Wewe utafanya nini??

Wewe utafanya nini??

Ngoja niulize kidogo.
Nina mpenzi wangu ambae hoply nategemea kumuoa hapo badae badae lkn sijadinya na ni binti mrembo mno na anajielewa kwa kweli ,tunapendana fika na kuheshimiana kwa hali ya juu.
Lkn kuna fikra ambayo ishazoeleka kuwa ni kwamba ukidinya tu, ile heshima hupolomoka kabisa ,je kuna ukweli juu ya hili ??
 
Shake well before use
 
Kama kweli unampenda kutoka moyoni na una nia nzuri ya kumuoa unaweza kuvumilia, ni kitu rahisi tu.
 
Hahahaha unaogopa kugeuzwa nyama boss?

Ikitokea hiyo ni ajali kazini tu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom