Mkuu pole sana!siku moja nlisikiliza kipindi cha clouds fm,kuna kibaka alikua anaelezea anasema usiku huwa wanapita kukagua milango kama imefungwa!na wanakutaga mingi ne imesahaulika!tangia siku hiyo nlifuga mbwa!pole kaka tafuta mbwa kiboko ya vibaka
Hata Mimi nimejiuliza hela IPO sitting room wewe upo chumbani halafu umejiamini .Fundi wajenzi wanatabia ya kugonga funguo kwenye sabuni wanaenda kuchonga kopi rait;
Hela lazima ulale nayo beneti heri ukose tendo la ndoa hela ilale kwenye bukta;
TV singsung nchi 42...so unamaanisha kulikuwa hakuna haja ya kutaja brand ya tv hapo?? Hahahaahsio bure Huyu atakua mhaya huyu ukisoma uzi wake utaelewa uhaya wake ila ana bahat sana hawajamlawiti
Mm nikiwa g house huwa nafanyaga hivyoinasemekana njia sahihi ya kujifungia ndani.. ni kufunga kwa komeo kwa ndani.... hapo mtu hata aje na funguo malaya gani hawezi kuufungua yeye akiwa nje..
Heinken yako ya kuzimulia nayo wakanywa duh!Habari za Asubuhi wadau,
Juzi jumamosi maeneo ya Tabata Liwiti, majira ya saa kumi alfajiri nimestuka kuona mlango wa chumbani kwangu upo wazi, niaamka fasta, kufika sebuleni nikakuta milango ipo wazi, nikatoka nje fasta nikaona pochi ya honey imetupwa, geti lipo wazi, nikatoka speed nje nikawaona vibaka wanakimbia na pikipiki huku wamekumbatia TV Singsung Inch 42, nikawakimbiza bila mafanikio.
Hawa jamaa waliingiaje ndani? Ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa, maana hakuna mlango uliovunjwa wala kitasa cha mlango.
Walichukua TV, wakachukua wallet yenye kilo 6, na kilo 6 ingine ilikuwa mezani (nilikuwa niende site kuwalipa mafundi hivyo nilidroo pesa kiasi bank), simu aina ya Blackberry i10, wakanywa na Heinken 1 kwenye friji na maji ya baridi (manina zao).
Hasira zinanipanda kila nikifikiria walivyomkuta honey kalala naked, bora mm nilikuwa na bukta. Nimejaribu kuwasiliana na jamaa zangu ambao nao wamewahi kupatwa na dhahama kama hii wanasema jamaa wanatumia ushirikina.
Popote mtakaposikia mtu anauza TV, tafadhali mdau wangu, uje inbox fasta unistue...!
Natangaza rasmi, Kuanzia leo popote nitakapokuta mwizi/kibaka anapigwa, lazima nimmalizie.
Akriiiiiiiii.... nimepatwa hasira sanaPole sana ndugu Ndakilawe
Mwingine kaamka leo kakuta gari yake imetedwa hivi!
View attachment 423392
View attachment 423393
View attachment 423395
View attachment 423396
View attachment 423398
View attachment 423399
View attachment 423400
daah kufumuliwa kote huku hawakusikia hata kelelePole sana ndugu Ndakilawe
Mwingine kaamka leo kakuta gari yake imetedwa hivi!
View attachment 423392
View attachment 423393
View attachment 423395
View attachment 423396
View attachment 423398
View attachment 423399
View attachment 423400