What a week end!!!!

What a week end!!!!

natamani mambo yangu yaende sawa na tanga nitie timu! inahuu kubaki nyuma nyuma!
 
Nina hang'over ya madawa mpaka nanukia hospital. Weekend sikuenjoy kama nyie....nawaoneaje wivu, hata hivyo ni upepo tu utapita! Hongereni JF Dar na Mwanza kwa kudhubutu. Hapa makao makuu kukutana ndio zetu weekly. BTW nimeimiss ndyofu sana!
 
Mkuu Arushaone ulikuwa unaumwa aise
Pole sana kama ni wewe
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha, nikimwambia naenda kwa aunt atataka twende nae lol. Ila ntajaribu afu ntakuPM kama imefaa.

ila hizi habari zisiwafikie Mungi na Filipo au Baba V maana itakuwa ni issue ya mwaka
wala wasipate taarifa ya hiki tunachochat hapa maana watazusha skendo mbaya
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha! Juzi uliniahidi kuwa hutamtaja tena ! Una masifa wewe!

Mungi ametumwa kuikomboa nchi hivyo hawezi kula bata mpaka nchi imekombolewa! Hivi anaenda tanga kweli? Hachelewi kusema anasimamia kesi ya Lema lol.

ni nini kuondoka na vitunguu vyangu mae....nikaenda kupika bila vitunguu......?
 
Back
Top Bottom