Wewe ungemfuta yupi?

Wewe ungemfuta yupi?

Wewe ni jinga sana kuliko woooote duniani. ushalishwa limbwata sio bure. hivi km una akili sawa sawa mkeo unaweza kulinganisha na Mamako mzazi? hapo huyo mkeo anakuombea ufe apate chake biashara iishe hlf unaongea utumbo eti hakuna km wife kilaza wewe kichwa chako ni maji tupu

Doto Dotto;
Aksante kwa kuniona tofauti ila huo ndio ukweli. Mjinga ni yule anayemhusudu mamake akasahau kuwa huyo ni mke wa babake. Babako asingali mpenda, nakuhakikishia weye usingelikuwepo. Kama ni limbwata kalishwa babako ndo maana yupo na mamako leo.
Hujui kuwa, unaweza kuvua nguo zoote, mchana ukalala hapo kitandani uchi wa mnyama kwa sababu ya joto tu na mkeo akapita hapo wala usijifunike kwa kiganja cha mkono. Lakini, endapo utaumia sehemu ya siri mamako akija chumbani kwako kukujulia hali, japo umejifunika ila moyo utakuuma sana kwa yeye kuingia chumbani kwako huku akijua umeumia sehemu gani??
Wewe ni wa ajab saana tena naona ni kiumbe kutoka sayari nyingine. Unaweza kumwonyesha mamako ulipo umia weye?? Mkeo ni bora mara elfu mama humtegemei. Hatuwalinganishi kihivyo unavyodhania. Hata yeye amezaa watoto wake wa kiume. Siku ya siku nao wataondoka na kwenda sakanya wa kuwapooza mioyo. Mke si kumlalia juu yake tu, hayo tukiyataka mbona yamejaa. Mke ni zaidi ya hayo, ni wewe. Yapo mambo yako anayajua, mamako hayajui
 
caty ametoa strong reason... kwa maana hata hapo alipokua anajibu swali ni wazi alishaachana na wazaz the same kwa kila mtu... hakufikiria maisha yake ya sas kafikiria uzeen... hao wote aliowaacha hawatakua nao.. zaidi ya mumewe... hvyo basi uwamuz sahihi kubaki na mumeo au mkeo... maan wazazi washakulea na wewe wanao utawalea utawacha waende

N.b. ila mpaka uwe mwanaume au mwanamke na sio mvulana au msichana... ndio utaelewa hapo.
 
Na hata kama sio mitihani ilionikuta still my parents are my first priority no matter what the circumstances are,hakuna na hatotokea kwenye hii dunia anaeweza kuchukua nafasi zao...

Ambacho kingefuata ni kuambiwa chagua mmoja kati ya hao wazazi wako, who would u let go???
 
Ninavyompenda mama yangu basi tu. Loh wanaume wengiiiii ila mzazi ni mmoja tuuuuuu!
 
Mimi nitafanya yote kwa mama yangu mzazi ,gunia za mchele nilizokula tokea nazaliwa mpaka hapa nilipofikia sijui ni ngapi
 
malezi, malezi, malezi. ni tatizo katika kizazi cha sasa hicho ndo nimejifunza hapa. wazazi wetu wametufundisha vibaya ndo maana tunawaona wao ndo kila kila.
 
Afadhal ni story tu mana kiuhalisia kila mtu ana nafasi yake kubwaa tu moyoni
 
Wewe ni jinga sana kuliko woooote duniani. ushalishwa limbwata sio bure. hivi km una akili sawa sawa mkeo unaweza kulinganisha na Mamako mzazi? hapo huyo mkeo anakuombea ufe apate chake biashara iishe hlf unaongea utumbo eti hakuna km wife kilaza wewe kichwa chako ni maji tupu
Unayajua maisha yao??!mbona povuu
 
Watoto ndio output ya ndoa.unachukua hyo mume for what reasons wakat first level objective umeifuta.linda watoto wako na ukiona mumueo/mkeo anasumbua watoto bola ule kichwa.
 
Back
Top Bottom