MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,643
- 33,427
hata mimi nahisi hili. Uchumi wetu unahitaji kusahihishwa au kujisahihisha kwani ulivyo sasa ni unsustainable. Swali litakuwa ni maumivu kiasi gani yatatokea ili tutoke hapa.
Kwanza lazima tu identify tuna population ya aina gani kwa kutumia recent data (kama zipo),tukijua tuna watu kiasi gani na wanategemea nini kama njia zao kuu za uchumi itarahisisha kupata njia itayopunguza maumivu kwa wananchi wa kawaida kipindi tuna implement new economic recovery policy ambazo BOT wanapaswa kuziandaa kwa kushirikisha wadau wote.
kwa mfano kama watu wengi wanategemea kilimo nguvu kubwa ni kusaidia ongezeko la haraka la mazao ya chakula(domestic consuption).zipo njia za kusaidia wakulima wadogo ndani ya miaka 2 tukawa na chakula cha kutosha kwa bei nafuu kabisa.