Wewe utafanya nini??

Wewe utafanya nini??

Mtafune tu hamna kitu hapo.du bongo waoga kweli.yaani umetishwa ukatishika.wenye bikra hawanaga mbwembwe hivyo
 
wekeaneni maagano ili mgeuzane supu tu kwa atakaekiuka usiogope kama una nia njema nae, maana naona kama unaogopa ivi.
 
Mkuu hamna kitu kibaya kama agano, ukivunja agano inakuwaga sio kabisa...
 
Wakuu mzuuka,katika pita pita zangu mkoa fulani nimepata binti mrembo kwa sura awe mpenzi wangu.Sasa nikahitaji mchezo wa kitandani.Amenambia yeye ni bikra atanipa mchezo ila tuwege kwanza agano kuwa nitamuoa.
Nikienda kinyume na agano atanifanya nyama.Wakuu hapa ni kweli au mbinu tu ya kunyimwa papuchi??
Bado hujui kuwa bikra znauzwa madukani??
 
Kitaani kwetu hiyo tunaita umepigwa roba ya mbao ukitikisika tu umekwisha
 
Kwenye kufanywa nyama hapo ndo sijapaelewa bado.[emoji20]
 
Omba mungu saana yaan ...
Maana hao watu n waongo sana ..
Ila kama uwezo upo oa tu kuepuka hzo Zinaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom