Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,899
- 22,115
Una kichaa wewe.Hahaha kuna polisi alitoka kwenye mafunzo maalum huko Marekani, akasema nchi ile polisi hawachukui rushwa ndio maana wanaua raia kwa hasira.
Hii inaonekana ukiondoa rushwa polisi hawataipenda kazi yao na wanaweza kutuua sana, hivyo tuliache la rushwa.
Mwisho, huwezi kuwa na polisi kila sehemu, kwasababu uhalifu unafanyika kila sehemu nchini.
Jiulize mbona vijijini Tanzania nzima hakuna polisi na wanaishi poa tu.
Tembea Mkuu usikae kijijini tu, Mada inaongelea nini anzia hapo, kubambikiwa simu fake kwenye cover mpya iwe Sumsung, Nokia hata Techno, hao jamaa wapo kwenye Noah ni kikundi kikubwa tu kina wadada zaidi ya wa4, unatangazia na zawadi juu ya hiyo simuTanzania kunavituko sana kuanzia hao wauzaji hadi wanunuaji. Utanunuaje simu imeandikwa Bundy (Bundi?) Ulisikia wapi?
Hawa walinitapeli mwaka jana Samora Avenue mkabala na maktaba ya British Council. Waliniuzia simu mbovu aina ya Vituz kwa 250,000 na t-shirt ya bure. Wanatembea na Noah
Una kichaa wewe.
Jamaa linaongea upuuzi tuNdo matapeli wenyewe hao
Hilo sahau chini ya Utawala huu.Ile safisha vyeti fake ilipaswa kupita huku pia. Naamini Polisi wa Tanzania ni moja ya corrupt organization, na wameshaona hawana la kufanywa. Ushauri wangu, Jeshi la Polisi lisukwe upya.
Tembea Mkuu usikae kijijini tu, Mada inaongelea nini anzia hapo, kubambikiwa simu fake kwenye cover mpya iwe Sumsung, Nokia hata Techno, hao jamaa wapo kwenye Noah ni kikundi kikubwa tu kina wadada zaidi ya wa4, unatangazia na zawadi juu ya hiyo simu
View attachment 1646766
Sio mafundi vishoka kuna kampuni boss,kama ukinunua sim pale mcity unapewa warranty ya mwaka siku ikizingua ndio unaambiwa upeleke kwny hiyo kampuni ofisi zao zipo sayansi .Mkuu sayansi kuna mafundi simu wa kueleweka?
Vyote hivyo ni vichaka vya mabeberu wa k/kooKuna watu walikuwa wanafikiri China plaza ni salama kumbe nayo utapeli kama kawa
Hiyo kampuni inatengeneza simu za aina yote na kutoka kwa mtu yoyote?Sio mafundi vishoka kuna kampuni boss,kama ukinunua sim pale mcity unapewa warranty ya mwaka siku ikizingua ndio unaambiwa upeleke kwny hiyo kampuni ofisi zao zipo sayansi .
Wao wamepewa tenda ya kutengeneza sim zenye warranty tu ,na zilizo ndani ya warranty tu.Hiyo kampuni inatengeneza simu za aina yote na kutoka kwa mtu yoyote?
Poapoa mkuu!Wao wamepewa tenda ya kutengeneza sim zenye warranty tu ,na zilizo ndani ya warranty tu.
Sio ambayo haipo ndani ya warranty hawatengenezi labda huwe na connection .π€π€π€
ndugu yangu hii nchi ina mambo ya ajabu yanayosemwa majukwani na viongozi ukifika field ni tofauti kabisa. Bora ukitaka kununua sinu Og usiende tu kariakoo kabisa
Mbaya sana hiyo. Binafsi siwezi nunua simu kariakoo, hapajawahi nibariki kununua vitu vya electronics