kani mkali
Senior Member
- Dec 18, 2013
- 121
- 64
Kwa mfano na mumewe akachezeshwa hako kamchezo halafu akamfuta yeye si atajirestisha in pisi....
Zerooo zerooo....
Unadhan mama ako atakuchagua wew!!Kwa mfano na mumewe akachezeshwa hako kamchezo halafu akamfuta yeye si atajirestisha in pisi....
Na hicho ndicho kilichotakiwa,mume wa Cathy am sure angemfuta Cathy akambakisha mwengine,tehKwa mfano na mumewe akachezeshwa hako kamchezo halafu akamfuta yeye si atajirestisha in pisi....
Yeeeees!!!! Una akili sana wewe mungu akubaliki sana. mume/mke kitu gani? wazazi kwanza mengine baadaeMzazi wangu,hakuna kama mzazi..mume hatoweza kunivumilia mapungufu yangu lakini mzazi wangu hatochoka kunivumilia..
kaka peter msiba wa mama usikie kwa mwenzio, siku yaliponifika, sijawahi kupona jeraha la mauti yake. Kifo cha mama ambae mmeshibana ni msiba wa kila siku ndani nyoyo zetu.Mama tu, hizo nyingine ni hadithi za kusadidika kwangu, japokuwa nampenda sana Rey wangu lakini hatofikia hadhi ya Mama Peter, sijui kwa nini wakati mwingine nawaza nife mimi kabla yake, kiukweli sitaki kuhisi yale machungu ninayowaona nao jamaa zangu walipowapoteza Mama zao, ila najisemea nikiondoka mama yangu akiwa kikongwe nani atamsaidia, yaani sielewi mwenzenu, I LOVE U SO MUCH MAMA PETER
hahaha kitu cha iringa, rejea kauli ya madam speakerMh, ngoja nivute bang i kwanza
Haha kitu cha njombehahaha kitu cha iringa, rejea kauli ya madam speaker
hahah umetisha mkuuHaha kitu cha njombe
Yeeeees!!!! Una akili sana wewe mungu akubaliki sana. mume/mke kitu gani? wazazi kwanza mengine baadae
mm naungana na Cathy na nina sbb pia. nina wazazi wote nina mtoto mmoja na mume wangu alifariki ni miaka minne sasa lkn bado namlilia yy tu
Mzazi wangu,hakuna kama mzazi..mume hatoweza kunivumilia mapungufu yangu lakini mzazi wangu hatochoka kunivumilia..