Wewe utafanya nini??

Wewe utafanya nini??

mna mda gani kwenye mahusiano?

vp tabia yake ikoje?

kuwa makini mkuu, kama unaona huwezi sepa mapemaaaaaaaaaa, wanawake hawajaisha
 
kama una nia nae kubali tu..ila kama unamchezea potezea
 
kama huna nia nae achana nae...kama una nia y kumuoa muweke wazi ila kuhusu agano usiweke ,kama ni wako atatulia ...akisepa ujue haikua rizki yako
 
Mwambie akikugeuza nyama we unamgeuza wali..
Inakuwa wali nyama ..
Ngoma droo
 
mna mda gani kwenye mahusiano?

vp tabia yake ikoje?

kuwa makini mkuu, kama unaona huwezi sepa mapemaaaaaaaaaa, wanawake hawajaisha
Miez 4 kwny uhusiano ila tabia ipo moderate
 
kama huna nia nae achana nae...kama una nia y kumuoa muweke wazi ila kuhusu agano usiweke ,kama ni wako atatulia ...akisepa ujue haikua rizki yako
Sawa ntafanya ivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom