Wewe utafanya nini??

Wewe utafanya nini??

Hongera mkuu kama kweli mpenz wako atakuwa ni bikra kweli kwa maana mabikra cku hizi hawapo ni wacahache sana. Kuhusu agano asikitishe tena na wewe mpe agano kuwa ukikuta sio bikra humuoi kama vipi we m'bikiri tu akikufaa na ukimpenda utamuoa ila m'bikiri kwanza uhakiki bikra na kama amekudanganya muache. Lakini bikra sio sifa muhimu ya kuwa mke ktk nyumba. maana ya neno "Bikra" ni mwanamke ambaye hajawahi kukutana kimwili na mwanaume. sasa mwanamke kuwa bikra kuna sababishwa na mambo mengi saana ikiwa ni pamoja na haya;-
1. Uwoga wa kutobolewa.
2. Mazingira ya kubawa.
3. Kusubiri kukua na kuolewa.
4. Ni maamuzi ya mtu kujitunza
5. Kukosa wanaume wa kukutaka kimapenzi tangu ulipovunja ungo nk. Mwanamke anaweza akawa bikra hadi akaolewa akaendelea kuatulia au ndo 'Akang'oa koki" akawa kichomi anataka suluali zote alizozikosa tangu enzi sasa azijaribu.
 
Atakufanya nyama?
Ni mchawi anakula nyama za watu?
[emoji83][emoji188]
 
Wakuu mzuuka,katika pita pita zangu mkoa fulani nimepata binti mrembo kwa sura awe mpenzi wangu.Sasa nikahitaji mchezo wa kitandani.Amenambia yeye ni bikra atanipa mchezo ila tuwege kwanza agano kuwa nitamuoa.
Nikienda kinyume na agano atanifanya nyama.Wakuu hapa ni kweli au mbinu tu ya kunyimwa papuchi??
Ndugu huyo anajihami tuu, hana lolote na wala usitegee bikra kwa sababu walio nazo hawana masharti magumu hivyo. Nae anaanza kuweka vikazwo kama vile vya naniliu..........Na kingine usije ukalogwa ukajiingiza kwenye maagano coz wengine unakuta ni washirikiana kwa asili
 
Ndugu huyo anajihami tuu, hana lolote na wala usitegee bikra kwa sababu walio nazo hawana masharti magumu hivyo. Nae anaanza kuweka vikazwo kama vile vya naniliu..........Na kingine usije ukalogwa ukajiingiza kwenye maagano coz wengine unakuta ni washirikiana kwa asili
Sawa ndugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom