Wezi wenye 'leseni ya kukuibia' Kariakoo

Wezi wenye 'leseni ya kukuibia' Kariakoo

Ina maana ni sawa na kinachoendelea kule gerezani?..maana stori tunazopata ni kuwa unaibiwa kifaa cha gari alafu unaenda kukinunua kule na maisha yanaendelea kama kawaida tu.
Cha ajabu kuhusu gerezani huo mchezo ulianza miaka ya 80 Hadi leo upo
 
Mkuu siku zote usipeleke kesi kituo cha karibu,mimi ningepeleka stakishari then natoa hongo laki 4 kesi ya 250000...mmnawqpa kesi ya madawa ili tumalize watatoa 2m kwangu bdo kuwamaliza police....hiyo ndio dawa ya mshenzi
 
Mwaka 2013 nilinunua simu pale kariakoo. Ile simu ilikuwa inakula vocha bila kupiga simu. Nikairudisha dukani nikaomba hela yangu maana simu ilikuwa fake. Cha kushangaza wauza maduka wote wakataka kunishambulia wakanizonga. Nikawavimbia mno Jamaa akawa analazimisha anibadilishie simu.. Nikakasilika nikaipiga chini nikasepa zangu.

Wanao huo mchezo Sana wa kuteteana hao matapeli
 
Upuuzi wa polisi upo kwenye kutrack simu aliibiwa mzee. Utakoma wanataka uwape pesa kwanza ndo wakutafutie simu. Wakiipata usipofuatlia wanaichukua. We fuatilia utapona simu wanatumia za gharama kweli siyo zao .
Note ukitaka kifua chochote cha umeme nenda kwa WATU WEUPE UTAPATA BLAND NEW
 
Upuuzi wa polisi upo kwenye kutrack simu aliibiwa mzee. Utakoma wanataka uwape pesa kwanza ndo wakutafutie simu. Wakiipata usipofuatlia wanaichukua. We fuatilia utapona simu wanatumia za gharama kweli siyo zao .
Note ukitaka kifua chochote cha umeme nenda kwa WATU WEUPE UTAPATA BLAND NEW

Kitengo cha cybercrime kuna wezi watupu huko
 
Watanzania wenzangu mbona tunapenda anasa. Kumiliki simu ni anasa tufanyeni kazi, kazi haimuui mtu. Wajerumani na Japan baada ya WWII waliamua kuacha anasa na kufanya kazi waangalie walipo sasa hivi.

Hizi simu tuache kuzitumia na kuzishadadia baada ya miaka 50 ya kufanya kazi kama German na Japan.

TUACHE MATUMIZI YA SIMU NA TUFANYE KAZI. KAZI NI KIPIMO CHA UTU.

ndukii
Naomba unijuze wewe umetoa maoni yako humu kwa kutumia kifaa gani, samahani lakini!
 
Wanao huo mchezo Sana wa kuteteana hao matapeli
ni kweli The Boss, ukiona bingwa anatetea udhulumati wa hela za jasho humu jamvini basi jua na yeye mwizi, mm niliibiwa mzigo nimeuweka kichwani (kigari cha mtoto mchhanga) wakaniacha wa mkononi (ilikuwa CPU /Computer- mbovu) msamaria komba nimpe 200 tu akanywe maji anisaidie computer, nikaona kidume aibu kujitwisha nikampa kigari mm na computer mbovu, natokea Kariakoo Polisi naelekea sokoni yule msamaria mwizi akaongeza mwendo akaingia sijui shimoni sikumuona tena, nikaenda POLISI Msimbazi wakaninyima msaada basi nikaicha na computer mbovu kituoni sikurudi tena.

Computer nayo niliinuna Msimbazi na Swahili duka la 2nd hand haikumaliza wiki ikafa kurudi badilisha ina warrant kuifika duka limehama ndio nikazunguka nayo kutafuta bidhaa nyingine

Hawa wezi km wamepangiwa msosi wao ni kwetu ipo siku ya 40 na wanaowatetea humuhumu yatawafika
 
Kkoo hakufai!
Walozi na wezi hatari kule!
 
Imagine mtu anasafiri na boat anaenda Zenji jioni unampeleka ananunua simu anakuja kugundua fake Yuko Kwa boat..
Huyu wa zenji sasa anajitakia mwenyewe. Simu zenji bei ndogo kuliko huku bara sababu ya ushuru kwao ni mdogo sio kama huku, anakujaje kununulia simu huku aisee
 
Mwaka 2013 nilinunua simu pale kariakoo. Ile simu ilikuwa inakula vocha bila kupiga simu. Nikairudisha dukani nikaomba hela yangu maana simu ilikuwa fake. Cha kushangaza wauza maduka wote wakataka kunishambulia wakanizonga. Nikawavimbia mno Jamaa akawa analazimisha anibadilishie simu.. Nikakasilika nikaipiga chini nikasepa zangu.
Aisee simu inakula vocha😀pole mkuu ila ungemwambia sawa akubadilishie ila akupe og otherwise ungemchenjia.
 
Polisi kumejaa rushwa
Uwezo wa polisi wengi kutafakuri ni zero
Mkuu inabidi tuanze na hawa jamaa wa K/koo na mizizi ya polisi Wachafu wanaochafua Jeshi letu
Naunga mkono hoja yako Mheshimiwa IGP inafaa apalekewe nakala ya hoja hii kwa hatua zaidi.
 
Hili la police Tz huwa linanichanganya sana ukienda pale moshi chuo cha polic utashangaa kwanza koz si zaid ya miez sita. Pia wale wote wanao dahiliwa kwenda police kigezo ninadhani ni ulefu na kujuana ni.wachache sana police walio soma angalau mpaka kidato cha sita. Sasa wanaweza pata wapi uwezo wa kuhandle kesi nzito kama hasa zinazoitaji utulivu katika uchunguzi, pia wiz wasasa ni waakili kama mtoa mada alivo sema je hawa police uwezo wanao? Police ndo maana wanafanya vitu vya ajabu sana wakati mwingine tusiwalaum
 
ni vijijini tu ndio hakuna machinga, Rais karuhusu hawa jamaa watapakae popote na wao wana Ofisi na magari ya kusambaza bidhaa za aina zozote, nakushangaa wewe hujawahi kupigwa changa la macho, hata kura kina Lissu wamekubali changa la macho sembuse CDM wametulia ndio maana nikasema karibu Kkoo Bundy wapo, ingawa na mm sikuitumia nachangamsha jukwaa bado nina kitochi x-tigi

Mwanaume kabisa nzima na ndevu zako sijui unaitwa baba nyumbani au unaitwa baby na mtu wako unaenda kununua simu imeandikwa Brand ya Bundy? Hahahaha au Vituz? Halafu unajitapa wewe ni wa mjini? Na wa Mwabhagosha wanunue simu aina gani sasa?
 
Simu nunua duka la muhindi ndio original mpemba mkinga na blacks wote karibia matapeli
 
Kwa brand kama LG au Sony wakikuwekea
Ndani itel huwezi jua kama sio mjanja

Ni wezi sana sana hapo Kariakoo na polisi wanajua kila kitu.
Mkuu inamaanisha unaweza kununua simu bila kuwasha hapo hapo Dukani?maana karibu simu zote ukiwasha lazima itokee brand/jina aina ya simu wakati wa kuwasha mfano Samsung, Nokia,Tekno,Itel,LG. Sasa unaposema unauziwa housing ya LG ndani mashine ya Itel au Tekno nadhani haupo sahihi.
 
Mama wa afya si anaanza tusubiri mpe mda atapwaya na atatolewa ngoja uone rizavu wao wengi
Wizara ya Mambo ya ndani inahitaji waziri Kama yule mama wa afya. Sio huyu my friend mtu wa watu
 
Back
Top Bottom