiji? Nikuulize wewe unajua mahitaji ya chakula ndani ya nchi na nje ya nchi? Wameshindwa nini kupeleka mahindi yao sehemu za dodoma, Kilimanjaro na kwengineko kulikokuwa na shortage ya chakula? Dunia inabadilika na sisi tunahitajika kubadilika kama hujapendezwa na hayo pole sana.
...Unaifahamu nchi yako vizuri? nani kakwambia wameshindwa kupeleka?

...Unavijua vikwazo vilivyopo kwenye biashara ya chakula nchini? Ukiondoa ada mbalimbali, kuna ubovu wa miundo mbinu pia.

...Labda nikujulishe kidogo. Biashara hufanyika pale inapoleta au kutengeneza faida zaidi. Kama unafahamu vizuri. Wafanyabiashara hawa walipangiwa mpaka bei ya kuuza hayo mahindi. Nikuulize, unafikiri hiyo bei inavutia wao kupeleka mahindi sehemu ambayo hawatapata faida?

...Kwa taarifa yako, kuna hali ya soko kuingiliwa kisiasa kwa kiasi kikubwa na hii ndio inayoondoa maslahi ya kufanya biashara hiyo katika baadhi ya maeneo nchini.

...Narudia tena, tatizo sio uwekezaji wa nje kukosekana na biashara hii hatuhitaji mwekezaji toka nje. Tatizo ni kuingiliwa kwa soko.
 
Mtapiga kelele mpaka mtachoka, Tatizo ni mafuta.... the rest is blah blah!!
 
Back
Top Bottom