Wewe utafanya nini??

Wewe utafanya nini??

popoma

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2017
Posts
2,378
Reaction score
3,363
Wakuu mzuuka,katika pita pita zangu mkoa fulani nimepata binti mrembo kwa sura awe mpenzi wangu.Sasa nikahitaji mchezo wa kitandani.Amenambia yeye ni bikra atanipa mchezo ila tuwege kwanza agano kuwa nitamuoa.
Nikienda kinyume na agano atanifanya nyama.Wakuu hapa ni kweli au mbinu tu ya kunyimwa papuchi??
 
[emoji1] [emoji3]
Ukisikia changamoto ndiyo hizi.

We kula mzigo kama humpendi sepa acha kupigwa mkwara na mtoto wa kike, halafu huyo sio bikra usijipe moyo.


[emoji51] [emoji16] [emoji16]
 
Kama huamini asemacho bac jaribu upate uhakika zaidi
Alafu utuletee mrejesho ili kama ni kweli tuanze na sisi kuweka agano
Bora kuishi na wanyama tu kuliko kuishi na binaadam wasiofata agano [emoji23]
Hahaaaa. Agano huwa linakumbukwa kitendo kikishafanyika ila kabla ya hapo vichwa vya chini ndio huwa viko mbele kupewa vinachohitaji.

Teh teh teh teh.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom